Wakali wa umombo JF...

Wakali wa umombo JF...

Kimweri anajua kujenga hoja fast na kwa mtiririko wa kimantiki au hata kimtaa. Wengi hilo linawashinda inabaki lugha kingereza lakini hoja za kutafuta.
hicho ndio kigezo kinacho mfanya kimweri kuwa wa pekee ktk mijadala.post ndefu halafu imejaa mantiki tupu.kuna watu mungu kawajalia vipawa aisee.
 
Kimweri si tu kingereza,anaweza kubishana na mtu hata kwa kiswahili cha kimtaani na akashinda mnakasha.halafu jamaa ni bingwa wa kuandika post ndefu hapa JF kwa mda mfupi na bado ikawa na nondo tupu.huwa inamsaidia sana kuwachanganya wapinzani wake anaojadiliana nao since wengi wetu huwa hatupendi kusoma post zenye maneno mengi(kasumba ya baadhi ya waafrika ya kutopenda kusoma).wakenya kule kwenye jukwaa lao hawana hamu naye.huyo ndio kimweri,hao wengine hao mbwembwe tu labda kidogo EMT:becky:

ni mtizamo wangu tu.

Am humbled kadoda11,

Watani wa jadi, napenda kuwachemsha mara moja moja.
 
Last edited by a moderator:
kiukweli watanzania tuna safari ndeu ya lugha. Nijizungumzie binafsi. Angalizo:Ninaposema 'kizungu' ninamaanisha 'kingereza'

Nilikua naonekana ni kati ya wakali wa lugha ya kizungu bongo. Chuo mpaka kwenye ajira.
Tatizo nilikuja nje kusoma zaidi. Kiukweli nimefadhaika sana.
1. Hata misamiati yangu kumbe ni sehemu ndogo sana ya kingereza
2.Matamshi kumbe nilikua natamka isivosahihi.Hapa weng wetu Tz vnatamka maneno ya kizungu kwa matamshi ya kiswahili. Tunadhani tuko sawa lakini si kweli. Nazungumzia pronunciation na sio accent.
3. Sina hali ya kuzungumza kwa uhuru bila kuishiwa cha kuongea au kuwaza cha kuongea. Sjui ndo wanaita eloquence au spontaneous..nisahihisheni.
4. Pia,nimekutana na waafrika wanaozungumza kizungu,wananicheka na kunifadhaisha ati kwa kuwa tu sijui kizungu. Kisaikolojia imezd kuondoa kujiamini kwangu katika lugha na inafanya kujifunza kwangu kuwa kwa shda kwa kuwa hata kuongea unajishuku kwa kuwa unakejeliwa na kufedheheshwa.

Anyways,fikra sahihi huja kwa lugha sahihi. Bado ninawaza kwa kiswahili.
 
Kiranga nae ni balaa
Manake uandishi wake ni kama dizaini Ya akina Wole Soyinka au Ngugi wa Thiongo.
Nyani Ngabu yeye ukimleta hood au corporate America kote anapeta.
Ila kichekesho ni huyu muke ya muzungu- Natalie! Umarekani tena u conservative mwingiiii lakini hata kuondoka sentesi 4 za umombo ni shiiiiiidaaaaaar
 
If Kiranga's English is anything impressive at JF, it could only be because JF standards are too low, not because Kiranga is that impressive in the high command of this strange tongue.

Thank you twende kazi , you are far too kind.

another point in your favor mkuu..people who know always tend to be humble and modest...wont you simply accept the kudos? the guy did the observation..give credit to his findings!!!
 
After going through various posts including those of two "nominees" for the english mastery awards I have a few to say

The primary objective of a any piece of language work is to convey a certain message..except in an english examination room, nowhere any language user is supposed to have the motive of showing how much he/she masters the language..so if one posts a certain message then he should have the sole intention of being understood..otherwise itakuwa ni kutafuta sifa ambazo hazijengi.

Avery language has things like slangs, jargons and the like..if you dont belong to certain profession, age group, class and the like there are some words hutakaa uyajue labda kwa bahati mbaya...so to me if you are a lawyer and you tend to use legal language like ceteris paribus, quid pro quo, and the like while you are communicating to the general public at large then I will question your intelligence, seriously!!

It is absurd that I should have no problems in understanding what Agatha Christie, Leon Uris, Charles Dickens or Shakespeare has written the have problem understanding Ngugi and Peter Abrahams!!!

To me, I believe one knows better english who can say something and be understood by a range of all people from a Tanzanian Standard Seven Leaver to a man with a chain of degrees rather than a Tanzanian who can write something and have an englishman run for his dictionary!!!unless a message is coded for particular recepients!!!

If you intend to deliver a message for all people and go to pains to choose big words just to show that you know..what difference do you have with a person who hides something and at the same wishes people to see (not find) what he has hidden?

There is a big difference between delivering a message to be understood and delivering a message to show off!!!
 
Walimu nawashukuru kila mwaka, jana nimetoka kumpa big up Mama Bgoya mwalimu wangu wa kiingereza, ambaye kama mnaona najua chochote katika hii lugha, huyu mama alichangia.

She had to be good, she owned a publishing house and had access to a vast amount of material, and the history to go with it.

I benefited from the riches of "El Dorado".

I shall remain ever grateful.

I am impressed Kiranga,
 
Last edited by a moderator:
kiranga anatumia maneno magumu sana ya kiingereza ndo mana mnamsifia ila yote ya yote nakupa saluti bro kiranga,
 
Ila kweli jamani me nilipomaliza form six nilienda kwa mama yangu mdogo nukakutana na mwanae anasoma darasa la tatu nikawa namuogopa hata kumchokoza kuongea nae kingereza maana alikuwa anateleza mbaya
 
Duuuh!Mpaka raha.Jamaa akirudi na akaweza kujibu kwa sentensi mbili tu za kimombo.Nipewe ban ya siku tatu.Natamani ungekuwa mwalimu wangu.

Kiingereza cha kuandika na kuandika ni tofauti kabisaa. Many people can write much better than kuongea. Kama mnabisha waulizeni waandishi wa habari
 
really?i thank God,gave me an ability to pronounce well
this language u read on this reply,.to prove this,do call 0712061252..And that's that!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom