mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,255
- 4,599
Uwe na akili Sasa, hakuna aliyesema ni kosa kutoa taarifa lakini taarifa zinatowa kwa utaratibu maalum.Na bado mtakanyagana sana awamu hii, inaonyesha muuliza swali na wewe wote ni zero brain. Hujui kama iwapo kuna kiongozi fulani iwapo anatumia madaraka yake kuwanyanyasa watu kingono hawezi kuchunguzwa kwa kupitia mfumo wa mitandao?? whatsaps--picha, simba mbovu sana (SMS), voice call n.k??. Jibu ilikuwa ndiyo natoa iwapo police na girlfriend wake wanania ovu, na iwapo zikitakiwa natoa. OVER