Wahuni si watu wazuri wamemharibia ndoa Ally Kamwe

Dalili mojawapo ya umasikini ni pamoja na kufuatilia mambo yasiyokuhusu
 
Nina mpwa wangu kaoa pisi kali, wahuni wameshindwa kumtokea huyo demu, wanaishia kumuambia dogo kuwa hawana cha kumpa huyo demu kwa kuwa dogo ana visenti vya kuchezewa na huyo demu. Dogo kamfungulia mke wake duka la dawa na duka jingine la kuuza vinywaji baridi jumla na rejareja, wana ka usafiri, ka mzunguko cha visenti si haba. Sasa huyu mamsap wa ally ana mapungufu gani mpaka alimwe talaka tatu? Tatizo ni upelekaji wa moto au nini?
 
Leteni ushahidi kama Kato.mbewa kweli tujue. Ukute anamsingizia dada wa watu..huyu Kamwe ndo ana matatizo sio bure. Ndoa ya pili sijui ya tatu alizwe yeye tu..hapana nakataa.
Kama katombewa kweli basi jamaa ni mgonjwa kwenye mambo flani.
Kwanza atuambie yule rafiki yake alikuwa anabubujikwa machozi ya nini siku ile ya harusi.
Mshkaji ni broiler
 
Dah yani nikisoma comment zote naona nyie majamaa ni washamba sana. Mazee eti ukipost mwanamke wanapita naye 🤣🤣🤣 yani mdada anaamka kila siku anaenda kazini kwani huko barabarani au kazini hawamwoni? Hamna maisha private ya ndoa ndugu zangu, na mbona ally sio mtu wa kupost mambo yake, yani kupost harusi tu ndo mnamsema hivi? Dads mwenyewe hata simjui mtandaoni na wala hamna mtu kamjua mpaka siku ya harusi acheni ushamba wazee mnamwonea wivu tu sababu demu mzuri wajinga nyie.
Pili oyaa Ally ndo kafumwa anataka kucheat ndo mwanamke kuondoka. Wanawake wa siku hizi sio kama mama zetu sijui akuvumilie, ukihiharibu ni kwao. Nina washkaji wengi sana harusi mwaka mmoja mwanamke kasepa. Unajifanya unamtesa mdada unamwekea kiburi na ana kwao na kazi anayo, badilikeni wanaume ishi na mkeo vizuri mambo ya Ally yawe fundisho wanawake wa siku hizi hawavumilii kama mama zetu kama anaona huna adabu anakukinbia.

Nb. Wanaume wenzangu tuambiane ukweli. Mpaka mwanamke wako kaliwa ni mambo mawili tu
1. Hutoi pesa ya matumizi, ukweli ni kwamba mwanamke akikupenda kakupenda bwana sasa we ukileta ubahili na unataka kula vizuri pesa hutoi shauri yako, watoto wako hawatafanana
2. Humridhishi, ndoa ni mapenzi, mridhishe mkeo, mkaze kweli kweli, anapata wapi nguvu kutoka nje

Aise nimeoa miaka 7 sasa mke wangu nimemfungulia duka sinza, ana kashingingi kake kila wiki ana posho laki 5 na kadi yangu ya mshahara anakaa nayo wanaume wote anawaona mafala tu🤣 nikisoma messages zake kwa simu nabaaaki kucheeeka sana, yeye ndo anaishia kuwashauri. Ukimweka mke wako juu hamna mwanaume atamkaribia, sio mnachapiwa mnamwita mdada malaya wakati hutoi hata hela ya chakula, mdada kaaachooooka kapauka hana ata nguo, unadhani akipita mtu na range hatapita nae? Yani wanawake hawa wake zenu wanalalwa kwanpesa ndogo ambazo ungeweza kabisa kumpa, Hamna mwanamke ambae hapendi maisha mazuri ni suala la muda tu, unakuta mdada analala na bosi wake anapewa hela anaenda kulipa ada, hii nimeona sana, ukwel ni ndoa siku hizi wazee mnazingua jirekebisheni. Mke wangu akinionesha maombi ya wanawake makanisani utajisikia kulia ‘ maombi mme wake, atulie nyumbani,’ ‘ maombi ya kipato cha mme wake’ hivi apo ukichapiwa utallamika kweli? Mwanamke yuko kanisani anafunga ili uwe unatoa hela? Wanaume tunahitaji kuongea, kuna kizazi cha wanaume kinatengenza wanawake makatili ambao watakuja kutesa watoto wetu wa kiume sababu yao
 
1. Hutoi pesa ya matumizi, ukweli ni kwamba mwanamke akikupenda kakupenda bwana sasa we ukileta ubahili na unataka kula pesa huto shauri yako, watoto wako hawatafanana

