Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,577
Huyo mfuga majini ni mfuasi wa shetani tu labda anajuwa ile lugha ya Lucifer tu.
Last edited by a moderator:
Huyo mfuga majini ni mfuasi wa shetani tu labda anajuwa ile lugha ya Lucifer tu.
Hahaha,
Hapa ndipo wale wenzetu nshomile wanasema "I rest my case".
Angalia the new Taliban wasikutafune lakini.
Heaven is really on earth, pie in the sky is a lie after you die.
Hivi unafahamu kwamba Zanzibar, Comoro, Mauritius pia ni overseas? unaelewa kingereza kweli wewe?
me also am good in english
Kuna kiranja mmoja anaitwa Fang umewahi kuona kidhungu yake?
Huyo mfuga majini ni mfuasi wa shetani tu labda anajuwa ile lugha ya Lucifer tu.
Hivi unafahamu kwamba Zanzibar, Comoro, Mauritius pia ni overseas? unaelewa kingereza kweli wewe?
i want to use dictionary to study this language but how i will handling prononciation?
"is a waste of time" and then you have the bloody nerve to talk about my linguistic abilities.
Miss donkey una matatizo kweli (unafahamu maana ya "neddy" since you are so bent on linguistic acumen? )
Huyo mfuga majini ni mfuasi wa shetani tu labda anajuwa ile lugha ya Lucifer tu.
you speak language that is not english
and it is possible that you do not exist on earth
you live in your own world
ha ha ha ha...kaa pembeni....kiukweli cmpendi kiranga tena sana kwa kuwa c muumini wa uwepo wa MUNGU ila kwa kingerza yupo vzuri sana tu!!!
kaa pembeni huyu jama co level zako..unajidharaulisha!!
kujidharaulisha??,?,???????? hata mimi namkubali Kiranga lakini anapoongea misamiati ambayo hata nyinyi hamuielewi halafu mnabaki kushangilia ni ujinga ambao siwezi kuufanya kamwe
Kiranga sio mtu wa kupenda sifa wala kuogopa lawama.
Kupenda kusifiwa au kuogopa lawama hakujawahi kunizuia kujieleza ninavyofikiri.
Na sina mpango wa kuanza kubadilika sasa.