Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,749
- 145,499
Kiranga nisome vitabu gani nipige ung'ng'e kukuzidi wewe?
Mimi nilianza ku cram namba za simu kwa kiingereza nikiwa na miaka minne.
Baada ya hapo nikasoma illustrated Greek mythology for children madarasa ya chini ya primary school. Madarasa ya juu nikasoma sana Science Fiction za Dr. Asimov, vitabu vya Jackie Collins, Sidney Sheldon, James Hadley Chase, Mario Puzo etc. Nimesoma sana articles na vitabu vya waandishi wa nyumbani kama Wilson Kaigarula na Agoro Anduru.
Kujifunza lugha kunataka mazoezi ya kuandika na kuzungumza pia, niliandika mashairi Sunday News pamoja na kuwasiliana na marafiki wa kalamu kutoka pande zote za dunia tangu nikiwa na miaka 14.
Nilipofika miaka 17 nikaingia kwenye ulimwengu wa Stephen Hawkings na "Pilosophy of Religion: An Anthology".
List ni ndefu sana, aiwezi kuimaliza yote.
Mara nyingi nilikuwa nasoma vitu vilivyonizidi kimo na kupanua msamiati kwa haraka.
Njia moja ya kujua lugha ni kupanua msamiati. Unapanua msamiati kwa kutumia maneno unayojifunza. Ndiyo maana mara nyingine unamuona Kiranga anatoa maneno magumu ukafikiri ni mjivuni, kumbe mwenzenu ninajifunza lugha za watu tu.
Last edited by a moderator: