Wahitimu wa Cuba naombeni msaada wenu tafadhali

Hayuko sawa.... Anataka ajitoe mwenyewe .....

Ghafla sms !!!

Utetezi ni kumsingizia Mama Catherine !!.

Kwa kuisoma hiyo meseji alokosea vipandevipande....

Kwanza anataka Usalama , Wake za watu sheria namba Moja wanayoizingatia anapotaka kuchepuka ni usalama wake

Uko Sipajui. Hapo anayempa maelekezo kamtajia sehem ambayo ni ngeni Kwa Demu .( hii Kwa wanaume wengi tunapotia maelekezo ya kuletewa kipochi manyoya, ishatukuta sana .

mwisho kaweka Kaimoji !!!!!!!!!!!.

Baada ya kuvuruga mchongo wake, ameingia na GIA ya kwenda Kwa Mama yake!!.

Ni wazi anatafuta Mbinu ya kwenda kutombwaa !! Hilo liko wazi kabisaaa !!.

Kuna mambo Wanaume Huwa napenda wote myafaham, niliwah andika kwenye uzi Fulani ..

Mwanamke wako awe ni mpenzi/Mchumba/Mke ni lazima ajue kua hiyo ndio mipaka ambayo akiivuka UTAMWACHA Mara Moja ,haijalishi nn !!.

kama mwanamke anakusaliti ...Mpige chini.

Kama mwanamke hakuheshimj..Mpige chini.

Kama mwanamke anakusemea vibaya Kwa Marafiki au Jana zake.....Mpige chini.

Kama mwanamke anataka umfanye kipaumbele sana kuliko ndoto zako...Mpige chini.

Kama mwanamke kuanzia kuvaa kwake na kujiremba ninkwaajili ya kuwafurahisha watu wa nje nasio wewe...Mpige chini

Kwa wanaume Wanaopata Wanawake Kwa bahati, wanaweza wasinielewe, wao ,watakuja kunikot Kisha waseme " Kwa staili hiyo utaacha Wanawake wangapi?"

Jibu ni Dogo...... "Endelea kuacha mpaka pale utakapopata anayekufaa".

Nahapa mnielewe, Mwanamke wakumfaa mwanaume ,Kila mwanaume anamwanamke wake kaumbiwa, na kanuni ya Asili inasema, unaweza kutana na watu wasuosahihi zaidi ya 1000 kabla hujakutana na Soulmate wako !!! NDIOOOO !!!.
USISHANGAE umeoa, ila hujaoa Soulmate wako, kwahiyo naye yupo kwenye wale 1000 wa safari !! ndiooo.

Kwa hiyo ,Muwafanye Wanawake wenu wajue hayo mambo nloyataja hapo juu, na wajue kabisa kua, hutokaa iyavumilie hata Kwa sekunde Moja.

Kuhusu Mkeo ....

KUA MKOLONI TU, NENDA NAYE WEWE MWENYEWE MPAKA KWAO !! SHINDA NAYE MPAKA JIONI YA SAA MBILI USIKU.... ( WAKATI CHUNGUZA ANAVYOKUA BIZE NA SIMU)

Hapa anaweza jifanya mrudi naye au atajifanya kutaka kulala, kubali alale.. alafu wee ondoka hapo kwao saa mbili hiyohiyo.

Unaweza amua kwenda kwako ila ukienda kwako, hakikisha mida ya saa Nne unarudi kwao Tena, zuga tu umepoteza kitu so ulikuja kutafuta.

Au Kaa tu Jirani na Miata yao hiyo, utaona anatoka Tena ( Kuna mchepuko Mmoja niliwah kumla hivo, Mumewe alimpeleka Hadi kwao, baadae akarudi, Demu naye akampanga mama yake akaniletea mbusus)..... So ili naongea najua mbinu zao zote Hawa viumbe.
...... Mpaka hapo utakua umejua kua alikua anataka kufanya ujinga wake.

Hiyo saa nne UKIMKUTA yupo, zuga ulisahau kitu na umepitia Matunda kwaajili ya mama , Kaa Kaa mpaka saa tano Kisha sepa.

Kesho yake mapema nenda kamchukue Mkeo unaweza mkuta hayupo pia au yupo ,kama yupo mchukie ,mkifika nyumban, Anzisha ugonvi, kua Mkali, mwambie umejua Kila kitu , mwambie umejua Kila kitu na mpango wa kutaka kukuzunguka, yaan hakikisha umemtetemesha na katetemeka, alafu Nenda zako kazin ukimuachia Ujumbe, nikirudiii utanitambua ngoja niwahi kazin.

Kuna mawili , aombe Msamaha mwenyewe au ale Yamini, akila Yamini yaan usugu , mpaka ukirudi, piga kimyaa, piga kimyaaa tu Wala usimsemeshe, piga kimya siku ya Kwanzaa, yapili, usile hata Chakula chake, siku ya tatu nne, ujifulie mwenyewee, Kila kitu jifanyieee, au urudi umekula kabisa, Nunua PANGA na ajue umenunua PANGA , weka chini ya uvungu , kua bize bize na simu .

Kuna mawili, akuombe Msamaha mwenyewe, au akimbilie kwao , huko akimbilia kwao, endelea kumkazia ,kaza mkazie yey na mama yake na baba yake akiri Kosa lake .

Hapo atakiri, akikiri utachagua, mwenyewe Sasa !!.

Kwa ufupi nmeeleza mengi, ambayo Ndani yake ni kama ukatili au ukoloni, ila hivo ndivo njia sahihi ya kuishi na mwanamke yoyote yule.

endeleeni kuendekeza ubebibebi mamaeee !!. Mtakufa Kwa mawazo au wake zenu watawaua .

KUWENI WAKOLONI ,MSIYUMBISHWE !!.
Amepika chumvi ndogo kwenye mboga -piga chini.
Hajafua nguo za mumewe -piga chini
Hajapiga pass nguo-piga chini
Hajapiga deki-piga chini
Hajakukatikia mauno wakati was mechi-piga chini
Chakula kachelewa kupika-piga chini
NASEMA PIGA CHINI,PIGA CHINI. MSUBIRI MALAIKA ASHUKE UMUOEEEEE
 
Yessir

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Game ya ndoa ni next level aisee. Mimi nitaiweza kweli?
 
Ngumu kumeza , ila wadau😅🙌🙌 watu wanatoa comment kirahisi sana ukitaka kujua hii issue ni ngumu na inaumiza moyo ikukute wewe
 
Mwenzio anatolewa out tu (first date)usiwaze vibaya,sasa mke wa mtu utatolewa out in a open space?
Mruhusu aende alafu mfatilie
 
Amepika chumvi ndogo kwenye mboga -piga chini.
Hajafua nguo za mumewe -piga chini
Hajapiga pass nguo-piga chini
Hajapiga deki-piga chini
Hajakukatikia mauno wakati was mechi-piga chini
Chakula kachelewa kupika-piga chini
NASEMA PIGA CHINI,PIGA CHINI. MSUBIRI MALAIKA ASHUKE UMUOEEEEE
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kama unataka kuhkikisha toa ruhusa then ikifika hyo siku akiondoka na ww anza safar kwenda kwa mkwe msipishane muda then ukimkuta sema umekuja na ww kumuona usipomkuta jua chama cha upinzan kinafanya mkutano wa hadhara
Afate huu ushauri.
 
Hayuko sawa.... Anataka ajitoe mwenyewe .....

Ghafla sms !!!

Utetezi ni kumsingizia Mama Catherine !!.

Kwa kuisoma hiyo meseji alokosea vipandevipande....

Kwanza anataka Usalama , Wake za watu sheria namba Moja wanayoizingatia anapotaka kuchepuka ni usalama wake

Uko Sipajui. Hapo anayempa maelekezo kamtajia sehem ambayo ni ngeni Kwa Demu .( hii Kwa wanaume wengi tunapotia maelekezo ya kuletewa kipochi manyoya, ishatukuta sana .

mwisho kaweka Kaimoji !!!!!!!!!!!.

Baada ya kuvuruga mchongo wake, ameingia na GIA ya kwenda Kwa Mama yake!!.

Ni wazi anatafuta Mbinu ya kwenda kutombwaa !! Hilo liko wazi kabisaaa !!.

Kuna mambo Wanaume Huwa napenda wote myafaham, niliwah andika kwenye uzi Fulani ..

Mwanamke wako awe ni mpenzi/Mchumba/Mke ni lazima ajue kua hiyo ndio mipaka ambayo akiivuka UTAMWACHA Mara Moja ,haijalishi nn !!.

kama mwanamke anakusaliti ...Mpige chini.

Kama mwanamke hakuheshimj..Mpige chini.

Kama mwanamke anakusemea vibaya Kwa Marafiki au Jana zake.....Mpige chini.

Kama mwanamke anataka umfanye kipaumbele sana kuliko ndoto zako...Mpige chini.

Kama mwanamke kuanzia kuvaa kwake na kujiremba ninkwaajili ya kuwafurahisha watu wa nje nasio wewe...Mpige chini

Kwa wanaume Wanaopata Wanawake Kwa bahati, wanaweza wasinielewe, wao ,watakuja kunikot Kisha waseme " Kwa staili hiyo utaacha Wanawake wangapi?"

Jibu ni Dogo...... "Endelea kuacha mpaka pale utakapopata anayekufaa".

Nahapa mnielewe, Mwanamke wakumfaa mwanaume ,Kila mwanaume anamwanamke wake kaumbiwa, na kanuni ya Asili inasema, unaweza kutana na watu wasuosahihi zaidi ya 1000 kabla hujakutana na Soulmate wako !!! NDIOOOO !!!.
USISHANGAE umeoa, ila hujaoa Soulmate wako, kwahiyo naye yupo kwenye wale 1000 wa safari !! ndiooo.

Kwa hiyo ,Muwafanye Wanawake wenu wajue hayo mambo nloyataja hapo juu, na wajue kabisa kua, hutokaa iyavumilie hata Kwa sekunde Moja.

Kuhusu Mkeo ....

