Wakili wa Tigo adai kwao Compliance (Utii) kwa mamlaka ni kipaumbele kuliko Privacy (faragha) za Wateja

Na bado mtakanyagana sana awamu hii, inaonyesha muuliza swali na wewe wote ni zero brain. Hujui kama iwapo kuna kiongozi fulani iwapo anatumia madaraka yake kuwanyanyasa watu kingono hawezi kuchunguzwa kwa kupitia mfumo wa mitandao?? whatsaps--picha, simba mbovu sana (SMS), voice call n.k??. Jibu ilikuwa ndiyo natoa iwapo police na girlfriend wake wanania ovu, na iwapo zikitakiwa natoa. OVER
Uwe na akili Sasa, hakuna aliyesema ni kosa kutoa taarifa lakini taarifa zinatowa kwa utaratibu maalum.
 
Huu mjadala hata CIA na FBI wamewahi kuujadili mara nyingi, Public Security or Personal Privacy.

Je ni bora tusikilize mazungumzo ya mtu anayepanga kufanya uhalifu tumzuie au tumuache afanye uhalifu ndio tuchukue simu yake tuanze uchunguzi?

Hili swala lilivuma sana wakati FBI wameomba Apple wawafungulie simu ya mteja, wao...

Maoni yangu lazima mamalaka lazima siwasikilize watu wake ili kuwalinda wengi na waovu wachache
 
Sijakataa law authorities kupewa data lakini iwepo kisheria. You don't just fill in a form by any Tom on request from any Dick. Pata go ahead toka Courts/judge.
Imagine mtu anapanga njama kumuua mtoto wako au wewe, ipi bora, Kujua anachotaka kufanya au tusubiri afanye uhalifu ndio tuanze uchunguzi
 
Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa...
FB_IMG_1635929182729.jpg
 
Duh! Kweli huko ccm Kuna vichwa maji wengi.
Nyinyi msio vichwa maji mbona mnalialia mitandaoni? Tatizo mnalazimisha kumpa ukubwa huyo mtu wenu ambao hana hata kidogo.Jamaa ni mtu wa kawaida sana kwenye hii nchi.

Jambazi atumie simu kufanikisha magendo yake, alafu vyombo vya usalama vishindwe kufanya uchunguzi kwa kigezo cha kijinga (privacy) ?
 
Nenda kafwatilie kesi ya USA gvt na blackberry kuhusiana na kutoa taarifa za watu...waligonga mwamba na hawakupata....hakuna kitu kinathaminiwa na watu walioendelea kama Siri za watejaaa...sio huku serikali inaweza kuzipata wakati wowowte kiurahisi kabisa....mfano mzuri ni jamii forum..just imagine kama serikali ingepata credential za wanachama huku ingekuwaje
Kumbe katiba ya USA ndo hiihii ya bongo?

Case ya Jf na hii ya Sasa ni tofauti kabisa.Jf inaweza kukutetea wewe kwakua hakuna mtu yoyote anaeweza kuona utambulisho wako isipokuwa mtu wa system ya Jf au wale Verified users.

Kwenye huduma za simu nikishajua kuwa wewe bablai2020 unatumia laini ya voda hakuna namna yoyote ile VODACOM wanaweza kataa na kusema kuwa hawakutambui, unless otherwise uwe umesajili kwa I'd ya mtu mwingine kitu ambacho kitazua kesi nyingine.

Nafikiri hapa tuwalaumu watunga Sheria kwakuipa mamlaka serikali kupata privacy zako za mawasiliano pale inapobidi.
 
Kwa hiyo mtu ukiwa na hisia una invade privacy yake bila kufuata sheria. He will be under watch wakati mnafuata process ya convince judge/court . That's how it's done kwenye nchi yenye rule of law.
 
ila Watanzania sisi tuna matatizo !

sasa unataka walinde mteja kwa uhalifu ?

mi nakumbuka nilienda kuomba taarifa zangu binafsi nilinyimwa kabisa wakasema hawana huduma hio.
kwa hio taarifa mpaka zihitajike na mamlaka ndio zitoke.

na mimi sioni shida maana kama haiza matatizo haziwezi kukudhuru kwa lolote hata wakiwapa .

mnakwama wapi mbona kwa Sabaya mlishangilia kwani yeye sio Mtanzania ?
 
Sijakataa law authorities kupewa data lakini iwepo kisheria. You don't just fill in a form by any Tom on request from any Dick. Pata go ahead toka Courts/judge.
Maelezo aliyoyatoa huyo bwana yana walakini mkubwa sana! Ila kwenye cross-examination alipatikana vizuri sana.
 
Na bado mtakanyagana sana awamu hii, inaonyesha muuliza swali na wewe wote ni zero brain. Hujui kama iwapo kuna kiongozi fulani iwapo anatumia madaraka yake kuwanyanyasa watu kingono hawezi kuchunguzwa kwa kupitia mfumo wa mitandao?? whatsaps--picha, simba mbovu sana (SMS), voice call n.k??. Jibu ilikuwa ndiyo natoa iwapo police na girlfriend wake wanania ovu, na iwapo zikitakiwa natoa. OVER
Weqe ni K

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom