Wakina Dada/Mama wa JF mbona mnalikimbia jukwaa la Siasa.

jukwaa la siasa lingekuwa zuri sana kama kila mtu angekuwa anasimamia ukweli na kile anachokiamini yeye. mi huwa nasoma sana hilo jukwaa, mara chache sana nachangia pia, especially kama issue haihusu malumbano ya vyama.
lakini wengi hawasimamii ukweli wala wanachokiamini wakiwa jukwaa la siasa, wamejaa ushabiki hata kwa mambo yasiyo na tija kwa jamii/ nchi. mnatoa mawazo kwa ushabiki wa vyama na siyo nchi. wengine wana kazi ya kutukana wenzao tu.
wengine wanaonekana kama vile wanalipwa (ndio ajira zao) kuvitetea vyama vyao JF. akili za kushikiwa ni nyingi zaidi, kuna watu wanachangia sana lakini hawana critical analysis, (sorry to say that).

ila bado ni sehemu ambayo huwa najifunza na kupata habari nyingi sana za kisiasa
 
Madame B wangu yeye anapenda siasa...

by the way wengi wanapenda mapenz ndo maana wamejaaa MMU name chitchat

Asante mpenzi wangu Remote.
Wiki hii nilijichimbia Siasani.
Naihusudu sana Siasa....halafu mapenzi ndo yatafuata.
UZALENDO KWANZA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom