Alpha 1 u have a green light to fire, fire!Delta 1 this is alpha 1 reporting,female terrorist in sight requests for immediately back up
Dogo unajichoresha.Hayo mambo ya kifamilia ungeyamaliza kimya kimya tuMREJESHO
Nimesoma comment zote nashukuru mmenipa mwangaza wa nini cha kufanya. Mimi nilichofanya niliamkia kazini kama kawaida, but kabla sijaenda nikampa pesa ya nauli na hela ya 'sukari' ya Mama, akaniomba atumie simu yangu kumpigia boda kwani muda wake wa maongezi umeisha, niliyasikia maongezi na muda aliompanga aje amchukue, nikategea huo muda ufike halafu nikaongeza nusu saa mbele. Kama unavyoona text ya kwanza niliuliza kwa kumtega kutaka kujua kama amefika nyumbani. Text hii ilichukua dakika 12 haijajibiwa nikapiga simu akapokea, nikamuuliza umeiona text yangu akajibu hapana naomba niiangalie, nikakata simu akajibu 'Ndio'. Nikamwambia nitakupigia simu nimsalimie Mama, akadelay kama dakika 7 hajajibu msg ikabidi nipige simu ambayo haikupokelewa. Nikamtext mpe simu Mama niongee nae sasahivi, akanijibu baada ya dakika5 'Mama ametoka sijamkuta', nikamwambia awashe data nimpigie whatsapp video call, akajibu baada ya dakika 8 'Mtandao unasumbua'[emoji1781], baada ya dakika1 akanitext tena nimewasha data, nikamwambia nipigie nimsalimie D, akanipigia hiyo video call; ila mazingira aliyoonekana siyajui ndio nikamuhoji hapo ndio nyumbani? Akajibu hapa ni kwa jirani nduguyao, nikamuuliza umeaga unaenda kwa Mama au kwa jirani, akasema Mama sijamkuta hivyo nikaja kusalimia majirani, nikamwambia rudi nyumbani na umpe simu Mama niongee naye, akasema sawa, nikauliza nikupe dakika ngapi? Akajibu kama 30 hivi[emoji25], nikasema usinitanie dakika 30 kutoka kwa jirani? Akajibu sijajua kama Mama nitamkuta ndio maana nimesema 30, nikakata simu. Baada ya dakika kama 7 akanipigia nikaongea na Mama......
** Ukijaribu kupiga hesabu ya Muda nilioanza kumtafuta hadi nafanikiwa kuongea na Mama ni zaidi ya dakika 40[emoji56], akili ya kufanya maamuzi magumu ya haraka ilinijia ila nikarudi nyuma kidogo kwa kuwa na mimi miezi kadhaa iliyopita alinifuma na maovu fulani tukakaa kitako tukayasuluhisha.....Meseji ya mwisho niliyomtumia ndio hiyo inayoonekana hapo kwenye attachment....View attachment 2585479
How is she now??Nilikua na pisi ilikua iko makini sana na text. Huwezi kuta sms ktk simu yake, na kila wkt unaona anajichatisha na watu. Yuko fasta sana kwenye kufuta text. Halafu nilikua nimeshaset mipango ya kumuoa na tulikua tumeshaanza kuishi pamoja kama miezi mitano hivi.
Kuna siku sijui alijisahau nini, akaenda bafuni kaacha simu kitandani nikaperuzi nikakuta anajibebisha kwa x anamuomba game! Imagine, demu unataka kumuoa na mshaandaa mpaka kamati za harusi lkn anaomba game ya kupasha kiporo kwa x! Nilipiga chini mazima. Alichizika miksa vikao na maushauri ya wazee lkn sikuskiliza mtu, nilibaki na msimamo wangu ule ule!
Mpaka sasa mtu akisema KATAA NDOA simshangai!
