financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,515
Mmh mi mwenyewe nimehisi kitu hapo, mwambie mtaongozana mpaka kwa mama Katherine asikutanie, ukizubaa tu ukamruhusu imeisha hiyo
Rais wa wakataa ndoa JFKATAA NDOA
KATAA UKIMWI
KATAA NDOA
KATAA WIZI
KATAA NDOA
ukute huyo mama katherine ni muhuni amasaviwa hivo, ila anaitwa cuthbert 😂tatizo mnawaza negative sana, na ushahidi upo alikua anamtumia mama katherine
aisee😂😂, yani kama namwona mleta mada anavyowaza namna ya kuachana na mke wake, ila watu jamani hamna ata anayejaribu kumtia moyo dah😅🙌ukute huyo mama katherine ni muhuni amasaviwa hivo, ila anaitwa cuthbert 😂
Nitumie namba yakeKwenye attachment hii ni convo ya mimi na mkewangu ambayo ilifanyika jana kupitia simu zetu. Story ni hivi, juzikati 'Jmosi' tuliandaa sherehe ya birthday ya mwaka mmoja ya mtoto wetu D, tulifanyia nyumbani huku tukialika majirani kadhaa. Maandalizi ya tukio zima roughly ilinicost kama laki2 na nusu hivi, nashukuru Mungu ilipendeza sana kama matarajio yetu yalivyokuwa (tulienjoy).
Kesho yake Jpili siku ya pasaka baada ya kutoka church nikaunganisha kwenye shughuli zangu za ujasiriamali, maana kama ni kusherehekea jana yake nilisherehekea vya kutosha kwa maana hadi saa7 usiku tulikuwa tunacheza mziki na kupigwa vyombo, hivyo sikuona sababu ya kuwa na mtoko tena siku inayofata badala yake niitumie hiyo siku kupiga kazi na kuupa unafuu mfuko baada ya kuvunja kibubu, Mama D aliniomba tutoke nikamwambia nimechoka na shughuli ya jana, acha leo nipige kazi, siku ikawa imepita.
Siku ya jana j3 nilikuwa kazini kwangu, nikawa na convo fupi ya sms na Mama D, baada ya kama nusu saa akatuma ujumbe kimakosa ambao ulikuwa unapaswa kwenda kwa mtu mwingine
'Mtandao mbaya sehem gani kutakua na usalama? Uko sipajui [emoji3059]Nijibu kwa sms plz'.
Sikumjibu chochote baada ya kusema amekosea huo ujumbe ulikuwa unaenda kwa 'Mama Catherine ', baada ya kama lisaa limoja nikarudi home kupata lunch, sikuhoji chochote kuhusu hiyo msg yake, akasema by saa 10 jioni ataondoka kuelekea Beach. Mimi nikamwambia usiende, akahoji kwanini wakati uliniruhusu? Nikamwambia nikweli nilikuruhusu ila nimeahirisha, maongezi yakaishia hapo japo alionekana kukasirika, leo asubuhi kipindi tunapata breakfast kaniomba ruhusa kesho 'Jtano' aende kumuona Mama yake, mimi nikamjibu sawa (Mama yake anaishi pembeni mwa mji, ni kama kilometa 15 kutoka tunapoishi).
Kifupi hiyo sms ya jana aliyoituma kwangu kimakosa imenifikirisha sana, na hii safari ya katikati ya wiki kwenda kumuona Mama imenifikirisha zaidi, nahisi kuna mnyamwezi anataka kunisaidia majukumu, naombeni ushauri wasomi wenzangu, huu mtego nautegua vipi ama ni hisia zangu tu ndio zimekuwa negative? Nimruhusu hiyo kesho aende, ama nimkatalie ili niharibu formation?
NB; kwa miaka miwili tuliyoishi pamoja sijawahi mfumania Mama D, wala sijawahi hisi kama ananisaliti, ila kwa hiyo meseji nimeanza kuhisi kituView attachment 2584561
ukweli unauma ila utakuweka huru.....aisee😂😂, yani kama namwona mleta mada anavyowaza namna ya kuachana na mke wake, ila watu jamani hamna ata anayejaribu kumtia moyo dah😅🙌
Negative sir...man down I repeat man downAbort mission and return the squad to the military camp
Do u copy
Oficer, oficer
Do you hear me!
ila maisha haya bhana, usikute na yeye mwenyewe anacheat vizuri tu ila mwenzake ndo anamshikia bangoukweli unauma ila utakuweka huru.....
Nilikua na pisi ilikua iko makini sana na text. Huwezi kuta sms ktk simu yake, na kila wkt unaona anajichatisha na watu. Yuko fasta sana kwenye kufuta text. Halafu nilikua nimeshaset mipango ya kumuoa na tulikua tumeshaanza kuishi pamoja kama miezi mitano hivi.Kwenye majibizano amemwambia amekosea kutuma na alikuwa anatuma kwa mama Kathetine na ameoona imekuwa delivered na read! screpa wewe kweli ni screpa. Mbona hili rahisi sana? Ungemruhusu aende huko beach au kwa mama yake halafu uweke mtu wa kumfuatilia! Ukiamua kumkatalia tu basi umeahirisha tu tatizo kwani kuna siku atapata chance. Au njia rahisi ni kuangalia simu yake alikuwa ana chat na nani japo anaweza kuwa alishafuta ushahidi.
sasa hilo mleta uzi hajaliweka wazi... 😂ila maisha haya bhana, usikute na yeye mwenyewe anacheat vizuri tu ila mwenzake ndo anamshikia bango
aisee,Nilikua na pisi ilikua iko makini sana na text. Huwezi kuta sms ktk simu yake, na kila wkt unaona anajichatisha na watu. Yuko fasta sana kwenye kufuta text. Halafu nilikua nimeshaset mipango ya kumuoa na tulikua tumeshaanza kuishi pamoja kama miezi mitano hivi.
Kuna siku sijui alijisahau nini, akaenda bafuni kaacha simu kitandani nikaperuzi nikakuta anajibebisha kwa x anamuomba game! Imagine, demu unataka kumuoa na mshaandaa mpaka kamati za harusi lkn anaomba game ya kupasha kiporo kwa x! Nilipiga chini mazima. Alichizika miksa vikao na maushauri ya wazee lkn sikuskiliza mtu, nilibaki na msimamo wangu ule ule!
Mpaka sasa mtu akisema KATAA NDOA simshangai!
hilo hawezi kusema anaanzia wapi kwanza, yani nyie .....au basi🤭sasa hilo mleta uzi hajaliweka wazi... 😂
Medic Medic Medic
Sio dawaila maisha haya bhana, usikute na yeye mwenyewe anacheat vizuri tu ila mwenzake ndo anamshikia bango
tunadeal na mada iliyowekwa mezani 😂hilo hawezi kusema anaanzia wapi kwanza, yani nyie .....au basi🤭
ndio maana nimeachatunadeal na mada iliyowekwa mezani 😂