ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
Tatizo tukitoa ushauri mrejesho hamleti
Ni sawa na mkeo/mpenzi wako amuulize madhaifu yako rafiki yako, kamwe hawezi kukuchoma labda muwe mmekosana, mpaka anamtaja huyo mtu jua hawezi kumuangusha hata kama hajampanga chochote coz anamjua nje ndani.Mtafute mama cathe upate udhibitisho,
Lakini sidhani kama kuna ishu iliyo kuwa imepangwa, maana alikuomba mtoko , kama ungekubali angefanyaje hicho unachodhania.
Jitahidi sana usijue negative za mwenzako zitakuumiza sana na kuifikisha safari yenu mwisho bila kufika mwisho wenyewe.
Wanakwambia kama huwezi kumuacha basi acha kumfatilia.Wewe ni mwanaume halisia
Mbna mnamtesa mleta uzi namna hiyo, atumie pesa kibao eti ili tu kumzuia wakati ni kitu simple kabisa.Kitendo cha kumwekea wasiwasi na kumpa alert utapoteza point za msingi.. Relax
Cha kufanya:
- Hiyo siku kabla, Mpe hela ya kutosha ya nauli.
- ili kumnogesha zaidi mwambie unasafiri kdg a day before.
- Tangulia kwa Mama yake kabla hajafika.
Shida ya hawa. Anaweza kutombwa na akaenda kwa Mama yake vile vile au akaanza kwenda kwa Mama yake wakat wa kurudi akatombwa vile vile.
Tumia akili.. Usikurupuke.
NB: Mnaotoka na Wake za watu epuka matumizi ya SMS.
My Swahili is somehow not good,Kwenye attachment hii ni convo ya mimi na mkewangu ambayo ilifanyika jana kupitia simu zetu. Story ni hivi, juzikati 'Jmosi' tuliandaa sherehe ya birthday ya mwaka mmoja ya mtoto wetu D, tulifanyia nyumbani huku tukialika majirani kadhaa. Maandalizi ya tukio zima roughly ilinicost kama laki2 na nusu hivi, nashukuru Mungu ilipendeza sana kama matarajio yetu yalivyokuwa (tulienjoy).
Kesho yake Jpili siku ya pasaka baada ya kutoka church nikaunganisha kwenye shughuli zangu za ujasiriamali, maana kama ni kusherehekea jana yake nilisherehekea vya kutosha kwa maana hadi saa7 usiku tulikuwa tunacheza mziki na kupigwa vyombo, hivyo sikuona sababu ya kuwa na mtoko tena siku inayofata badala yake niitumie hiyo siku kupiga kazi na kuupa unafuu mfuko baada ya kuvunja kibubu, Mama D aliniomba tutoke nikamwambia nimechoka na shughuli ya jana, acha leo nipige kazi, siku ikawa imepita.
Siku ya jana j3 nilikuwa kazini kwangu, nikawa na convo fupi ya sms na Mama D, baada ya kama nusu saa akatuma ujumbe kimakosa ambao ulikuwa unapaswa kwenda kwa mtu mwingine
'Mtandao mbaya sehem gani kutakua na usalama? Uko sipajui [emoji3059]Nijibu kwa sms plz'.
Sikumjibu chochote baada ya kusema amekosea huo ujumbe ulikuwa unaenda kwa 'Mama Catherine ', baada ya kama lisaa limoja nikarudi home kupata lunch, sikuhoji chochote kuhusu hiyo msg yake, akasema by saa 10 jioni ataondoka kuelekea Beach. Mimi nikamwambia usiende, akahoji kwanini wakati uliniruhusu? Nikamwambia nikweli nilikuruhusu ila nimeahirisha, maongezi yakaishia hapo japo alionekana kukasirika, leo asubuhi kipindi tunapata breakfast kaniomba ruhusa kesho 'Jtano' aende kumuona Mama yake, mimi nikamjibu sawa (Mama yake anaishi pembeni mwa mji, ni kama kilometa 15 kutoka tunapoishi).
Kifupi hiyo sms ya jana aliyoituma kwangu kimakosa imenifikirisha sana, na hii safari ya katikati ya wiki kwenda kumuona Mama imenifikirisha zaidi, nahisi kuna mnyamwezi anataka kunisaidia majukumu, naombeni ushauri wasomi wenzangu, huu mtego nautegua vipi ama ni hisia zangu tu ndio zimekuwa negative? Nimruhusu hiyo kesho aende, ama nimkatalie ili niharibu formation?
