Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,439
- 3,199
- Thread starter
- #41
Upo sahihi kabisa. Hawa wake wa kwenye mitandao ni matatizo sana.Unaoa mwanamke yupo kwenye aina zote za social media
Kutwa kuchwa kuweka picha zake kwenye profile zake ujue anajiweka sokoni
Mafunzo yanayotolewa hapa kuhusu wanawake yazingatie sababu ni uzoefu na sio hisia