Kuna uongo niliosema? Sijajitapa, nimeenda jando mimi haya mambo nimefunzwa na wazeee wetu kabiss , baba yangu alikua dereva tu ila mama yangu aliishi maisha mazuri tu sana sijawahi kumuoana akilalamika, wameishi kijijini ila mama alikua na ngombe mbuzi kuku hakosi chakula mazee, ana wadada wa kazi. Anauza maziwa hakosi 10,000 kwa siku na hio ni zamani hela hio ilikua nyingi balaa, kifo ndo kimewatenganisha na mzee aliapply formula hizi hizi, yani adi anazeeka pensheni yake anaenda kuchukua maza benki. Natamani wazee wetu waseme na nyie vijana namna walivozeeka na wake zao.shida wazeee mkiambiwa ukweli mnakuja juu. TUNZA MKEO! Halafu me so bwana mdogo nimechelewa tu kuoa. Nimeoa nina 34 ivi niiite bro kaka, tulichelewa kuoa sababu ya ujinga wa kuogopa wanawake na kujazwa ujinga mitaani