Wakali wa umombo JF...

Wakali wa umombo JF...

Pupils: Good morning teacher!
Teacher: Good morning pupils. How are you?
Pupils: We are fine, thank you!
Teacher: Sit down
Pupils: Thank you teacher
Wapi na wapi tumefundishwa kiingereza? Nakumbuka hiyo mistari tu, mengine sikumbuki mwalimu alikuwa anasema nini!!
 
Kwani we english yako imekaa chini?
Mkuu English ni tatizo kubwa sana kwa wasomi wetu hasa tuliopitia kayumba.Lakini kumbuka hapa ninazungumzia walio bora zaidi.Mimi naweza kuwa nipo vizuri lakini sio bora.Remember there is a good,better and the best.So its up to you to know your group.
 
That makes two of us.

Moreover, one could argue, with the authority of a playwright laureate like George Bernard Shaw to back him, that almost half of English in itself, being a kaleidoscope of a potpourri of a smorgasbord of illogical amalgamation and constructs of mostly medieval if not ancient Indo-European dialects, is hardly impressive anyhow.

Swahili has a more elegant logic and is more phonetically aligned, therefore, more intuitive.

But I have yet to see a thread discussing who is the best Swahili writer at JF.
Duuuh!Mpaka raha.Jamaa akirudi na akaweza kujibu kwa sentensi mbili tu za kimombo.Nipewe ban ya siku tatu.Natamani ungekuwa mwalimu wangu.
 
Pupils: Good morning teacher!
Teacher: Good morning pupils. How are you?
Pupils: We are fine, thank you!
Teacher: Sit down
Pupils: Thank you teacher
Wapi na wapi tumefundishwa kiingereza? Nakumbuka hiyo mistari tu, mengine sikumbuki mwalimu alikuwa anasema nini!!
Ahahaahah!acha tu mkuu.Kayumba majanga sana.
 
Napenda sana kuongea English na raia wa nchi nyingine zinazo ongea English kama vile Uingereza, Afrika ya Kusini, nk.. kwa kifupi wageni kutoka nje.
Ila naogopa sana kuongea English na mtanzania mwenzangu kwasababu yeye anakuonyesha anajua english kwa kuongea maneno magumu halafu inakuwa tabu kuyajua kisa anataka kujionyesha anajua english (sio wote ila wengi)
 
Ai nataman kujua kingereza cha kuongea sijui nifanyaje jamam
 
And you Bwana, when ukisifiwa na watu, try sometime kupokea and you sit quite.

Ok, for today, me Mnyamwezi too I would like kukusifia kwa English yako which is real amazing.

Anyway, I'm also good in Kinyamwezi and Kirusi too, you may also call Virusi if you want.

Now I'm learning Kifaransa, Tack, sa* mycket.
If Kiranga's English is anything impressive at JF, it could only be because JF standards are too low, not because Kiranga is that impressive in the high command of this strange tongue.

Thank you twende kazi , you are far too kind.
 
m.m kijiji.
ben saanane.
kiranga.
lara 1.
kuna mwingine sijui.nme mix majina
mchambuz, mtambuz.....
 
That makes two of us.

Moreover, one could argue, with the authority of a playwright laureate like George Bernard Shaw to back him, that almost half of English in itself, being a kaleidoscope of a potpourri of a smorgasbord of illogical amalgamation and constructs of mostly medieval if not ancient Indo-European dialects, is hardly impressive anyhow.

Swahili has a more elegant logic and is more phonetically aligned, therefore, more intuitive.

But I have yet to see a thread discussing who is the best Swahili writer at JF.

You can initiate by mentioning your perspective best jf swahili writer/ user.
 
That makes two of us.

Moreover, one could argue, with the authority of a playwright laureate like George Bernard Shaw to back him, that almost half of English in itself, being a kaleidoscope of a potpourri of a smorgasbord of illogical amalgamation and constructs of mostly medieval if not ancient Indo-European dialects, is hardly impressive anyhow.

Swahili has a more elegant logic and is more phonetically aligned, therefore, more intuitive.

But I have yet to see a thread discussing who is the best Swahili writer at JF.

If I were JK, I'd nominate you as my speech writer, Ikulu's spokesman and director of communications kinda like Jay Carney or Robert Gibbs
 
Salaamu wandugu,
Sio kila siku kupondana tu ,siku nyengine kusifiana na kutiana moyo ni bora.Kwa leo ningependa tuwape pongezi kwa kuwataja majina wazee wa umombo uliokwenda shule.Mimi ninaanza na jamaa mmoja anaitwa Kiranga.Huyu jamaa English yake imesimama sana.Hongera mkuu.Tuendelee.

If Kiranga's English is anything impressive at JF, [JFMP3]it could only be because JF standards are too low,[/JFMP3] not because Kiranga is that impressive in the high command of this strange tongue.

Thank you twende kazi , you are far too kind.

Ni mzuri kwenye lugha ile ambayo siyo fasaha, ya mabomba ambayo inabidi usome ukiwa na dictionary, mwalimu wangu wa literature O-level alikwa anawekea alama ya kosa wanafunzi wa namna hii, hata kama wamepata. Unakuta mtu katumia msamiati ambao hata haujawahi kutumika na mtu mwingine yeyote hata mwalimu mwenyewe japo mahiri sana katika lugha, anakuwa hajawahi kuusikia maisha yake yote.

Lakini on the other side of the coin, Kiranga is selfish na huwa hapendi kutoa credit kwa wengine except kuwaponda. Unaweza pia kuona hapo kwenye bold, baada ya yeye kusifiwa, badala ya kushukuru, akaamua kuliponda jukwaa zima la JF, liko too low ila yeye ndiyo yuko juu. Nikijaribu kujiuliza ni kitu gani kingine cha zaidi ambacho anajua zaidi ya hayo mambomba, kinachompa kiburi hadi kufikia hatua ya kuponda jukwaa zima la JF kwamba liko too low, nashindwa kukiona. Anashindwa kuelewa kuwa humu kuna watu wengi tu wanaomzidi vitu vingi tu, japo siyo maprofesa lakini walichonacho na alichonacho ni sawa na kulinganisha mwanafunzi undergraduate na Full Profesa wa Chuo Kikuu. Yeye hadi awe anafikia hatua ya kusifiwa halafu badala ya kushukuru anaponda wenzake, huyu mtu atakuwa ana kasoro gani zinazomfanya awe hivyo? Lazima kuna kitu hapa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom