Wakuu, mke wangu nimemchoka

Wakuu, mke wangu nimemchoka

Screenshot_20230620-203111_(1).png
 
Ww ungekua mimi..day 1 tu ungemuacha..Mie nisingevmilia 10 months kama nisingkua Na uvumiliv nae..Mbali na hilo ana tabia nyingne ambzo hazivumiliki..kingine usichokijua huyu mara zote ninazomsema face to face ungeiona response yake ungempiga makofi..maana haniskilizi kabisa..imagine nkiwa nae tu chumbani bila mie kuongea yeye hatoi neno lolote..Ndoa ishakaa ishajadiliwa mara nyingi mno..na hapo imetokea tu sababu ypo kwa baba ake..
Hana upendo uyo na wewe

Kama bado unampenda na kasura kake ka upole kalikokuvutia mpandishe cheo awe mke mkubwa means oa mke wa pili huwezi oa tena mpe muda mrefu akapumzike kwao anaweza jitafakari

Au laa mpe talaka yake akaolewe na ampendae uko nje

Au endelea kuishi nae ivyo ivyo kama dada yako bila kuongea nae tena juu ya tabia yake anaweza jishtukia akarudi kwenye mstari wakati wewe unafanya mambo yako uko nje
 
Mmm kaka nlikua nafanya utani lkn hili ni tatizo seriaz sanaaa muitie wazee na viongozi wa dini ama familia yake ama wewe jitathimin mlikutana vip mpaka kua pamoja je ama alilazimishwa kuolewa?
tulikua wapenzi sema ndo hvo si unajua kabla ya ndoa womens behave differently..alikua na vipengele vyake ila vya kawaida tu katka mapenzi..Kimbembe UCHUMBA ulivobadilika na Kuitwa NDOA tu..
 
Mkuu sijafail..hlf ingkua tatizo ni hisia tu tungeyatatua tu..Shida sijaona sifa ya MKE ndani mwake..vyote mtihani..Adabu na vinginevyo F
Oya jombaa huyo mwanamke inaonekana mlimlazimisha ndoa. Yani aliolewa kwa kushinikizwa pasi na yeye kuridhia.

Au inawezekana aliridhia kuolewa na wewe ili amkomoe Ex wake wa zamani. Huku akiamini atakupenda wewe na utampa mapenzi zaidi ya aliyokua anayapata kwa bwana ake wa zamani.

Sasa kilichomkuta ni tofauti. Bado akili yake ipo kwa mpenzi wake wa kitambo na inawezekana jamaa kuna vitu amekuzidi. Binti kila akijaribu kumsahau inashindikana. Hiyo inapelekea kila akikuona anaona kero tu.

Inshort umeoa mke wa mtu bro na jamaa mda wowote akitaka kumgegeda mkeo anamla bila kipingamizi. Hizo ndio aina ya zile pisi ambazo unakuta umeshaachana nae kitambo na ameshaolewa zake huko lakini ukiipigia simu moja tu chupi yake imeloa miksa kumkandia mme wake huku akibembeleza muhuni umgegede.

Siku hizi wanawake wanapenda ndoa cha ajabu wanaingia katika ndoa wakiwa na wanaume wa ndoto zao kichwani. Sasa hua ni bahati pale ambapo mwanaume wa ndoto zake ni wewe ikiwa tofauti ni majanga na mateso matupu kama unayoyapitia wewe.
 
Hana upendo uyo na wewe

Kama bado unampenda na kasura kake ka upole kalikokuvutia mpandishe cheo awe mke mkubwa means oa mke wa pili huwezi oa tena mpe muda mrefu akapumzike kwao anaweza jitafakari

Au laa mpe talaka yake akaolewe na ampendae uko nje

Au endelea kuishi nae ivyo ivyo kama dada yako bila kuongea nae tena juu ya tabia yake anaweza jishtukia akarudi kwenye mstari wakati wewe unafanya mambo yako uko nje
Ndoa ngumu sn aisee..Najuta Mno.
 
Habari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..


Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..

Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.


Miezi 10, sexual contact <=5.

Yaani sexual contact 1 / 2 month?

Huyu ulimtongoza mwenyewe ama match-maker alihusika?
 
Back
Top Bottom