Wahuni si watu wazuri wamemharibia ndoa Ally Kamwe

Kwenye ukweli tuseme ukweli jamani yule dada ndo anaowafuata wanaume sio yeye kufuatwa. Ukimfuatilia utaona kila mwanaume akimwona kwenye peak lazma atoke nae inaweza ikawa mambo ya kishirikina pia, yule ni kwamba ni hulka yake. Hashim alivopeak katoka nae, ali kiba, diamond hadi mkuu wa nchi aseee, na nimesoma nae loyola… hadi shule alikua ivo ivo, kumtumia kama mfano ni kama kusema wanaume wote tunapenda kuoa afu mfano ukatumika wa manara aliekubuhu hadi tumemchoka🤣
Ndugu yangu hao wanaume wote niliowataja wana matatizo ya ego. Jokate sio kwamba anawafwata sisi tukitoboa ndio tunawatafuta. Sisi wanaume tupo ambao tunataka tuonje alipopita mtu aliyetuzidi. Jokate asingekuwa analiwa na Mengi JPM asingepita naye.
 
Bro niamini mimi, huyo demu anajilengesha🤣🤣🤣 watu mpaka tumesoma nae tunamfaham unabisha. Kwa vunjabei mpaka kazaa akisubiri ndoa. Kwa diamond alikua rafiki wa wema, akatoka na diamond, alikua rafiki wa hamisa akatoka na vunja, yani anaanzaga mbali kweli. Pata mawe sasa hivi uonekana kwenye mbili tatu uone kama hata kuja karibh yako🤣🤣🤣 mademu kama hao mbona wapo! Jokate nimemkuta mpaka lobby za hoteli wapopo wakija kuperform akina davido sijui tekno🤣🤣 mjini hapa, na hao nao wamemfuata? Au yeye kawafuata hoteli? Au tukuoneshe picha?
 
Ndugu yangu kama una hela utakubali kula demu ameshaliwa na watu kibao ? Ndio maana nimekwambia sisi ndio tunamfuata. Hivi unajua mpaka leo kuna watu wanatoa milioni tatu mpaka tano kulala na Uwoya, Kajala, Wolper na Aunt Ezekiel. Sasa nikuuliza hawa wanawake ni vigori au watu wanataka kujua waliopita hapo waliionja nini ? Ndio maana nasisitiza kuwa waliopita na Jokate wote walitaka kujua waliopita kabla wali-enjoy utamu upi ? Hata huyo Vunjabbei alikuwa na Hamisa alitaka kujua Diamond alionja nini .
 
onesha
 
Bro unaishi wapi? Mke aligundua hili, sio tu kafumaniwa alikuwa anabaka watoto wadogo huko epstein island na jina lake liko kwenye listi. Mke Alivogundua akaomba talaka na akaomba mgao wake wa mali mapema maaana anajua listi ikiwekwa tu wazi anakuja kufilisiwa na kesi za mahakamani. Gates alivoona jau akampa chake na akafunga kabisa na kampuni ya gates foundation iko kwenye hatua ya mwisho ya kufunga vilago na mtoto akawekewa fedha kwenye trust wanasubiri muda wowote bomu kulipuka
Usipende Sana kusoma udaku mkuu
 
Ndugu yangu kama una hela utakubali kula demu ameshaliwa na watu kibao ? Ndio maana nimekwambia sisi ndio tunamfuata. Hivi unajua mpaka leo kuna watu wanatoa milioni tatu mpaka tano kulala na Uwoya, Kajala, Wolper na Aunt Ezekiel. Sasa nikuuliza hawa wanawake ni vigori au watu wanataka kujua waliopita hapo waliionja nini ? Ndio maana nasisitiza kuwa waliopita na Jokate wote walitaka kujua waliopita kabla wali-enjoy utamu upi ? Hata huyo Vunjabbei alikuwa na Hamisa alitaka kujua Diamond alionja nini .
Me mtoto wa mjini weweee 🤣 sijaja dar juzi. Uwoya anawalipa mabaamedi tips na kidimbwi wamwambie lugumi anapokuepo ili aje 🤣🤣 nimeshuhudia kwa macho yangu. Jojo anajilengesha mpaka mahotelini. Sisi watu tunaokodisha magari tunajua siri nyingi za hao madada . Pesa nyingi wakilipwa dola 500 🤣🤣🤣 msiwadanganye watoto wakike waache kusoma waanze kujiuza wakiamini kuna pesa humo, hakuna!!! Ni ushetani tu na mwisho wake ni ukimwi hao wadafs wameokoka kweli na wamejitahidi kubadilisha maisha yao. Tusirudi nyuma kabisa kujifanya walitajirika ni udhalilishaji tu, Mungu kawasaidia wameonokana sasa wanafanya mambo halali. Ila msijifanye kwamba wamenufaika, hawajanufaika. Msiwaponze wanawake, wanaume wanaolipa million 3 kwajili ya mbunye hawapo! Waache mabinti wasome wajitafutie wakutane na watu wa maana waolewe wajenge maisha, kujiuza sio mtaji
 
Kwa hio Uwoya analipwa dola 500 ngapi apate ada ya kumsomesha FEZA mtoto wake ?Bado wapo wanaowatafuta kuna jamaa anamtafuta kajala tayari kashachoma milioni mbili. Hii nimeshuhudia kwa macho yangu. Oa mwanammke maarufu at your risk.
 
Okay
Inaonekana unampenda sana acha akuoe wewe sasa

Ndoa njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom