Wahitimu wa Cuba naombeni msaada wenu tafadhali

NSHAMWAMBIA WIFE SIKU NIKIKUTA KUNA DALILI YA KULIWA NDO ITAKUWA MWISHO WA UHAI WAKO.

Sinaga muda wa kumfatafata nyuma, Tukigombana kidgo anakulaga kipigo cha kufa mtu na hakuna jirani anaingiliaa mana ataunganishiwa kipigo na yeye sembuse ujinga huo.

ngeikuta mimi hiyo mesji kwanza ngechukua boda chapu home kuvaa bukta ya mazoezi na jezi juu arooo ngepiga manina wallahi,

angetaja vyote
YANI MWANAMKE ANATUMA MESEJI KWA MCHEPUKO HVYO HALAFU IKAIINGIA KWAKO NA UNAPOTEZEA KIRAHISI

MANEENAAH!!
Uongo mtupuuu, ukute hapo kwako unaendeshwa km gari bovu.

Keyboard warriors bhana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Jana nilikuwa nna majukumu ya kazi ambayo ilikuwa ngumu kupata muda wa kumfatilia physically, but kama ataendelea nitajua tu, ipo siku atakaa kwenye mfumo
Mwanamke hapigwi akizingua piga chini Tafuta mwingine.
 
Huu ndio muda wa kuwa na utulivu wa kutosha katika maisha yako ya ndoa.

Kuna mawili; ameshaliwa au anaandaliwa kuliwa.

Katika yote hayo mawili mkeo amemuelewa sana jamaa; namna anavyolazimisha kutoka tena kwa ruhusa yako ni wazi kuwa ''yajayo yanafurahisha''

Mwanamke halindwi; unaweza kuepusha hili tukio lakini kaa ukijua kuwa ataliwa tu maana ana mpango wa kuliwa.

Bottom line; Mwanamke ni kama Bahari; wewe unalinda Coco wenzako wanaoga Bagamoyo.
 
MREJESHO

Nimesoma comment zote nashukuru mmenipa mwangaza wa nini cha kufanya. Mimi nilichofanya niliamkia kazini kama kawaida, but kabla sijaenda nikampa pesa ya nauli na hela ya 'sukari' ya Mama, akaniomba atumie simu yangu kumpigia boda kwani muda wake wa maongezi umeisha, niliyasikia maongezi na muda aliompanga aje amchukue, nikategea huo muda ufike halafu nikaongeza nusu saa mbele. Kama unavyoona text ya kwanza niliuliza kwa kumtega kutaka kujua kama amefika nyumbani. Text hii ilichukua dakika 12 haijajibiwa nikapiga simu akapokea, nikamuuliza umeiona text yangu akajibu hapana naomba niiangalie, nikakata simu akajibu 'Ndio'. Nikamwambia nitakupigia simu nimsalimie Mama, akadelay kama dakika 7 hajajibu msg ikabidi nipige simu ambayo haikupokelewa. Nikamtext mpe simu Mama niongee nae sasahivi, akanijibu baada ya dakika5 'Mama ametoka sijamkuta', nikamwambia awashe data nimpigie whatsapp video call, akajibu baada ya dakika 8 'Mtandao unasumbua'[emoji1781], baada ya dakika1 akanitext tena nimewasha data, nikamwambia nipigie nimsalimie D, akanipigia hiyo video call; ila mazingira aliyoonekana siyajui ndio nikamuhoji hapo ndio nyumbani? Akajibu hapa ni kwa jirani nduguyao, nikamuuliza umeaga unaenda kwa Mama au kwa jirani, akasema Mama sijamkuta hivyo nikaja kusalimia majirani, nikamwambia rudi nyumbani na umpe simu Mama niongee naye, akasema sawa, nikauliza nikupe dakika ngapi? Akajibu kama 30 hivi[emoji25], nikasema usinitanie dakika 30 kutoka kwa jirani? Akajibu sijajua kama Mama nitamkuta ndio maana nimesema 30, nikakata simu. Baada ya dakika kama 7 akanipigia nikaongea na Mama......

** Ukijaribu kupiga hesabu ya Muda nilioanza kumtafuta hadi nafanikiwa kuongea na Mama ni zaidi ya dakika 40[emoji56], akili ya kufanya maamuzi magumu ya haraka ilinijia ila nikarudi nyuma kidogo kwa kuwa na mimi miezi kadhaa iliyopita alinifuma na maovu fulani tukakaa kitako tukayasuluhisha.....Meseji ya mwisho niliyomtumia ndio hiyo inayoonekana hapo kwenye attachment....View attachment 2585479
Kwa kifupi umegongewa na viashiria vyote vinaonyesha hivyo, kipindi mnawasiliana alikuwa anatafuta namna ya kuweka mambo sawa ndio maana ametumia muda mrefu wewe kuongea na mama yake. Alichofanya amekuunganisha kwenye CONFERENCE CALL ndio ukaongea na mama ila yeye hakuwepo kwa mama amini ninachokiambia. Usije kusema eti hawezi kumshirikisha mama yake ondoa hiyo dhana, kuna familia nyingine mtoto wa kike na mama ni kama mtu na rafiki yake.
Nina ushshidi wa matukio kama ya kwako hivyo nina uhakika wa ninachokisema.
 
MREJESHO

Nimesoma comment zote nashukuru mmenipa mwangaza wa nini cha kufanya. Mimi nilichofanya niliamkia kazini kama kawaida, but kabla sijaenda nikampa pesa ya nauli na hela ya 'sukari' ya Mama, akaniomba atumie simu yangu kumpigia boda kwani muda wake wa maongezi umeisha, niliyasikia maongezi na muda aliompanga aje amchukue, nikategea huo muda ufike halafu nikaongeza nusu saa mbele. Kama unavyoona text ya kwanza niliuliza kwa kumtega kutaka kujua kama amefika nyumbani. Text hii ilichukua dakika 12 haijajibiwa nikapiga simu akapokea, nikamuuliza umeiona text yangu akajibu hapana naomba niiangalie, nikakata simu akajibu 'Ndio'. Nikamwambia nitakupigia simu nimsalimie Mama, akadelay kama dakika 7 hajajibu msg ikabidi nipige simu ambayo haikupokelewa. Nikamtext mpe simu Mama niongee nae sasahivi, akanijibu baada ya dakika5 'Mama ametoka sijamkuta', nikamwambia awashe data nimpigie whatsapp video call, akajibu baada ya dakika 8 'Mtandao unasumbua'[emoji1781], baada ya dakika1 akanitext tena nimewasha data, nikamwambia nipigie nimsalimie D, akanipigia hiyo video call; ila mazingira aliyoonekana siyajui ndio nikamuhoji hapo ndio nyumbani? Akajibu hapa ni kwa jirani nduguyao, nikamuuliza umeaga unaenda kwa Mama au kwa jirani, akasema Mama sijamkuta hivyo nikaja kusalimia majirani, nikamwambia rudi nyumbani na umpe simu Mama niongee naye, akasema sawa, nikauliza nikupe dakika ngapi? Akajibu kama 30 hivi[emoji25], nikasema usinitanie dakika 30 kutoka kwa jirani? Akajibu sijajua kama Mama nitamkuta ndio maana nimesema 30, nikakata simu. Baada ya dakika kama 7 akanipigia nikaongea na Mama......

** Ukijaribu kupiga hesabu ya Muda nilioanza kumtafuta hadi nafanikiwa kuongea na Mama ni zaidi ya dakika 40[emoji56], akili ya kufanya maamuzi magumu ya haraka ilinijia ila nikarudi nyuma kidogo kwa kuwa na mimi miezi kadhaa iliyopita alinifuma na maovu fulani tukakaa kitako tukayasuluhisha.....Meseji ya mwisho niliyomtumia ndio hiyo inayoonekana hapo kwenye attachment....View attachment 2585479
Wewe jamaa ni bogus kiasi chake, hapo ungemfuatilia ndiyo ingekuwa vyema zaidi, naona hapa ushamshtua na hutojua tena na inaonekana unamwamini sana mkeo

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye attachment hii ni convo ya mimi na mkewangu ambayo ilifanyika jana kupitia simu zetu. Story ni hivi, juzikati 'Jmosi' tuliandaa sherehe ya birthday ya mwaka mmoja ya mtoto wetu D, tulifanyia nyumbani huku tukialika majirani kadhaa. Maandalizi ya tukio zima roughly ilinicost kama laki2 na nusu hivi, nashukuru Mungu ilipendeza sana kama matarajio yetu yalivyokuwa (tulienjoy).