NB; kwa miaka miwili tuliyoishi pamoja sijawahi mfumania Mama D, wala sijawahi hisi kama ananisaliti, ila kwa hiyo meseji nimeanza kuhisi kituView attachment 2584561
Mh... Ni nani alitoa uhuru kwa mkewe kama mimi? Ni nani alikuwa hamfuatilii mkewe kama mimi? Ni nani alikuwa anamwamini mkewe kama mimi? Na hapa mkuu nakuambia kweli na siyo chai wala mbwembe! Siku nilipokuja kugundua the other side yake, ilikuwa karibu nizimie halafu nilijiona mjinga kweli kweli. Ogopa mke aliyekuwa ana time sipo anaingiza mchepuko ndani. Na siyo mmoja sasa! Haya makitu hayana fomula kama wanavyosema wananzengo!Kwa ground sio rahisi kama usemavyo mkuu...humu wengi mnaongea nyuma ya keyboard...!mpe mkeo.uhuru then muamini...imetosha..na mke vilevilr .kufatiliqna namna hii inakata sana uaminifu
Sasa huruma ya nini wakati haya mambo ni kawaida kwenye ndoa. Mbona sie tunatombewa wake zwtu lakini ukijichunguza wee mwenye unachepuka so unatulia maisha yanaenda. Muhimu hawabandui hiyo mbususu na kuondoka nayo🤣🤣🤣🤣Ebu muoneeni huruma mwanaume mwenzenu [emoji23]
Hahaha, Kupambana na kuzuiaFBI, CIA wanafuatilia magaidi moves zao halafu wanadakwa kabla kitu hakijalipuka, Sasa akitangulia ukweni si atajua anatombewa baada ya mkewake kupelekewa moto ni sawa na kukamata gaidi huku limeshalipua.
Hii option wengi wamei-suggest. Lakini downside yake ni kuwa akimnyima leo, na kama alikuwa na mpango ovu basi atakuwa ameahirisha tatizo tu. Kuna siku atafanikisha kwa sababu huwezi kumchunga binadamu. Njia nzuri ni kumpa ruhusu halafu am-track. Mbona kuna njia nyingi za kufanikisha hili? Kama anaweza, achukuwe hiyo simu yake, aichokonoe iharibike, halafu ampe nyingine na ahakikishe location ipo ON halafu afuatilie akiwa nyumbani. Au a-install software za ki-spy, zenye kurikodi calls!Mbna mnamtesa mleta uzi namna hiyo, atumie pesa kibao eti ili tu kumzuia wakati ni kitu simple kabisa.
Wanaume wa kizazi hiki ni waoga sana aisee. Wao kusema hapana hawawezi eti uzunguuke mpaka ukweni ili tu kumfatilia kama sio uvulana huo ni nini.
Kama ana wasiwasi na safari ya mkewe amwambie hakuna kwenda, akiuliza sababu mpe kazi yoyote au mwambie hata hiyo siku utataka kupumzika/kutoka nae na familia.
Yaani umpe hela akilipie gesti agongwe na jamaa mwingine kwa pesa yako, kudadadeki nyie vijana ni wa hovyo sana
Bas akanunue tracker halafu afanye kumuwekea halafu acheze na location aone mkewake anaenda wapi hiyo siku.Hii option wengi wamei-suggest. Lakini downside yake ni kuwa akimnyima leo, na kama alikuwa na mpango ovu basi atakuwa ameahirisha tatizo tu. Kuna siku atafanikisha kwa sababu huwezi kumchunga binadamu. Njia nzuri ni kumpa ruhusu halafu am-track. Mbona kuna njia nyingi za kufanikisha hili? Kama anaweza, achukuwe hiyo simu yake, aichokonoe iharibike, halafu ampe nyingine na ahakikishe location ipo ON halafu afuatilie akiwa nyumbani. Au a-install software za ki-spy, zenye kurikodi calls!
Uhuru wa kwenda kutrombwa...? My dear take care sikuhiz wanaume wanaua kimya kimya... Hiyo msg ya huyo dada ipo wazi alikua anamtumia mchepuko wake wakutane sehem ya kulana... Sasa unataka mume wake aendelee kumpa uhuru hizo nguvu anazitoa wapi..? Ndiyo maana tunawashauri kama mnajiona hamuwez kuishi ktk ndoa basi baki pekeako, ndoa zinapoteza maisha ya watu wengi kimya kimya...Kwa ground sio rahisi kama usemavyo mkuu...humu wengi mnaongea nyuma ya keyboard...!mpe mkeo.uhuru then muamini...imetosha..na mke vilevilr .kufatiliqna namna hii inakata sana uaminifu
KATAA NDOA
KATAA UKIMWI
KATAA NDOA
KATAA WIZI
KATAA NDOA
Pole sana mkuu..kwakweli hayana formulaMh... Ni nani alitoa uhuru kwa mkewe kama mimi? Ni nani alikuwa hamfuatilii mkewe kama mimi? Ni nani alikuwa anamwamini mkewe kama mimi? Na hapa mkuu nakuambia kweli na siyo chai wala mbwembe! Siku nilipokuja kugundua the other side yake, ilikuwa karibu nizimie halafu nilijiona mjinga kweli kweli. Ogopa mke aliyekuwa ana time sipo anaingiza mchepuko ndani. Na siyo mmoja sasa! Haya makitu hayana fomula kama wanavyosema wananzengo!
