Wakili wa Tigo adai kwao Compliance (Utii) kwa mamlaka ni kipaumbele kuliko Privacy (faragha) za Wateja

Wapumbavu nyie!

Nmekumbuka ile siku Lisu na Lema walihamasisha watu kuvunja laini zao za voda alafu baada ya wiki wakaweka laini laini zao za voda kwa ajili ya kupokelea michango
Mimi sio mwanasiasa naishi maisha ya kawaida kabisa sipendi uonevu tu mkuu
 
Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa...
Tigo elijifunga yenyewe sasa kazi kwao kurudisha imani kwa wateja

Screenshot_20211103-163810_WhatsApp.jpg
 
Natupa laini yangu ya Tigo leo. Tigo, tafadhalini mkasajili laini za mipolisi haya madhulumati, mibambikiaji kesi raia wema na vibaraka wenu wengine
 
Hii kampuni ingekuwa ulaya nahisi mpaka muda huu ingeporomoka kiuchumi vibaya Sana. Nahisi hii kesi itazidi kutoa Siri nyingi Sana ni Bora mashahidi wangekuwa wachache kuliko kuleta ujinga mahakamani
mimi binausi tigo wamenichefua nimesha katakata line ya tigo nimetupilia mbali
 
Makampuni yote ya simu wanalazimika kutoa taarifa hizo na hii ni kwa mujibu wa sheria za nchi

Kwahiyo yupo sahihi kujibu hivyo
Nimefuta nilichoandika. Huyu bwana WA TIGo alifanya maelekezo Kwa papara ameacha mianya mingi ukifuatilia maswali na majibu utaona ni ya kupika.
 
Mama mkubwa hutoa Siri za ndani yake anazianika nje Sasa hata ule mtandao wenye jina flan hivi unatoa Siri za wateja wake mtandao mbea Kama Nini utasutwa we mtandao na tunakuhama huna Siri.
 
Huyo mama mkubwa wangu Hana Siri anakaa chanika usimwambie kitu utajuta.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom