Wakina Dada/Mama wa JF mbona mnalikimbia jukwaa la Siasa.

Habari wanajamvi, Hii topic ilitakiwa iende kwenye Jukwaa la Siasa lakini kwa kuwa walengwa wakuu wako huku nimeona ni vema niitupe huku. Nimekuwa najiuliza swali, kwanini Wakinadada/mama wengi huwa wanatoa michango yao kwa wingi kwenye Jukwaa la MMU lakini kwenye majukwaa mengine hasa lile la Siasa hawaonekani kabisa tofauti na Wanaume/Vijana wa Kiume maana wengi wao wanacheza pande zote. Naomba walengwa waniambie, tatizo ni nii, je, ni waoga wa siasa? Na kama ni waoga wa Siasa je, hii Hamsini, Hamsini wanayoitaka kwenye Uongozi wataipata, au waendelee kupata upendeleo? Acha kunywa maziwa tu jaribuni na nyama ngumu. CC Faizafoxy a.k.a Mrembo. Mamdenyi na wengine wanaothubutu.
Wanapenda stori za kugegedana tu
 
Sawa kuna stress na ban, lakini ni sehemu nzuri ya kupata ukomavu na ustaimilivu.

Ukomavu na ustahimilivu upi jwa post za kukashifiana na uchochezi zilizojaa huko.
Mie huwa napitia kweli humo kwenye hilo jukwaa zaidi naishia kutoka nikiwa nimekasirika kwa post za kizushi na hata zikiwa za maana zinavurugwa na ushabiki wa wenye vyama vyao...
Naingia humu wakati meingine kupotezea stress nilizotoka nazo nilipotoka halafu niingie huko jukwaa la siasa kuongeza stress tena...akha..
 
Tired with Stress za mfumo dume, midume inang'ang'ania kutawala kila sector, lakini "have been proved failures"
:brushteeth:IF GIVEN A CHANCE, WILL CHANGE THIS COUNTRY, WITHOUT being Another MANDELA. :brushteeth:

image.jpg
 
Nani anataka stress na kukosa amani ya moyo?

Habari wanajamvi, Hii topic ilitakiwa iende kwenye Jukwaa la Siasa lakini kwa kuwa walengwa wakuu wako huku nimeona ni vema niitupe huku. Nimekuwa najiuliza swali, kwanini Wakinadada/mama wengi huwa wanatoa michango yao kwa wingi kwenye Jukwaa la MMU lakini kwenye majukwaa mengine hasa lile la Siasa hawaonekani kabisa tofauti na Wanaume/Vijana wa Kiume maana wengi wao wanacheza pande zote. Naomba walengwa waniambie, tatizo ni nii, je, ni waoga wa siasa? Na kama ni waoga wa Siasa je, hii Hamsini, Hamsini wanayoitaka kwenye Uongozi wataipata, au waendelee kupata upendeleo? Acha kunywa maziwa tu jaribuni na nyama ngumu. CC Faizafoxy a.k.a Mrembo. Mamdenyi na wengine wanaothubutu.
 
Tired with Stress za mfumo dume, midume inang'ang'ania kutawala kila sector, lakini "have been proved failures"
:brushteeth:IF GIVEN A CHANCE, WILL CHANGE THIS COUNTRY, WITHOUT being Another MANDELA. :brushteeth:

Hapa namnukuu mama mmoja aliwahi kuniambia hivi, Sehemu yoyote yenye Malumbana, Misukosuko na Mabishano Wanawake upakimbia haraka.
 
MMU ni full mastress, mara kaja mtu baada ya miaka 22 ndio anaambiwa huyu si baba'ko. Mara kaja mtu kagegedwa na Yahaya. Mara kaja mtu kamfumania mama mkwe analiwa na kaka'ke. Mara kaja mtu anataka kujiua kwa sababu hafikishwi, hata huko anapotaka kufikishwa hapajui.

MMU ni stress tupu.

Jukwaa la Siasa ni hakuna ma stress kila kitu kiko wazi, anaesema kweli anajulikana anaesema uongo anapewa za uso hapo-hapo yanaisha mnatazama mengine, ukitoka hapo unalala raha mustarehe hakuna accumulation ya stresses, hakuna kumezeana kule hakuna kuweka ma-stress yakajirundika, lakini huku mnhhh, jitu hata kama linaonekana limekosea kumtamani mama mkwe wake watu watalisifia tu au jitu linafanya uzinifu halafu linakuja kutaka ushauri. Inahusu nini?

Nikija MMU huwa najiongezea ma-stress tu. Maana kuna mambo huku hata hao magwiji wa MMU mara chungu nzima huyakwepa kimya-kimya au sana utawasikia "nilikuwepo" au "napita tu" au "ntarudi baadae" sasa kama si mastress hayo ni nini? kule hakuna kukwepa wala ntarudi baadae, ukisema ntarudi baadae, mara unasikia Slaa hayuko Kahama kisha anza kurushiwa mawe Kasulu, kuna wakati hapo wa kurudi baadae?

