Bill gate jeff bezos na diamond mbona mfano hauendani, hao wameachwa sababu wao ndo wamefanya umalaya bro, tena mbele za watu na watu wakaona na wakajua…. Wanawake wa leo sio kama mama zetu. Hoja yangu ni mwanamke kutoka nje ya ndoa sio kawaida, mara nyingi ni matunzo fedha au kitanda, hao uliowaaja wote wameacha wao mume sababu ya uzinzi wa waume zao. Ni wanawake wachache sana unaweza kuwadhalilisha mbele ya wanawake wenzao na wakabaki na wewe. Ila mwanaume ambae hatoi huduma wala matunzo kwa mke wake, hilo ni red flag asee. Ukitunza mwenzako na uwe mwamnifu mwanamke kukuacha au kutoka nje ni ndoto, labda kama umeoa kahaba