Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,305
Hali hii hutufanya tuwe waoga sana kumiliki mkeEti nijibu kwa sms pls. Na huto tuchikopa? Wifi etu kaenda kukipeleka mahali penye usalama.
Hali hii hutufanya tuwe waoga sana kumiliki mkeEti nijibu kwa sms pls. Na huto tuchikopa? Wifi etu kaenda kukipeleka mahali penye usalama.
Sema hako ka emoji [emoji3059] kakiwaki kinoma mzee
No kweli lakini ndo umuonyesheee mwenzako???Akachakatwe nje ina maana mumeo kashindwa????ukimfuatilia sana Bata utashindwa kumla. Kwani ulimuoa akiwa Bikra?
Mungu akutie nguvu
Usake pesa huku wenzako wanakitumia kifaa chako!!!!Mwanamke alindwiii mkuu ..
J Tano akienda Kwa mama yake ww kasakee PESA...
Acha kujipa stress kisa MWANAMKEE..
Huwajui wanawake vizuriMtafute mama cathe upate udhibitisho,
Lakini sidhani kama kuna ishu iliyo kuwa imepangwa, maana alikuomba mtoko , kama ungekubali angefanyaje hicho unachodhania.
Jitahidi sana usijue negative za mwenzako zitakuumiza sana na kuifikisha safari yenu mwisho bila kufika mwisho wenyewe.
Na inaonyesha ni muda mreefu tu si unajua mwizi akicheza ndani ya 30' huwa hakamatwi!!!!Sasa hi inaitwa ndani ya 40Bro Kuna mtu anakugongea mke...jikaze mruhusu ila ufatilie nyendo zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka sasa ni half time anaongoza 1 bila, sawazisha. Abort misheni mkuu mama katherine anaupiga mwingi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tayariii
Wee wengine wanaigiza sauti km muhusika, huu mchezo tuliwahi mchezea shem, niliigiza sauti ya dada, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unategemea mama atamuangamiza mtoto wake mama lazima amfichie siri mtoto wake na kusema yupo nae akisema anataka kuongea nae kwa simu atamwambia labda kaenda dukani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Azania kwa wa vipaji.. hapo tu Temeke Sekondari vidato viwili unafungua code za mama Cathe
Hata Mimi yalishanikuta hayohayo.Yaani mtu bado anawasiliana na maX zake Tena anakwambia kabisa sifuti contact zake,Mara Tena mawasiliano na mwanamke mwingine.Yaani Hadi pesa zinatumwa,ndani hakuna kitu hata akiba ya buku kumi!!!Hizi ndoa Hizi!!!Nilikua na pisi ilikua iko makini sana na text. Huwezi kuta sms ktk simu yake, na kila wkt unaona anajichatisha na watu. Yuko fasta sana kwenye kufuta text. Halafu nilikua nimeshaset mipango ya kumuoa na tulikua tumeshaanza kuishi pamoja kama miezi mitano hivi.
Kuna siku sijui alijisahau nini, akaenda bafuni kaacha simu kitandani nikaperuzi nikakuta anajibebisha kwa x anamuomba game! Imagine, demu unataka kumuoa na mshaandaa mpaka kamati za harusi lkn anaomba game ya kupasha kiporo kwa x! Nilipiga chini mazima. Alichizika miksa vikao na maushauri ya wazee lkn sikuskiliza mtu, nilibaki na msimamo wangu ule ule!
Mpaka sasa mtu akisema KATAA NDOA simshangai!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama unataka kuhkikisha toa ruhusa then ikifika hyo siku akiondoka na ww anza safar kwenda kwa mkwe msipishane muda then ukimkuta sema umekuja na ww kumuona usipomkuta jua chama cha upinzan kinafanya mkutano wa hadhara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu??Una uhakika huyo D ni wa kwako?
Umetumia njia ndefu, mwambie tu ukweli kuwa amepata msaidizi 😅😅😅
Jamani Kuna watu hawawezi kutulia kabisa,lazima achepuke tu.Mkeo alianza zamani kuchepuka wewe ndio umechelewa kujua