The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,058
Wacha kujikweza wewe!
Hayo ni matatizo ya akili!
Je! Uliufahamisha ummah maana halisi ya "KIRANGA"!?
Hebu waandikie hapa watu wakusome!
Kitambo sana mheshimiwa, usalama upo?
Tunapitiapitia mambo hapa japo mleta uzi ametumia neno "umombo" bila kuelezea anamaanisha kutumia misamiati, kujenga hoja kwa kiingereza au eneo gani hasa. Lugha ni pana sana.
Ombi.
Ningependa kama hutajali tukaachana na tafsiri ya neno Kiranga, sidhani kama italeta maana sana ukizingatia hizi ID tunaamua tu wenyewe na tuna uhuru wa kuchagua yeyote ilimradi hatuvunji taratibu na masharti JF.
Last edited by a moderator: