Habari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..
Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..
Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.
Kwa chati hizo,hapo hakuna mwanaume.ndo naendelea nae hapa..mkuu ndoa yng ina vipengele mno..Mungu ndiye ajuae..mpk nashare nanyi ujue imenishinda.
MmhKwa chati hizo,hapo hakuna mwanaume.
Mwanaume unajadili ndoa kwa simu. Sijawahi ona.
Kwa harakaharaka, mume ni boya fulani anayetaka mwanamke ajiongoze kuomba kutombw...
Unaleta mambo ya mjini kwa mkeo wa kijijini. Kwao hakufundishwa kuanika papuchi. Alifundishwa kuficha.
Mke anaongozwa na kufundishwa uyapendayo afanye. Kuna wanawake hawezi sex hadi taa zizimwe, lazima alale na ngo, hawezi kubadilisha nguo hadi uondoke au akavalie bafuni.
Nenda nae taratibu na kwa upendo,atakuelewa na atafanya upendayo. Hawezi kubadilika kwa mwaka mmoja kama unavyotaka.
Utakuwa umeoa mke wa mtu. Zee la miaka 28 hawezi kuwa na akili hiyo. Wewe ndo una akili ya kitoto.Ana 28 mimi 31
Huko kwa baba yake ni kisingizio tu kuna X wake huko anakusaidia kumtunza huyoMkuu aliniaga anaenda kwa baba ake kusalimia..kila siku kusalimia tu..mie namkubalia tu..na ndo maana tunachat sbb yupo kwa baba ake..tushakaa chini mkuu zaidi ya mara 30..ndo kwnz tabia inazidi kuwa mbaya tu..
i did it more than once..yaani kila mara nakaa nae chini mkuu..yaani mungu ananiona..ni zaidi ya mara 30 ninamsihi nijue nini shida..na anajibu hamna shida yyte anaomba msamaha napotezea...muda kidgo tu anarudia hayo hayo..Ana mengi mno mkuu..Kusalimia mtihani..mumewe nikiumwa sioni hata hamu ya kunitkia uzima mumewe..ndo kwnz anafnya mambo yake....yaani dah ana mengi sn..nmeanzisha uzi nianglie mawazo yenu
Ww ungekua mimi..day 1 tu ungemuacha..Mie nisingevmilia 10 months kama nisingkua Na uvumiliv nae..Mbali na hilo ana tabia nyingne ambzo hazivumiliki..kingine usichokijua huyu mara zote ninazomsema face to face ungeiona response yake ungempiga makofi..maana haniskilizi kabisa..imagine nkiwa nae tu chumbani bila mie kuongea yeye hatoi neno lolote..Ndoa ishakaa ishajadiliwa mara nyingi mno..na hapo imetokea tu sababu ypo kwa baba ake..Kwa chati hizo,hapo hakuna mwanaume.
Mwanaume unajadili ndoa kwa simu. Sijawahi ona.
Kwa harakaharaka, mume ni boya fulani anayetaka mwanamke ajiongoze kuomba kutombw...
Unaleta mambo ya mjini kwa mkeo wa kijijini. Kwao hakufundishwa kuanika papuchi. Alifundishwa kuficha.
Mke anaongozwa na kufundishwa uyapendayo afanye. Kuna wanawake hawezi sex hadi taa zizimwe, lazima alale na ngo, hawezi kubadilisha nguo hadi uondoke au akavalie bafuni.
Nenda nae taratibu na kwa upendo,atakuelewa na atafanya upendayo. Hawezi kubadilika kwa mwaka mmoja kama unavyotaka.
Mkuu sijafail..hlf ingkua tatizo ni hisia tu tungeyatatua tu..Shida sijaona sifa ya MKE ndani mwake..vyote mtihani..Adabu na vinginevyo FHisia hazifichiki Kuna uwezekano hata wewe Kuna sehemu umefail mzee jitathmini vizuri
Mkuu Mungu ananiona nimejaribu kila njia na nkimsema anatia huruma nsimuache maisha kwao magumu..ndo huwa huruma inanijia..but now hapana kwa kweli..Pole Sana kaka.Mara zote ndoa nyingi vyanzo vya uvunjifu na uharibifu Ni Dada zetu.Hakuna mwanaume anapenda ndoa yake ivunjike.Na Mara nyingi adi kulisema hili unakuta mwanaume amejaribu Kila njia imeshindikana.Hawa viumbe Ni watesaji sana
Hamna mke hapo. Hakufundwa kwao. Warudishie mzigo wao.Zaramo..Na nishajaribu kuresolve kwa kureport kwa mshenga na wazazi pia ila bado yupo vle vle tu..Mwishowe nikaambiwa nimewatukana wazazi wake..Sasa nataka nifanye maamuzi bila kuripoti.
Kwakweli ilo ndo jibu na sio Kila mwanamke anafaa kuwa mke ndo huyu sasaHamna mke hapo. Hakufundwa kwao. Warudishie mzigo wao.
Kaka naisi Hawa watu huwajui vizuri.Yani mwanamke mwenye Kariba hiyo akubali suluhu kiuraisi hivyo eti mkae muongee?Kwanini mnajibizana kwenye simu? Wanandoa mnashindwa kukaa chini mkaongea? Mnaogopana?
Huo ni upwiru,
Tafuta siku ushinde nyumbani we na mkeo tu mpike mle kisha zagamuaneni kisawasawa baada ya ulete mrejesho
Atarudi tu kwakweli kama wazazi tu hawana msaada namimi..basi yamenishinda..Mtu najitahd mpk kushirikisha wazazi kwa ustawi wa ndoa yetu bt wananiona mimi ndo nawatukana kisa kureport matatizo ya mtoto wao..Mkuu Nakushauri Tuu ujarbu kuchunguza kama huo ni mwenendo wake /Tabia yake wew uish nayo
"Umesema Tangia Ndoa yupo hyo"
Inaonyesh NI hali yake au mpeleke kwao mama yake na dada zake wamfunze
Ww ungekua mimi..day 1 tu ungemuacha..Mie nisingevmilia 10 months kama nisingkua Na uvumiliv nae..Mbali na hilo ana tabia nyingne ambzo hazivumiliki..kingine usichokijua huyu mara zote ninazomsema face to face ungeiona response yake ungempiga makofi..maana haniskilizi kabisa..imagine nkiwa nae tu chumbani bila mie kuongea yeye hatoi neno lolote..Ndoa ishakaa ishajadiliwa mara nyingi mno..na hapo imetokea tu sababu ypo kwa baba ake..
Kam hvyo ukishndw pga chin kama hamjazaaAtarudi tu kwakweli kama wazazi tu hawana msaada namimi..basi yamenishinda..Mtu najitahd mpk kushirikisha wazazi kwa ustawi wa ndoa yetu bt wananiona mimi ndo nawatukana kisa kureport matatizo ya mtoto wao..