Aise nimeoa miaka 7 sasa mke wangu nimemfungulia duka sinza, ana kashingingi kake kila wiki ana posho laki 5 na kadi yangu ya mshahara anakaa nayo wanaume wote anawaona mafala tu🤣 nikisoma messages zake kwa simu nabaaaki kucheeeka sana, yeye ndo anaishia kuwashauri. Ukimweka mke wako juu hamna mwanaume atamkaribia, sio mnachapiwa mnamwita mdada malaya wakati hutoi hata hela ya chakula, mdasa kaaachooooka, unadhani akipita mtu range hatapita nae? Hamna mwanamke ambae hapendi maisha mazuri ni suala la muda tu, jirekebisheni
Duuuu kuna vituko show duniani kwamba umempa kadi ya mshahara na meseji zake unasoma kisha unacheeeka mwenyewe.....🤣😂😅............eneway ndoa ndo kozi ambayo cheti cha ndoa hutolewa kabla ya kozi yenyewe.
 
Anashika yeye afu anaitumia yoote 🤣🤣 ukitaka heshima kwenye ndoa toa pesa mwanaaaa. Hutashangaa haya mambo, nina miaka 7 sijaishika na sijawahi ombwa hela miaka 7. Shida wazee pesa mnatoa sehem moja hii huwezi kufanya.. mshahara ni asilimia 20 tu ya kipato changu
 
Dah yani nikisoma comment zote naona nyie majamaa ni washamba sana. Mazee eti ukipost mwanamke wanapita naye 🤣🤣🤣 yani mdada anaamka kila siku anaenda kazini kwani huko barabarani au kazini hawamwoni? Hamna maisha private ya ndoa ndugu zangu, na mbona ally sio mtu wa kupost mambo yake, yani kupost harusi tu ndo mnamsema hivi? Dads mwenyewe hata simjui mtandaoni na wala hamna mtu kamjua mpaka siku ya harusi acheni ushamba wazee mnamwonea wivu tu sababu demu mzuri wajinga nyie.
Pili oyaa Ally ndo kafumwa anataka kucheat ndo mwanamke kuondoka. Wanawake wa siku hizi sio kama mama zetu sijui akuvumilie, ukihiharibu ni kwao. Nina washkaji wengi sana harusi mwaka mmoja mwanamke kasepa. Unajifanya unamtesa mdada unamwekea kiburi na ana kwao na kazi anayo, badilikeni wanaume ishi na mkeo vizuri mambo ya Ally yawe fundisho wanawake wa siku hizi hawavumilii kama mama zetu kama anaona huna adabu anakukinbia.

Nb. Wanaume wenzangu tuambiane ukweli. Mpaka mwanamke wako kaliwa ni mambo mawili tu
1. Hutoi pesa ya matumizi, ukweli ni kwamba mwanamke akikupenda kakupenda bwana sasa we ukileta ubahili na unataka kula pesa huto shauri yako, watoto wako hawatafanana
2. Humridhishi, ndoa ni mapenzi, mridhishe mkeo, mkaze kweli kweli, anapata wapi nguvu kutoka nje

Aise nimeoa miaka 7 sasa mke wangu nimemfungulia duka sinza, ana kashingingi kake kila wiki ana posho laki 5 na kadi yangu ya mshahara anakaa nayo wanaume wote anawaona mafala tu🤣 nikisoma messages zake kwa simu nabaaaki kucheeeka sana, yeye ndo anaishia kuwashauri. Ukimweka mke wako juu hamna mwanaume atamkaribia, sio mnachapiwa mnamwita mdada malaya wakati hutoi hata hela ya chakula, mdasa kaaachooooka, unadhani akipita mtu range hatapita nae? Hamna mwanamke ambae hapendi maisha mazuri ni suala la muda tu, jirekebisheni
Bwana mdogo
Bado una safari ndefu sana.......

USIMALIZE MANENO....WEKA AKIBA YA MANENO.......

SIKU ZOTE OMBEA AMANI NA UPENDO VIENDELEE KWENYE NDOA YAKO.....USIKEJELI NA KUWACHEKA WENGINE......

Kiumbe mwanadamu hubadilika muda na saa yoyote....ndio maana kuna marafiki waliogeuka kuwa maadui na kuna maadui waliokuwa marafiki!!

Hakuna mjanja au mwalimu wa mapenzi......

TARAJIA LOLOTE, WAKATI WOWOTE KUTOKA KWA MWANADAMU.....
 
