Wahitimu wa Cuba naombeni msaada wenu tafadhali

Wahitimu wa Cuba naombeni msaada wenu tafadhali

Nilikua na pisi ilikua iko makini sana na text. Huwezi kuta sms ktk simu yake, na kila wkt unaona anajichatisha na watu. Yuko fasta sana kwenye kufuta text. Halafu nilikua nimeshaset mipango ya kumuoa na tulikua tumeshaanza kuishi pamoja kama miezi mitano hivi.

Kuna siku sijui alijisahau nini, akaenda bafuni kaacha simu kitandani nikaperuzi nikakuta anajibebisha kwa x anamuomba game! Imagine, demu unataka kumuoa na mshaandaa mpaka kamati za harusi lkn anaomba game ya kupasha kiporo kwa x! Nilipiga chini mazima. Alichizika miksa vikao na maushauri ya wazee lkn sikuskiliza mtu, nilibaki na msimamo wangu ule ule!

Mpaka sasa mtu akisema KATAA NDOA simshangai!
Siku za mwizi kuiba ni nyingi ila siku ya kuja kukamatwa ni moja!
 
Kwenye attachment hii ni convo ya mimi na mkewangu ambayo ilifanyika jana kupitia simu zetu. Story ni hivi, juzikati 'Jmosi' tuliandaa sherehe ya birthday ya mwaka mmoja ya mtoto wetu D, tulifanyia nyumbani huku tukialika majirani kadhaa. Maandalizi ya tukio zima roughly ilinicost kama laki2 na nusu hivi, nashukuru Mungu ilipendeza sana kama matarajio yetu yalivyokuwa (tulienjoy).

Kesho yake Jpili siku ya pasaka baada ya kutoka church nikaunganisha kwenye shughuli zangu za ujasiriamali, maana kama ni kusherehekea jana yake nilisherehekea vya kutosha kwa maana hadi saa7 usiku tulikuwa tunacheza mziki na kupigwa vyombo, hivyo sikuona sababu ya kuwa na mtoko tena siku inayofata badala yake niitumie hiyo siku kupiga kazi na kuupa unafuu mfuko baada ya kuvunja kibubu, Mama D aliniomba tutoke nikamwambia nimechoka na shughuli ya jana, acha leo nipige kazi, siku ikawa imepita.

Siku ya jana j3 nilikuwa kazini kwangu, nikawa na convo fupi ya sms na Mama D, baada ya kama nusu saa akatuma ujumbe kimakosa ambao ulikuwa unapaswa kwenda kwa mtu mwingine

'Mtandao mbaya sehem gani kutakua na usalama? Uko sipajui [emoji3059]Nijibu kwa sms plz'.

Sikumjibu chochote baada ya kusema amekosea huo ujumbe ulikuwa unaenda kwa 'Mama Catherine ', baada ya kama lisaa limoja nikarudi home kupata lunch, sikuhoji chochote kuhusu hiyo msg yake, akasema by saa 10 jioni ataondoka kuelekea Beach. Mimi nikamwambia usiende, akahoji kwanini wakati uliniruhusu? Nikamwambia nikweli nilikuruhusu ila nimeahirisha, maongezi yakaishia hapo japo alionekana kukasirika, leo asubuhi kipindi tunapata breakfast kaniomba ruhusa kesho 'Jtano' aende kumuona Mama yake, mimi nikamjibu sawa (Mama yake anaishi pembeni mwa mji, ni kama kilometa 15 kutoka tunapoishi).

Kifupi hiyo sms ya jana aliyoituma kwangu kimakosa imenifikirisha sana, na hii safari ya katikati ya wiki kwenda kumuona Mama imenifikirisha zaidi, nahisi kuna mnyamwezi anataka kunisaidia majukumu, naombeni ushauri wasomi wenzangu, huu mtego nautegua vipi ama ni hisia zangu tu ndio zimekuwa negative? Nimruhusu hiyo kesho aende, ama nimkatalie ili niharibu formation?

NB; kwa miaka miwili tuliyoishi pamoja sijawahi mfumania Mama D, wala sijawahi hisi kama ananisaliti, ila kwa hiyo meseji nimeanza kuhisi kituView attachment 2584561
Aah mzee kimeumana just abort the mission
 
Kwa muonekano wa njee hakuna tatizo ila ukiangalia indeep kama kuna shida hivi kwanza pitia maelezo yake mara mbili mbili ya huo ujumbe utagundua hali haipo sawa kwanini asisitize usalama kwani mtaa anaoenda una mapigano na kama hakuna usalama kwanini aende na kama lengo ni kuonana na mama caterina na anahisi kwake hakuna usalama si huyo aje kwake
Na jiulize wana mada gani mpaka ikawa hatarishi mpaka watafute suluhu za usalama

Jamaa yangu unaìpiwa pole na anza uchunguzi utagundua

Na cha mwisho kilichomuhimu pitia kwenye huo ujumbe kuna emoji kisha jiulize hiyo alama ina maana gani
 
Wengi mnashauri sijui afuatilie mara achunguze mnasahau tatizo kubwa hapa ni INTENTION ya huyu mke wake. Mnachofanya ni delay ila maamuzi ashayafanya kwamba anaenda kuliwa. Unaweza umfuatilie kwa mama yake hata kumfuata nyuma nyuma and probably asiliwe hio Jumatano ila kama ameamua kumtunuku mtu mbususu atampa tu. Je from now utakuwa una mchunga kila saa. Mimi ninajua kuna mwana alikuwa anachepuka na mke wa mtu ambae alikuwa X wake ki akili sana huwezi chunguza. Mke amawekewa tracker mpaka kwenye gari, sijui simu etc. Ila baada ya mke kugundua, anafika ofisini kama kawaida, siku akitaka kuchepuka, anaaga tu job katikati ya week kwamba anaenda kuzika mchana ila atarudi, anaacha simu na gari ofisini huyu anachukua boda anakutaka na jamaa it takes 2 hours tu analiwa mbususu anarudi kazini maisha yanaendelea. Mwamba atumi sms wala nn ni mpaka atafutwe na they have been doing that shit for two years now.

Shida ya sikuhizi wanawake wengi wanaolewa na watu ambao hawawapendi au kuwa na deep feelings bali wamefuata heshima ya ndoa. Ila anakuwa na mwamba kamuelewa na mwamba kama akiomba mbususu, manzi lazima atoe tu hata wewe umuhonge sijui PRIVATE JET.
 
Huyo mwanamke analiwa, na jamaa hajamnyima uhuru wa mawasiliano tambua hilo kwanza.

Anampiga pumbu huku kamruhusu aendelee kutumia simu mbele zake achart na wewe na hajisiki vibaya wala hana wivu kabisa cz hana future na huyo mwanamke ana mchezea tuu demu wako alafu amdump...

# Piga chini huyo malaya, usisubirie akupige chini wewe
 
Ameshakula nauli ya mtu huyo+hiyo sms ni julisho kwako kuwa hauko alone!!...kaa chonjo mkuu mzigo unaenda kuliwa na ameshanogewa maana unaona namna analazmisha!!!Kama unampenda bado funika kombe ila kama umemchoka mfuatilie uone anavyokataga mauno kwa juhudi.ova
 
Kama unataka kujua ukweli na uko tayari fanya hivi;

Mruhusu aende then baada ya muda flan muulize umefika au la? Akisema ndio na wewe nenda kwa huyo mama mkwe kujihakikishia kweli maan ukisema upige tu simu unaeza chezewa mchezo na mama na mtoto! #usisahau mrejesho😉
 
Rahisi sana, fanya hivi tafuta mtu asiyejulikana na wife wako.
Kabla ya siku ya wife kwenda kwao hakikisha huyo mtu unampeleka anaijua nyumba ya kwao na wife.
Then siku anaondoka either mtu wako anaweza kuondoka nae awe distance na wife wako ila safar yote waende aone ataenda wapi.
Ama jamaa akakae karibu na maeneo ya kwao na wife amsubilie kama atakuja huko.
So jamaa umpoze hela ya kutumia na kukaa sehemu akiwa kwao na wife yale maeneo ya karibu na getini kwao kama kutakua na ki restaurant au namna yeyote atayoweza kuona movement za wanaoingia na kutoka.
Basi siku hiyo hiyo utakua ushapata jibu la safar yake.
 
Hapo mkuu bila kupepesa macho unachapiwa ..Mkeo sio mwaminifu..Ingekua ni mimi ningemruhusu aende kwa mama yake then nampigia simu asirudi abaki huko huko..
Akiuliza kwa nini forward tena hiyo sms aliyo sema kakosea.Hapo lazima utaujua ukweli..
 
Nilikua na pisi ilikua iko makini sana na text. Huwezi kuta sms ktk simu yake, na kila wkt unaona anajichatisha na watu. Yuko fasta sana kwenye kufuta text. Halafu nilikua nimeshaset mipango ya kumuoa na tulikua tumeshaanza kuishi pamoja kama miezi mitano hivi.

Kuna siku sijui alijisahau nini, akaenda bafuni kaacha simu kitandani nikaperuzi nikakuta anajibebisha kwa x anamuomba game! Imagine, demu unataka kumuoa na mshaandaa mpaka kamati za harusi lkn anaomba game ya kupasha kiporo kwa x! Nilipiga chini mazima. Alichizika miksa vikao na maushauri ya wazee lkn sikuskiliza mtu, nilibaki na msimamo wangu ule ule!

Mpaka sasa mtu akisema KATAA NDOA simshangai!
Waoaji wanaoa sana wake za watu😂😂
 
Mbna mnamtesa mleta uzi namna hiyo, atumie pesa kibao eti ili tu kumzuia wakati ni kitu simple kabisa.

Wanaume wa kizazi hiki ni waoga sana aisee. Wao kusema hapana hawawezi eti uzunguuke mpaka ukweni ili tu kumfatilia kama sio uvulana huo ni nini.

Kama ana wasiwasi na safari ya mkewe amwambie hakuna kwenda, akiuliza sababu mpe kazi yoyote au mwambie hata hiyo siku utataka kupumzika/kutoka nae na familia.

Yaani umpe hela akilipie gesti agongwe na jamaa mwingine kwa pesa yako, kudadadeki nyie vijana ni wa hovyo sana
Ishu sio uoga wala wasiwasi! Ni kwamba ni vyema akajua ukweli kama mke ana cheat au vipi?? Akimkataza anakuwa hajasolve tatizo lolote ila ni kaahirisha tu! Ni vyema amruhusu ili ajue ukweli hilo ndo lengo!
 
Kwenye attachment hii ni convo ya mimi na mkewangu ambayo ilifanyika jana kupitia simu zetu. Story ni hivi, juzikati 'Jmosi' tuliandaa sherehe ya birthday ya mwaka mmoja ya mtoto wetu D, tulifanyia nyumbani huku tukialika majirani kadhaa. Maandalizi ya tukio zima roughly ilinicost kama laki2 na nusu hivi, nashukuru Mungu ilipendeza sana kama matarajio yetu yalivyokuwa (tulienjoy).

Kesho yake Jpili siku ya pasaka baada ya kutoka church nikaunganisha kwenye shughuli zangu za ujasiriamali, maana kama ni kusherehekea jana yake nilisherehekea vya kutosha kwa maana hadi saa7 usiku tulikuwa tunacheza mziki na kupigwa vyombo, hivyo sikuona sababu ya kuwa na mtoko tena siku inayofata badala yake niitumie hiyo siku kupiga kazi na kuupa unafuu mfuko baada ya kuvunja kibubu, Mama D aliniomba tutoke nikamwambia nimechoka na shughuli ya jana, acha leo nipige kazi, siku ikawa imepita.

Siku ya jana j3 nilikuwa kazini kwangu, nikawa na convo fupi ya sms na Mama D, baada ya kama nusu saa akatuma ujumbe kimakosa ambao ulikuwa unapaswa kwenda kwa mtu mwingine

'Mtandao mbaya sehem gani kutakua na usalama? Uko sipajui [emoji3059]Nijibu kwa sms plz'.

Sikumjibu chochote baada ya kusema amekosea huo ujumbe ulikuwa unaenda kwa 'Mama Catherine ', baada ya kama lisaa limoja nikarudi home kupata lunch, sikuhoji chochote kuhusu hiyo msg yake, akasema by saa 10 jioni ataondoka kuelekea Beach. Mimi nikamwambia usiende, akahoji kwanini wakati uliniruhusu? Nikamwambia nikweli nilikuruhusu ila nimeahirisha, maongezi yakaishia hapo japo alionekana kukasirika, leo asubuhi kipindi tunapata breakfast kaniomba ruhusa kesho 'Jtano' aende kumuona Mama yake, mimi nikamjibu sawa (Mama yake anaishi pembeni mwa mji, ni kama kilometa 15 kutoka tunapoishi).

Kifupi hiyo sms ya jana aliyoituma kwangu kimakosa imenifikirisha sana, na hii safari ya katikati ya wiki kwenda kumuona Mama imenifikirisha zaidi, nahisi kuna mnyamwezi anataka kunisaidia majukumu, naombeni ushauri wasomi wenzangu, huu mtego nautegua vipi ama ni hisia zangu tu ndio zimekuwa negative? Nimruhusu hiyo kesho aende, ama nimkatalie ili niharibu formation?

NB; kwa miaka miwili tuliyoishi pamoja sijawahi mfumania Mama D, wala sijawahi hisi kama ananisaliti, ila kwa hiyo meseji nimeanza kuhisi kituView attachment 2584561
Tindua formation hio. Alafu mwambie kuwa mtaenda kwa mama siku ya jumapili wote as a family.
 
Back
Top Bottom