Hii nayo inaleta maradhi...akuHii option wengi wamei-suggest. Lakini downside yake ni kuwa akimnyima leo, na kama alikuwa na mpango ovu basi atakuwa ameahirisha tatizo tu. Kuna siku atafanikisha kwa sababu huwezi kumchunga binadamu. Njia nzuri ni kumpa ruhusu halafu am-track. Mbona kuna njia nyingi za kufanikisha hili? Kama anaweza, achukuwe hiyo simu yake, aichokonoe iharibike, halafu ampe nyingine na ahakikishe location ipo ON halafu afuatilie akiwa nyumbani. Au a-install software za ki-spy, zenye kurikodi calls!
Dronedrake kamanda wangu njoo umpe jamaa ushauri🤣🤣🤣🤣🤣Kwenye attachment hii ni convo ya mimi na mkewangu ambayo ilifanyika jana kupitia simu zetu. Story ni hivi, juzikati 'Jmosi' tuliandaa sherehe ya birthday ya mwaka mmoja ya mtoto wetu D, tulifanyia nyumbani huku tukialika majirani kadhaa. Maandalizi ya tukio zima roughly ilinicost kama laki2 na nusu hivi, nashukuru Mungu ilipendeza sana kama matarajio yetu yalivyokuwa (tulienjoy).
Kesho yake Jpili siku ya pasaka baada ya kutoka church nikaunganisha kwenye shughuli zangu za ujasiriamali, maana kama ni kusherehekea jana yake nilisherehekea vya kutosha kwa maana hadi saa7 usiku tulikuwa tunacheza mziki na kupigwa vyombo, hivyo sikuona sababu ya kuwa na mtoko tena siku inayofata badala yake niitumie hiyo siku kupiga kazi na kuupa unafuu mfuko baada ya kuvunja kibubu, Mama D aliniomba tutoke nikamwambia nimechoka na shughuli ya jana, acha leo nipige kazi, siku ikawa imepita.
Siku ya jana j3 nilikuwa kazini kwangu, nikawa na convo fupi ya sms na Mama D, baada ya kama nusu saa akatuma ujumbe kimakosa ambao ulikuwa unapaswa kwenda kwa mtu mwingine
'Mtandao mbaya sehem gani kutakua na usalama? Uko sipajui [emoji3059]Nijibu kwa sms plz'.
Sikumjibu chochote baada ya kusema amekosea huo ujumbe ulikuwa unaenda kwa 'Mama Catherine ', baada ya kama lisaa limoja nikarudi home kupata lunch, sikuhoji chochote kuhusu hiyo msg yake, akasema by saa 10 jioni ataondoka kuelekea Beach. Mimi nikamwambia usiende, akahoji kwanini wakati uliniruhusu? Nikamwambia nikweli nilikuruhusu ila nimeahirisha, maongezi yakaishia hapo japo alionekana kukasirika, leo asubuhi kipindi tunapata breakfast kaniomba ruhusa kesho 'Jtano' aende kumuona Mama yake, mimi nikamjibu sawa (Mama yake anaishi pembeni mwa mji, ni kama kilometa 15 kutoka tunapoishi).
Kifupi hiyo sms ya jana aliyoituma kwangu kimakosa imenifikirisha sana, na hii safari ya katikati ya wiki kwenda kumuona Mama imenifikirisha zaidi, nahisi kuna mnyamwezi anataka kunisaidia majukumu, naombeni ushauri wasomi wenzangu, huu mtego nautegua vipi ama ni hisia zangu tu ndio zimekuwa negative? Nimruhusu hiyo kesho aende, ama nimkatalie ili niharibu formation?
NB; kwa miaka miwili tuliyoishi pamoja sijawahi mfumania Mama D, wala sijawahi hisi kama ananisaliti, ila kwa hiyo meseji nimeanza kuhisi kituView attachment 2584561
Watoto wa kike namama zao lao ni moja, usije ukajidanganya, hapo ameshaongea na mama yake kampa mpango mzima.mwache aende afu akishaenda wasiliana na mama yake ili ujue kama alifika au la....ila hapa kuna harufu ya dyudyu 😂
Abort mission and return the squad to the military camp
Do u copy
Oficer, oficer
Do you hear me!