Kuna uongo niliosema? Sijajitapa, nimeenda jando mimi haya mambo nimefunzwa na wazeee wetu kabiss , baba yangu alikua dereva tu ila mama yangu aliishi maisha mazuri tu sana sijawahi kumuoana akilalamika, wameishi kijijini ila mama alikua na ngombe mbuzi kuku hakosi chakula mazee, ana wadada wa kazi. Anauza maziwa hakosi 10,000 kwa siku na hio ni zamani hela hio ilikua nyingi balaa, kifo ndo kimewatenganisha na mzee aliapply formula hizi hizi, yani adi anazeeka pensheni yake anaenda kuchukua maza benki. Natamani wazee wetu waseme na nyie vijana namna walivozeeka na wake zao.shida wazeee mkiambiwa ukweli mnakuja juu. TUNZA MKEO! Halafu me so bwana mdogo nimechelewa tu kuoa. Nimeoa nina 34 ivi niiite bro kaka, tulichelewa kuoa sababu ya ujinga wa kuogopa wanawake na kujazwa ujinga mitaani
 
Dah yani nikisoma comment zote naona nyie majamaa ni washamba sana. Mazee eti ukipost mwanamke wanapita naye 🤣🤣🤣 yani mdada anaamka kila siku anaenda kazini kwani huko barabarani au kazini hawamwoni? Hamna maisha private ya ndoa ndugu zangu, na mbona ally sio mtu wa kupost mambo yake, yani kupost harusi tu ndo mnamsema hivi? Dads mwenyewe hata simjui mtandaoni na wala hamna mtu kamjua mpaka siku ya harusi acheni ushamba wazee mnamwonea wivu tu sababu demu mzuri wajinga nyie.
Pili oyaa Ally ndo kafumwa anataka kucheat ndo mwanamke kuondoka. Wanawake wa siku hizi sio kama mama zetu sijui akuvumilie, ukihiharibu ni kwao. Nina washkaji wengi sana harusi mwaka mmoja mwanamke kasepa. Unajifanya unamtesa mdada unamwekea kiburi na ana kwao na kazi anayo, badilikeni wanaume ishi na mkeo vizuri mambo ya Ally yawe fundisho wanawake wa siku hizi hawavumilii kama mama zetu kama anaona huna adabu anakukinbia.

Nb. Wanaume wenzangu tuambiane ukweli. Mpaka mwanamke wako kaliwa ni mambo mawili tu
1. Hutoi pesa ya matumizi, ukweli ni kwamba mwanamke akikupenda kakupenda bwana sasa we ukileta ubahili na unataka kula vizuri pesa hutoi shauri yako, watoto wako hawatafanana
2. Humridhishi, ndoa ni mapenzi, mridhishe mkeo, mkaze kweli kweli, anapata wapi nguvu kutoka nje

Aise nimeoa miaka 7 sasa mke wangu nimemfungulia duka sinza, ana kashingingi kake kila wiki ana posho laki 5 na kadi yangu ya mshahara anakaa nayo wanaume wote anawaona mafala tu🤣 nikisoma messages zake kwa simu nabaaaki kucheeeka sana, yeye ndo anaishia kuwashauri. Ukimweka mke wako juu hamna mwanaume atamkaribia, sio mnachapiwa mnamwita mdada malaya wakati hutoi hata hela ya chakula, mdada kaaachooooka kapauka hana ata nguo, unadhani akipita mtu na range hatapita nae? Yani wanawake hawa wake zenu wanalalwa kwanpesa ndogo ambazo ungeweza kabisa kumpa, Hamna mwanamke ambae hapendi maisha mazuri ni suala la muda tu, unakuta mdada analala na bosi wake anapewa hela anaenda kulipa ada, hii nimeona sana, ukwel ni ndoa siku hizi wazee mnazingua jirekebisheni. Mke wangu akinionesha maombi ya wanawake makanisani utajisikia kulia ‘ maombi mme wake, atulie nyumbani,’ ‘ maombi ya kipato cha mme wake’ hivi apo ukichapiwa utallamika kweli? Mwanamke yuko kanisani anafunga ili uwe unatoa hela? Wanaume tunahitaji kuongea, kuna kizazi cha wanaume kinatengenza wanawake makatili ambao watakuja kutesa watoto wetu wa kiume sababu yao
Usijiamini kupita kiasi. Mkeo kutokukusaliti hakutokani tu na wewe, % kubwa ni yeye. Anajidhibiti. Wewe na pesa zako huwezi kuzuia tamaa zake, Pengine kuna nyakati huwa anaiota kabisa ya mtu mwingine ila anadhibiti kutimiza hilo tukio hivyo halitokei.

wapo masikini wengi tu wenye wake wanaojidhibiti, wanaachiwa elfu tano na wanadhibiti tamaa zao wanaposhawishiwa kupewa elfu 10. Mwanamke akiamua kubadili ladha hakosi sababu ya kuhalalisha kutimiza haja ya tamaa yake.

Unaweza mpa mkeo range yenye full tank kila wiki na M1 kila wiki na bado akaingiliwa na mtu aliyemsaidia kugeuza gari sehemu korofi.