Dah, hata jukwaa nililodhani halina stress la JF Chef nikaanza kukumbana na ma stress ya farkhina mara sijui "mkate wa tambi", mara sijui "khaliat nahal" mara sijui "bokoboko la kuku" ni full mastress, kaniharibia diet yangu yote.

oopsss, farkhina, usimwambie mtu, hapo nimekusifia kwa kuniepusha na bulimia.
 
Faizafoxy najua kwamba kuna wakati huwa tunatofautiana hasa maeneo fulani fulani. Lakini nimewashauri hawa Wamama/Mabinti, kuwa wakutafute uwape training ya kuhimili mikiki mikiki ya Jukwaa lile, bahati nzuri naona umeanza kutoa basic.
 
me kila siku lazima nipite ila huwa sikomenti mara nyingi kwa sababu nina hasira za karibu kwa ufupi jukwaa la siasa linatia hasira sana ukizingatia mule kuna wazee na mvu zao lkn hawana busara hata kidogo wanatukana tu sjaelewa km siasa ni matusi
 
MMU ni full mastress, mara kaja mtu baada ya miaka 22 ndio anaambiwa huyu si baba'ko. Mara kaja mtu kagegedwa na Yahaya. Mara kaja mtu kamfumania mama mkwe analiwa na kaka'ke. Mara kaja mtu anataka kujiua kwa sababu hafikishwi, hata huko anapotaka kufikishwa hapajui.

MMU ni stress tupu.

Jukwaa la Siasa ni hakuna ma stress kila kitu kiko wazi, anaesema kweli anajulikana anaesema uongo anapewa za uso hapo-hapo yanaisha mnatazama mengine, ukitoka hapo unalala raha mustarehe hakuna accumulation ya stresses, hakuna kumezeana kule hakuna kuweka ma-stress yakajirundika, lakini huku mnhhh, jitu hata kama linaonekana limekosea kumtamani mama mkwe wake watu watalisifia tu au jitu linafanya uzinifu halafu linakuja kutaka ushauri. Inahusu nini?

Nikija MMU huwa najiongezea ma-stress tu. Maana kuna mambo huku hata hao magwiji wa MMU mara chungu nzima huyakwepa kimya-kimya au sana utawasikia "nilikuwepo" au "napita tu" au "ntarudi baadae" sasa kama si mastress hayo ni nini? kule hakuna kukwepa wala ntarudi baadae, ukisema ntarudi baadae, mara unasikia Slaa hayuko Kahama kisha anza kurushiwa mawe Kasulu, kuna wakati hapo wa kurudi baadae?

Dah, hata jukwaa nililodhani halina stress la JF Chef nikaanza kukumbana na ma stress ya farkhina mara sijui "mkate wa tambi", mara sijui "khaliat nahal" mara sijui "bokoboko la kuku" ni full mastress, kaniharibia diet yangu yote.

oopsss, farkhina, usimwambie mtu, hapo nimekusifia kwa kuniepusha na bulimia.

Stress gani bhana wakati nkiandika recipes wewe wa kwanza kujaribu kupika lol...
 
nikitaka siku yangu iishe vibaya
basi nijaribu kwenda siasani

na kwa kua napenda siku iendelee kua nzuri najitahidi sana nisifikefike siasani
 
Nikiingia kule nahisi kizungu zungu maana sielewi,,,,,,
Kuna watu mle wana hasira za kukosa udiwani,, ubunge na urais wengine wana hasira maana wanajua ndoto zao za kisiasa haziwezi kutimia yaani tabu tupu!!!!!!!!""!"
Bora nishinde mmu nijifunze mapenzi ninogeshe penzi kwa boifrend wangu.
 
Habari wanajamvi, Hii topic ilitakiwa iende kwenye Jukwaa la Siasa lakini kwa kuwa walengwa wakuu wako huku nimeona ni vema niitupe huku. Nimekuwa najiuliza swali, kwanini Wakinadada/mama wengi huwa wanatoa michango yao kwa wingi kwenye Jukwaa la MMU lakini kwenye majukwaa mengine hasa lile la Siasa hawaonekani kabisa tofauti na Wanaume/Vijana wa Kiume maana wengi wao wanacheza pande zote. Naomba walengwa waniambie, tatizo ni nii, je, ni waoga wa siasa? Na kama ni waoga wa Siasa je, hii Hamsini, Hamsini wanayoitaka kwenye Uongozi wataipata, au waendelee kupata upendeleo? Acha kunywa maziwa tu jaribuni na nyama ngumu. CC Faizafoxy a.k.a Mrembo. Mamdenyi na wengine wanaothubutu.

Mkuu unafikiri Siasa ni mchezo?? Nikija huko sikawii kupigwa BAN make nina hasira kweli. Bora nibakie kuleeee kusiko na BAN
 
Back
Top Bottom