KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,109
Is that a fact or an ass-umption?
Mhhh....
Is that a fact or an ass-umption?
jamani ndo mfalme naingia! huyu window8 anasemaje malikia? si ameoa J.lee huyu?
teh.. wamechelea kabisa!!!
et anataka funguo ya pm king
Kusifiwa imekuwa balaa? naona umeshusha mbwembwe zoote.
Au wakali wa lugha ya mama au ung'eng'e,kuulewa umombo si mchezo kaka unaweza ukawa unateleza kama yai ukiongea na kuandika lakini ukiangalia bado ngeli inakuwa mbali,hata kiswahili tunaongea na kuandika ,lakini wanaokijua kiswahili hasa ni wachache sana,kuongea na kuandika si kujua lugha ,lugha ina mambo mengi.Salaamu wandugu,
Sio kila siku kupondana tu ,siku nyengine kusifiana na kutiana moyo ni bora.Kwa leo ningependa tuwape pongezi kwa kuwataja majina wazee wa umombo uliokwenda shule.Mimi ninaanza na jamaa mmoja anaitwa Kiranga.Huyu jamaa English yake imesimama sana.Hongera mkuu.Tuendelee.
Siwapendi watu wanaojisifu kwa kujua kiingereza wakati kwenye kiswahili tunaboronga kwa kuandika kiswahili kichafu,
'NAJISIKIA FAHARI KWA VILE NAJITAHIDI KUONGEA NA KUANDIKA KISWAHILI FASAHA'
hahahahahahahaha sidanganyikiNgoja nimuite J.lee aje akumwagie hicho kimombo wanachopashana hapa.
We niruhusu tu miss. Kuna new dictionary nimeipata ina bombastic za kiajemi nataka nikuzawadie.
Do not be hurt?
Partner? Who told you I had a partner in JF?
namnukuu kiranga kutoka kwenye ule mpambano
"permit me to gladly grab my sootless sticks out of the hazily hued humidor and evade eerie affable ephemeral enchantments with enviable equanimity while embarking from this putrid pungent pugilists pantomine, to a somber soliloquy of salitary sanity" mwisho wa kunukuu..ule mpambano watu tulikesha tulifatilia hadi ngumi ya mwisho..ndipo bi faizafoxy akaomba mpambano na nyaningabu..
Nyaningabu alianza kwa dharau kama hivi "you are a fool to the nth degree..you cant even string a coheren and syntactically correct sentence..and you want go toe toe with me? Please dont make a spectacle of yourself"
pia aliongeza " i'm a prefessional rhetorical ass whupper.i dont do it for free unless its for charity.so if you want see me in my professional capacity you'll have to pay some money"
Me....
Kiranga is a singularity.
I was kidding
Singularity Mpaka lini.......
hahahaa
asiporudi..........
Una maana kitabu kimedanganya?
Ndio......
Kiranga nimesoma Newsweek toka niko standard six nimeanza kwenda overseas toka Form 4 and nipo kwenye International organisation where I interact na so many colleagues from different countries but I can assure you can't be having a normal conversation na mtu Melbourne au San Francisco na akaanza kutumia such vocabulary to deliver a simple message. Point is, I am happy for you una knowledge ya kutumia such words lakini nitakupinga milele utakaposema our standards are low while we can fluently communicate in English.