KUA MKOLONI TU, NENDA NAYE WEWE MWENYEWE MPAKA KWAO !! SHINDA NAYE MPAKA JIONI YA SAA MBILI USIKU.... ( WAKATI CHUNGUZA ANAVYOKUA BIZE NA SIMU)

Hapa anaweza jifanya mrudi naye au atajifanya kutaka kulala, kubali alale.. alafu wee ondoka hapo kwao saa mbili hiyohiyo.

Unaweza amua kwenda kwako ila ukienda kwako, hakikisha mida ya saa Nne unarudi kwao Tena, zuga tu umepoteza kitu so ulikuja kutafuta.

Au Kaa tu Jirani na Miata yao hiyo, utaona anatoka Tena ( Kuna mchepuko Mmoja niliwah kumla hivo, Mumewe alimpeleka Hadi kwao, baadae akarudi, Demu naye akampanga mama yake akaniletea mbusus)..... So ili naongea najua mbinu zao zote Hawa viumbe.
...... Mpaka hapo utakua umejua kua alikua anataka kufanya ujinga wake.

Hiyo saa nne UKIMKUTA yupo, zuga ulisahau kitu na umepitia Matunda kwaajili ya mama , Kaa Kaa mpaka saa tano Kisha sepa.

Kesho yake mapema nenda kamchukue Mkeo unaweza mkuta hayupo pia au yupo ,kama yupo mchukie ,mkifika nyumban, Anzisha ugonvi, kua Mkali, mwambie umejua Kila kitu , mwambie umejua Kila kitu na mpango wa kutaka kukuzunguka, yaan hakikisha umemtetemesha na katetemeka, alafu Nenda zako kazin ukimuachia Ujumbe, nikirudiii utanitambua ngoja niwahi kazin.

Kuna mawili , aombe Msamaha mwenyewe au ale Yamini, akila Yamini yaan usugu , mpaka ukirudi, piga kimyaa, piga kimyaaa tu Wala usimsemeshe, piga kimya siku ya Kwanzaa, yapili, usile hata Chakula chake, siku ya tatu nne, ujifulie mwenyewee, Kila kitu jifanyieee, au urudi umekula kabisa, Nunua PANGA na ajue umenunua PANGA , weka chini ya uvungu , kua bize bize na simu .

Kuna mawili, akuombe Msamaha mwenyewe, au akimbilie kwao , huko akimbilia kwao, endelea kumkazia ,kaza mkazie yey na mama yake na baba yake akiri Kosa lake .

Hapo atakiri, akikiri utachagua, mwenyewe Sasa !!.

Kwa ufupi nmeeleza mengi, ambayo Ndani yake ni kama ukatili au ukoloni, ila hivo ndivo njia sahihi ya kuishi na mwanamke yoyote yule.

endeleeni kuendekeza ubebibebi mamaeee !!. Mtakufa Kwa mawazo au wake zenu watawaua .

KUWENI WAKOLONI ,MSIYUMBISHWE !!.
Mmmmhhh... Ushauri wa kinyamaaa zaidi.

Sema hapo kwenye kutokula chakula cha mama D
 
Ishu sio uoga wala wasiwasi! Ni kwamba ni vyema akajua ukweli kama mke ana cheat au vipi?? Akimkataza anakuwa hajasolve tatizo lolote ila ni kaahirisha tu! Ni vyema amruhusu ili ajue ukweli hilo ndo lengo!
Kwani hapo kuna kificho chochote kua mkewe anacheat, au ndo utomaso mpaka kimpate kitu ndo aamini
 
Pole ndugu ndio masaibu ya dunia,

Kwa mtazamo wangu naona mkeo anaenda kuliwa na wewe kuharibu formation kwa kumkatalia kutoka sio mbaya ila jua kama ni kweli amedhamiria kufanya hivyo na hapo ndio tatizo lazima atakuja pata nafasi ya kuchepuka

Unaweza kupitia simu yake ila lazima atakuwa amefuta sms za mchepuko wewe cha kufanya nenda kwenye chat ya huyo mama catherine kaangalie aina ya chat yao kama huwa wanatumia hizo emoji [emoji3059] na zinazofanana na hizo na angalia muda aliokutumia hio sms baada ya kukosea kutuma kwako alimtumia sms kama hio mama catherine kama anavyosema
 
Hii option wengi wamei-suggest. Lakini downside yake ni kuwa akimnyima leo, na kama alikuwa na mpango ovu basi atakuwa ameahirisha tatizo tu. Kuna siku atafanikisha kwa sababu huwezi kumchunga binadamu. Njia nzuri ni kumpa ruhusu halafu am-track. Mbona kuna njia nyingi za kufanikisha hili? Kama anaweza, achukuwe hiyo simu yake, aichokonoe iharibike, halafu ampe nyingine na ahakikishe location ipo ON halafu afuatilie akiwa nyumbani. Au a-install software za ki-spy, zenye kurikodi calls!
NI bora asimruhusu ili ajipange kimbinu kuliko et leo ndo aende huko ukweni. Akimtangulia kufika atakua kazuia nini?
 
Back
Top Bottom