Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,385
- 3,057
- Thread starter
- #21
Ila wa siku hizi anaume wambeaaaa🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Mtoa post na comments za mwanzo zote zao!
Mbona kama umeumia sana? Hili jukwaa huru dada
Ila wa siku hizi anaume wambeaaaa🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Mtoa post na comments za mwanzo zote zao!
Binafsi nimekuwa mwoga sana kuweka maisha yangu wazi, wengine tulibahatika kuoa wake warembo mnoKaolea jamii
Naunga mkono hojaWahuni ni watu ila kufatilia maisha ya mwanaume mwenzio ni usenge.
Ni sahihi kabisa MkuuHata Kaisari alichapiwa.....
Wafaransa husema C'est la vie, Such is Life.
Sio kila anae vaa suruali ni mwanaume shindiiIla wa siku hizi anaume wambeaaaa🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Mtoa post na comments za mwanzo zote zao!
Binafsi sipendi hizo mbanga za kuwekana wazi kama bendera, n hatari ila wengi hawajui. Kwanini hawajifunzi kwa matajiri zao kina GSM, Hersi na wengineo?Binafsi nimekuwa mwoga sana kuweka maisha yangu wazi, wengine tulibahatika kuoa wake warembo mno
Kitendo cha kumwanika tu, Vijana wa hovyo ama hata Wazee wasio na maadili wanaweza kufanya harakati kumpata
Nani asiyependa kuzeeka pamoja na rafiki yake wa maisha 🤗
Unajua hata mtu akitaka kukupiga Pesa anaweza kuku-blackmail kupitia familia ambayo utakuwa umepost post huko mitandaoniBinafsi sipendi hizo mbanga za kuwekana wazi kama bendera, n hatari ila wengi hawajui. Kwanini hawajifunzi kwa matajiri zao kina GSM, Hersi na wengineo?
Binafsi nimekuwa mwoga sana kuweka maisha yangu wazi, wengine tulibahatika kuoa wake warembo mno
Kitendo cha kumwanika tu, Vijana wa hovyo ama hata Wazee wasio na maadili wanaweza kufanya harakati kumpata
Nani asiyependa kuzeeka pamoja na rafiki yake wa maisha 🤗
Nlitaka niseme hili. Huwaoni wakiwarusha wake zao mitandaoni...maskini ndo huhangaikaBinafsi sipendi hizo mbanga za kuwekana wazi kama bendera, n hatari ila wengi hawajui. Kwanini hawajifunzi kwa matajiri zao kina GSM, Hersi na wengineo?
Leteni ushahidi kama Kato.mbewa kweli tujue. Ukute anamsingizia dada wa watu..huyu Kamwe ndo ana matatizo sio bure. Ndoa ya pili sijui ya tatu alizwe yeye tu..hapana nakataa.
Kama katombewa kweli basi jamaa ni mgonjwa kwenye mambo flani.
Kwanza atuambie yule rafiki yake alikuwa anabubujikwa machozi ya nini siku ile ya harusi.
Some things are better left untold...Ni sahihi kabisa Mkuu
Tatizo tuna huo uwezo wa kustahimili maumivu ya kuchapiwa?
Kuna Vijana wakiamua kukuchorea picha jinsi huyo mpenzi/Mke wako alivyokuwa anaambiwa anyonye hizo Koni
Utajikuta umebeba bastola yako na kwenda kuua mtu
Nahisi Vijana wanasumbuliwa na ulimbukeni tu wa maishaNa ukiwa na akili sheikh wangu mke wako humfanyi matangazo. Unamweka ndani anatulia huko. Tatizo vijana miaka hii wanaishi sana kwenye mitandao inawa cost
Wewe sasa unaleta ushabiki wa kitimu 😂😂😂Wanaume wenzangu mnazingua. Haya mambo waachieni akina mama. Unless otherwise kama mtoa mada ni mmama/mdada.
I get you, silence can be powerful sometimesSome things are better left untold...
Dada kafanyaje mbona hamsemi linaloeleweka.? Huyo mwenzenu Kamwe ni mzima kweli?Unaoa mwanamke yupo kwenye aina zote za social media
Kutwa kuchwa kuweka picha zake kwenye profile zake ujue anajiweka sokoni
Mafunzo yanayotolewa hapa kuhusu wanawake yazingatie sababu ni uzoefu na sio hisia