🤣🤣🤣Imagine wakili wa Tigo anadai kuwa siyo kazi ya Tigo kulinda privacy ya mteja!🚶🚶🚶
View attachment 1995874
Mimi sio mwanasiasa naishi maisha ya kawaida kabisa sipendi uonevu tu mkuuWapumbavu nyie!
Nmekumbuka ile siku Lisu na Lema walihamasisha watu kuvunja laini zao za voda alafu baada ya wiki wakaweka laini laini zao za voda kwa ajili ya kupokelea michango
Tigo elijifunga yenyewe sasa kazi kwao kurudisha imani kwa watejaWakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa...
We usitujazie ushuzi hapa. Kamalizie dozi hukoKwa maana hiyo chadema walitaka hata mtu mwovu akitumia mtandao ALINDWE TU NA UOVU kwa kuwa sheria ya usiri na faragha inamlinda.
#Hata ulaya hakuna kitu ya namna hii.
Huna hoja yoyote. Ufahamu wako ni wa chini ya kiwango.Unapo anzisha kampuni unapewa vigezo na masharti na regulatory body husika namna ya kuendeha shughuri zako...
Sawa ww unaufahamu wa juuHuna hoja yoyote. Ufahamu wako ni wa chini ya kiwango.
Kabisa. Huu mjadala siyo size yako. Waache watu wenye kisomo na exposure wajadili.Sawa ww unaufahamu wa juu
Haya tumekuacha jadili sasaKabisa. Huu mjadala siyo size yako. Waache watu wenye kisomo na exposure wajadili.
Wewe na nani umeniachia? Kwa nini unaweka herufi ''tu'' wakati nimehoji uwezo wako wewe?Haya tumekuacha jadili sasa
Hakuna sheria iko juu ya national security/interest hapa dunianiJe Unaifahamu kampuni ya Apple?
Kwao mteja kwanza, na si vinginevyo.
www.jstor.org/stable/3504697Wewe ni MJINGA unajua utaratibu wakupata hayo mawasiliano kwa mhalifu...sheria simmetunga wenyewe kama hamzitaki kwanini msizifute
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
mimi binausi tigo wamenichefua nimesha katakata line ya tigo nimetupilia mbaliHii kampuni ingekuwa ulaya nahisi mpaka muda huu ingeporomoka kiuchumi vibaya Sana. Nahisi hii kesi itazidi kutoa Siri nyingi Sana ni Bora mashahidi wangekuwa wachache kuliko kuleta ujinga mahakamani
Nimefuta nilichoandika. Huyu bwana WA TIGo alifanya maelekezo Kwa papara ameacha mianya mingi ukifuatilia maswali na majibu utaona ni ya kupika.Makampuni yote ya simu wanalazimika kutoa taarifa hizo na hii ni kwa mujibu wa sheria za nchi
Kwahiyo yupo sahihi kujibu hivyo