Wakina Dada/Mama wa JF mbona mnalikimbia jukwaa la Siasa.

me kila siku lazima nipite ila huwa sikomenti mara nyingi kwa sababu nina hasira za karibu kwa ufupi jukwaa la siasa linatia hasira sana ukizingatia mule kuna wazee na mvu zao lkn hawana busara hata kidogo wanatukana tu sjaelewa km siasa ni matusi

Duh! kuliko huku? hebu tazama stress hizi:

[h=3]Yeye huwa analeta mwanaume nisipokuwepo!
Braza anamega mama mkwe wangu

Wanaume wafupi tunaongoza kwa kukatalia na wanawake a.k.a kupigwa kibuti

Mara nyingi wanawake mnaumizana wenyewe lakini mnatusingizia wanaume!

jamani mapenzi hujui, pesa huna unang'ang'aniza ndoa loh!!!!!!!!!!!!!

Yusuf Bakari abaka kuku

Fumanizi takatifu!
[/h]
 
kwa sababu siasa ni mchezo mchafu.

uongo uongo na blaa blaa nyingi. utekelezaji hakuna.

bora huku mapenzini tunarelax na kushow love
 
mimi huwa naingia,nasoma na kutoka kimya kimya.kila mtu kule ana hasira zake,sielewi kama na uraiani ndivyo wanavyoishi.wana kashifiana ovyo kisa siasa
 
Afu nimegundua pia wanawake wote wa huku MMU ni mashabiki wachadema na wanaipenda sana.
 
Well..mtazamo wangu!
Jukwaa la siasa!

Limejaa siasa chafu na uropokaji..usiokuwa na tija! Watu wanaenda kishabiki ,kuumbuana,kutukanana,kushadadia yasionamaana! Kiasi kwamba maana nzima ya kujenga nchi haipo! Ccm na chadema kazi kubishana tuu...wanachotaka hakieleweki..kelele tuu ka walevi wa minazi!(sorry to say,but thats the truth)

though
Sio wote.. Wapo wanaota points za maana ambazo kiukweli ni wachache sana tofauti na waropokaji!
Me kwaujumla siasa ya Tanzania,wengi ni ushabiki mandazi ili wapate hela,ila wazalendo walishazikwa na imani zao!

Kuna watu wana mitusi na midomo michafu mule...ambao nadhani ukimeet nao personal uwaulize whats their problem,hawawezi kujibu..zaidi ya ushabiki wa chama.

Hao wanachama na viongozi nao ndo walewale hamna kitu..wapo kimaslahi zaidi.

Mmu..humu kuna ishu za kujenga ambazo zinalenga maisha yetu tunayoyaishi directly or indirectly. Ingawa ndio wehu na waropokaji wapo ila tunawajua na kuwapa dosage zao vizuri cos kila kinzchoongelewa humu atleast kitakugusa ama utaelewa! Kuliko mafumbo ya kisiasa yanayohusu vyama.

Mmu ni mapenzi,mahusiano na urafiki... Ambapo ndo kunagusa mioyo ya wadada kwa urahisi kuliko fujo za Siasa ,kampeni,na vyama!

Nakubaliana nawe b dada
 
Dah siasa ile watu wana ma jotooo hasiraa afu wengi watu wazima vikongwe wa hzo fan afu ukijidai kuchangia mada ukaenda kinyume na wao unaeza ukajutia! Cku yakoo..mie ogopa sana siasa
 
Well..mtazamo wangu!
Jukwaa la siasa!

Limejaa siasa chafu na uropokaji..usiokuwa na tija! Watu wanaenda kishabiki ,kuumbuana,kutukanana,kushadadia yasionamaana! Kiasi kwamba maana nzima ya kujenga nchi haipo! Ccm na chadema kazi kubishana tuu...wanachotaka hakieleweki..kelele tuu ka walevi wa minazi!(sorry to say,but thats the truth)

though
Sio wote.. Wapo wanaota points za maana ambazo kiukweli ni wachache sana tofauti na waropokaji!
Me kwaujumla siasa ya Tanzania,wengi ni ushabiki mandazi ili wapate hela,ila wazalendo walishazikwa na imani zao!

Kuna watu wana mitusi na midomo michafu mule...ambao nadhani ukimeet nao personal uwaulize whats their problem,hawawezi kujibu..zaidi ya ushabiki wa chama.

Hao wanachama na viongozi nao ndo walewale hamna kitu..wapo kimaslahi zaidi.

Mmu..humu kuna ishu za kujenga ambazo zinalenga maisha yetu tunayoyaishi directly or indirectly. Ingawa ndio wehu na waropokaji wapo ila tunawajua na kuwapa dosage zao vizuri cos kila kinzchoongelewa humu atleast kitakugusa ama utaelewa! Kuliko mafumbo ya kisiasa yanayohusu vyama.

Mmu ni mapenzi,mahusiano na urafiki... Ambapo ndo kunagusa mioyo ya wadada kwa urahisi kuliko fujo za Siasa ,kampeni,na vyama!
Umesema yote, si wanawake tu, nadhani hata wanaume wengi hatufurahishwi na uropokaji na propaganda zile, mtu dailly anatoa mitusi na kushabikia propaganda halafu anajitapa...!!!! Nadhani jukwaa la siasa kama litajikita kwenye uyakinifu wa mambo, kuweza kukosoa hata kama ni chama chako au kiongozi wa chama chako ingetusaidia sana watanzania, badala ya kuwatukuza na kuwaabudu na wao kuvimba vichwa. Wenye mirengo tofauti tungekosoana kwa staha hoja na mifano mbda
 
Nina mpango wa kuingia huko rasmi siku za karibuni. Lakini sitaingia na jina feki; maana haina maana kumwaga nondo bila recognition wala acknowledgement.
 
so far ni majukwaa mawili tuu ambayo ukicheza vibaya unakwenda na maji.jukwaa la siasa na dini.
 
Back
Top Bottom