Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,770
- 54,858
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI UTAPELI
🪓🪓🪓Mpe hela mpeleke out
nmeoa mwezi wa 8 mwaka janaUlichaguliwa? Au ulimchagua mwenyewe
Ndoa ina miaka mingapi
💰💰💰🤣👋Mkuu aliniaga anaenda kwa baba ake kusalimia..kila siku kusalimia tu..mie namkubalia tu..na ndo maana tunachat sbb yupo kwa baba ake..tushakaa chini mkuu zaidi ya mara 30..ndo kwnz tabia inazidi kuwa mbaya tu..
Mlipendana au Familia ilikulazimisha kumuoanmeoa mwezi wa 8 mwaka jana
Sometimes iko romantic kuchitchat na mke wako, upo job nae kwake, you just chat n' chat yani.Kwanini mnajibizana kwenye simu? Wanandoa mnashindwa kukaa chini mkaongea? Mnaogopana?
Huo ni upwiru,
Tafuta siku ushinde nyumbani we na mkeo tu mpike mle kisha zagamuaneni kisawasawa baada ya ulete mrejesho
Daah! Umeoa Mzaramo?Zaramo..
Yaani heading tu imenifanya nichekeHabari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..
Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..
Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.
MmmhMkuu aliniaga anaenda kwa baba ake kusalimia..kila siku kusalimia tu..mie namkubalia tu..na ndo maana tunachat sbb yupo kwa baba ake..tushakaa chini mkuu zaidi ya mara 30..ndo kwnz tabia inazidi kuwa mbaya tu..
🤣🤣🤣Kaka umeoa mmachame hahahaa joking
Kama hujawahi mkosea, usaliti, au conflict iliyopo kati yenu resolve. Myajenge.
Kama ulishawahi ongea nae bado habadiliki, then hizo chat iwe warning ya mwisho.
Asipo badilika kutoka hapo, mtolee vitu nje au mrudishe kwao
Ila hata siku moja dont let a woman disrespect you, uki allow atakuwa anakufanyia hivyo for the rest of your life
🤣🤣👋Sometimes pia ondoka nyumbani lala nje mwezi mzima akipiga simu unawapa mademu wapokee wamtukane matusi makubwa
💯🤝Anachokubania usimuombe na uanze kucheza muziki wake anavyotaka. Kuwa adimu, kuwa wa nadra, usiwe cheap cheap , jipandishe thamani yako mkuu...
Em elezea kitu kieleweke kama unataka msaada usifiche fiche alikufanyia nini kwenye 7 za fungate?Mkuu hta uchumba alikua ypo hvihvi..ila akanipromise nkimuoa atabdlka..ndo maana nasema nilikurupuka kuoa...na ktk ndoa nashangaa ndo zimezidi tabia mbovu..Na kuhsu Red Card mkuu ningeshaitoa toka siku 7 za mwanzo wanm ndoa yetu mwaka jana..maana aliyoyfny siyasahau kbs..
Kosa lilianzia hapaMkuu hta uchumba alikua ypo hvihvi..ila akanipromise nkimuoa atabdlka..ndo maana nasema nilikurupuka kuoa...
Asirudi ndani kwako mpk baba yake amrudisheMkuu aliniaga anaenda kwa baba ake kusalimia..kila siku kusalimia tu..mie namkubalia tu..na ndo maana tunachat sbb yupo kwa baba ake..tushakaa chini mkuu zaidi ya mara 30..ndo kwnz tabia inazidi kuwa mbaya tu..
Mkuu nishakua na mzee wa namna hiyo ila wangu alikuja badirika banadae zaidi ya mika kumi tulikua fresh,nilijaribu kupata suruhu ikashindikana nyapu sipewi kinywa chase kibuvu wazee wakatuchoka Nikaamua kiume nikatafuta chumba nikaweka ndani rafiki yake nikawa nijilia tu,nikawa naambiwa mambo mengi na rafiki yake tukaendelea weee siku alipo kuja jua.kua natoka na rafiki yake na chumba nimempangia.alinzisha varangati la kufa mtu.ila kwenye kikao nikasema ukweli kua sipati huduma kwa mke wangu ndio maana nimeamua kutafuta mtu mwingine anipe huduma.toka hapo alibadirikaHabari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..
Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..
Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.
Mmh hapa ndo ulipochemkaMkuu najuta sana ktk maisha yangu..Mwanzo alikuwa hivi na alinipromise nikioa ataacha..nikamuamini..