Bad move, umeharibu kila kituMREJESHO
Nimesoma comment zote nashukuru mmenipa mwangaza wa nini cha kufanya. Mimi nilichofanya niliamkia kazini kama kawaida, but kabla sijaenda nikampa pesa ya nauli na hela ya 'sukari' ya Mama, akaniomba atumie simu yangu kumpigia boda kwani muda wake wa maongezi umeisha, niliyasikia maongezi na muda aliompanga aje amchukue, nikategea huo muda ufike halafu nikaongeza nusu saa mbele. Kama unavyoona text ya kwanza niliuliza kwa kumtega kutaka kujua kama amefika nyumbani. Text hii ilichukua dakika 12 haijajibiwa nikapiga simu akapokea, nikamuuliza umeiona text yangu akajibu hapana naomba niiangalie, nikakata simu akajibu 'Ndio'. Nikamwambia nitakupigia simu nimsalimie Mama, akadelay kama dakika 7 hajajibu msg ikabidi nipige simu ambayo haikupokelewa. Nikamtext mpe simu Mama niongee nae sasahivi, akanijibu baada ya dakika5 'Mama ametoka sijamkuta', nikamwambia awashe data nimpigie whatsapp video call, akajibu baada ya dakika 8 'Mtandao unasumbua'[emoji1781], baada ya dakika1 akanitext tena nimewasha data, nikamwambia nipigie nimsalimie D, akanipigia hiyo video call; ila mazingira aliyoonekana siyajui ndio nikamuhoji hapo ndio nyumbani? Akajibu hapa ni kwa jirani nduguyao, nikamuuliza umeaga unaenda kwa Mama au kwa jirani, akasema Mama sijamkuta hivyo nikaja kusalimia majirani, nikamwambia rudi nyumbani na umpe simu Mama niongee naye, akasema sawa, nikauliza nikupe dakika ngapi? Akajibu kama 30 hivi[emoji25], nikasema usinitanie dakika 30 kutoka kwa jirani? Akajibu sijajua kama Mama nitamkuta ndio maana nimesema 30, nikakata simu. Baada ya dakika kama 7 akanipigia nikaongea na Mama......
** Ukijaribu kupiga hesabu ya Muda nilioanza kumtafuta hadi nafanikiwa kuongea na Mama ni zaidi ya dakika 40[emoji56], akili ya kufanya maamuzi magumu ya haraka ilinijia ila nikarudi nyuma kidogo kwa kuwa na mimi miezi kadhaa iliyopita alinifuma na maovu fulani tukakaa kitako tukayasuluhisha.....Meseji ya mwisho niliyomtumia ndio hiyo inayoonekana hapo kwenye attachment....View attachment 2585479
Hali yake ya sasa iko jeNilikua na pisi ilikua iko makini sana na text. Huwezi kuta sms ktk simu yake, na kila wkt unaona anajichatisha na watu. Yuko fasta sana kwenye kufuta text. Halafu nilikua nimeshaset mipango ya kumuoa na tulikua tumeshaanza kuishi pamoja kama miezi mitano hivi.
Kuna siku sijui alijisahau nini, akaenda bafuni kaacha simu kitandani nikaperuzi nikakuta anajibebisha kwa x anamuomba game! Imagine, demu unataka kumuoa na mshaandaa mpaka kamati za harusi lkn anaomba game ya kupasha kiporo kwa x! Nilipiga chini mazima. Alichizika miksa vikao na maushauri ya wazee lkn sikuskiliza mtu, nilibaki na msimamo wangu ule ule!
Mpaka sasa mtu akisema KATAA NDOA simshangai!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaanMama hayupo kaenda salimia majirani[emoji848][emoji848]na hajakwambia kama mama hajamkuta[emoji23]wooiii
Haswaaaa, ameharibuu mchezoo huyuu jamaa.We jamaa umekosea sana, yani umevuruga uchunguzi na ushahidi wa kujua ukweli mpaka sasa unabakia kwenye ku guess tu kwamba nikweli alikua na mpango wa kqnfo au la.
Hii ndio ilikua nafasi ya kujifanya zoba hujui mpango wowote halafu ukatoka nae nyuma nyuma ila usionekane au ungetumia mtu asiyemjua akatoka akazunguka nae kote mpaka ataporudi home.
Facts.
Kuna uwezekano baada ya wewe kuanza hizo command za video call na niongee na Mama basi aka move alipokuwepo fasta akaanza kufanya safar ya kweli kwenda kwao ili tu mpano wake usijulikane.
Sasa hapa huja solve tatizo ila unamfanya aongeze mbinu zaidi akipeleka mbususu [emoji23] sasahiv atatumia technique kubwa zaidi ambazo hutajua, wakat hapa alikua katumia mbinu za kawaida tu ambazo ungenasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na ujue amekojolea ndani, yaani ndani kabisaaa[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa niaba ya wahitimu wote wa Cuba; nasemaje,..
Ukiona Manyoya...
(Wote tuitikie kwa pamoja)
...keshaliwaaaa!!!!