Wanawake nyakati fulani nao huingiwa na tamaa za kubadili ladha, kutokuiendekeza hiyo tamaa ndo pona ya ndoa zetu na si uwezo wako wewe kama mwanaume pekee unaozuia hilo. Usijidanganye.
 
Kuna uongo niliosema? Sijajitapa, nimeenda jando mimi haya mambo nimefunzwa na wazeee wetu kabiss , baba yangu alikua dereva tu ila mama yangu aliishi maisha mazuri tu sana sijawahi kumuoana akilalamika, wameishi kijijini ila mama alikua na ngombe mbuzi kuku hakosi chakula mazee, ana wadada wa kazi. Anauza maziwa hakosi 10,000 kwa siku na hio ni zamani hela hio ilikua nyingi balaa, kifo ndo kimewatenganisha na mzee aliapply formula hizi hizi, yani adi anazeeka pensheni yake anaenda kuchukua maza benki. Natamani wazee wetu waseme na nyie vijana namna walivozeeka na wake zao.shida wazeee mkiambiwa ukweli mnakuja juu. TUNZA MKEO! Halafu me so bwana mdogo nimechelewa tu kuoa. Nimeoa nina 34 ivi niiite bro kaka, tulichelewa kuoa sababu ya ujinga wa kuogopa wanawake na kujazwa ujinga mitaani
Sawa
Mkuu kila la kheri
 
Usijiamini kupita kiasi. Mkeo kutokukusaliti hakutokani tu na wewe, % kubwa ni yeye. Anajidhibiti.

wapo masikini wengi tu wenye wake wanaojidhibiti, wanaachiwa elfu tano na wanadhibiti tamaa zao wanaposhawishiwa kupewa elfu 10. Mwanamke akiamua kubadili ladha hakosi sababu ya kuhalalisha kutimiza haja ya tamaa yake.

Unaweza mpa mkeo range yenye full tank kila wiki na M1 kila wiki na bado akaingiliwa na mtu aliyemsaidia kugeuza gari sehemu korofi.

Wanawake nyakati fulani nao huingiwa na tamaa za kubadili ladha, kutokuiendekeza hiyo tamaa ndo pona ya ndoa zetu na si uwezo wako wewe kama mwanaume pekee unaozuia hilo. Usijidanganye.
Huyo ndugu.....namhurumia siku likimtokea jambo baya anaweza kufanya maamuzi mabaya Sana......anamdhania mkewe mazuri asilimia mia kama sio mwanadamu vile
 
Mhurumie tu mkuu maana utafanyaje sasa mtu anajiamini na pesa utasema yeye hajaumbwa na mwili wa nyama ni jini.
 
Usijiamini kupita kiasi. Mkeo kutokukusaliti hakutokani tu na wewe, % kubwa ni yeye. Anajidhibiti. Wewe na pesa zako huwezi kuzuia tamaa zake, Pengine kuna nyakati huwa anaiota kabisa ya mtu mwingine ila anadhibiti kutimiza hilo tukio hivyo halitokei.

wapo masikini wengi tu wenye wake wanaojidhibiti, wanaachiwa elfu tano na wanadhibiti tamaa zao wanaposhawishiwa kupewa elfu 10. Mwanamke akiamua kubadili ladha hakosi sababu ya kuhalalisha kutimiza haja ya tamaa yake.

Unaweza mpa mkeo range yenye full tank kila wiki na M1 kila wiki na bado akaingiliwa na mtu aliyemsaidia kugeuza gari sehemu korofi.

Wanawake nyakati fulani nao huingiwa na tamaa za kubadili ladha, kutokuiendekeza hiyo tamaa ndo pona ya ndoa zetu na si uwezo wako wewe kama mwanaume pekee unaozuia hilo. Usijidanganye.
Huyu mwanamke nimeoa tu miaka 7 ila nipo nae huu mwaka wa 15! Binadamu ni binadamu tu ndugu, ila wajibu wangu nimetimiza. Hivi ndivo nilivooona mama zangu wameishi na wamekufa na waume zao, wewe endelea wako kumpa elfu 5. Mimi huyu navoendeoea kumpa ndivyo navyobarikiwa. Akinisaliti ni yeye na Mungu wake ila sitakua na dhambi ya kutesa mtoto wa mtu never! Sasa we endelea kumpa elfu 5 afu me niendelee kumpa nachompa tutaonana mbele ya safari, ila ushauri tu. HUDUMIA MKEO na nishasema wanawake kutoka nje ya ndoa ni mambo mawili tu, hupigi mashine humhudumii, hao wanawake mnaowaona wanatoka na vijana sijui wa carwash jibu unalo mzeee hupigi mashine. Tukutane kwenye kahawa mazeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom