Tatizo lako hilo genge lenu mtu akipiga chafya tuu mnaanza kurukaruka na kuganyagana, subilini siku ya majumuisho ndiyo hamtajua wakati mnajifanya mnajua, Mr DJ siyo malaika ni Gaidi OverWewe nadhani akili ni kisoda. Hujua hata watu wanajadili nini..
Uwe unasoma na kielewa kwanza, watu wanajadili nin. Siyo unakurupuka na kuandika mambo ambayo siyo hoja ya mjadala. Ona hiki ulichoandika, unaonekana ni mjinga kuleta kitu ambacho siyo hoja ya mjadala.