Kesho yake Jpili siku ya pasaka baada ya kutoka church nikaunganisha kwenye shughuli zangu za ujasiriamali, maana kama ni kusherehekea jana yake nilisherehekea vya kutosha kwa maana hadi saa7 usiku tulikuwa tunacheza mziki na kupigwa vyombo, hivyo sikuona sababu ya kuwa na mtoko tena siku inayofata badala yake niitumie hiyo siku kupiga kazi na kuupa unafuu mfuko baada ya kuvunja kibubu, Mama D aliniomba tutoke nikamwambia nimechoka na shughuli ya jana, acha leo nipige kazi, siku ikawa imepita.

Siku ya jana j3 nilikuwa kazini kwangu, nikawa na convo fupi ya sms na Mama D, baada ya kama nusu saa akatuma ujumbe kimakosa ambao ulikuwa unapaswa kwenda kwa mtu mwingine

'Mtandao mbaya sehem gani kutakua na usalama? Uko sipajui [emoji3059]Nijibu kwa sms plz'.

Sikumjibu chochote baada ya kusema amekosea huo ujumbe ulikuwa unaenda kwa 'Mama Catherine ', baada ya kama lisaa limoja nikarudi home kupata lunch, sikuhoji chochote kuhusu hiyo msg yake, akasema by saa 10 jioni ataondoka kuelekea Beach. Mimi nikamwambia usiende, akahoji kwanini wakati uliniruhusu? Nikamwambia nikweli nilikuruhusu ila nimeahirisha, maongezi yakaishia hapo japo alionekana kukasirika, leo asubuhi kipindi tunapata breakfast kaniomba ruhusa kesho 'Jtano' aende kumuona Mama yake, mimi nikamjibu sawa (Mama yake anaishi pembeni mwa mji, ni kama kilometa 15 kutoka tunapoishi).

Kifupi hiyo sms ya jana aliyoituma kwangu kimakosa imenifikirisha sana, na hii safari ya katikati ya wiki kwenda kumuona Mama imenifikirisha zaidi, nahisi kuna mnyamwezi anataka kunisaidia majukumu, naombeni ushauri wasomi wenzangu, huu mtego nautegua vipi ama ni hisia zangu tu ndio zimekuwa negative? Nimruhusu hiyo kesho aende, ama nimkatalie ili niharibu formation?

NB; kwa miaka miwili tuliyoishi pamoja sijawahi mfumania Mama D, wala sijawahi hisi kama ananisaliti, ila kwa hiyo meseji nimeanza kuhisi kituView attachment 2584561

MREJESHO;
Soma comment no 242
Bro hapo ni wazi anaenda kuliwa
 
Jamaa kaharibu hio meseji ya mwisho kipepeo kapeperuka, hivi hajawahi kucheza ile michezo ya kukamata wadudu fulan km dragon na kipepeo unawanyatia sana hutakiwi kua na Pupa, go slowly Ila kufumania inauma Bora amalize huko arudi usijue tu daah
 
Bro hapo ni wazi anaenda kuliwa
Kashaliwa siku zishapita Leo ni ijumaa kaliwa J5 safi
Ukijaribu kupiga hesabu ya Muda nilioanza kumtafuta hadi nafanikiwa kuongea na Mama ni zaidi ya dakika 40
Ushaelewa au
Mama hayupo kaenda salimia majirani
emoji848.png
emoji848.png
na hajakwambia kama mama hajamkuta
emoji23.png
wooiii
Shida hii hapo uthibitisho wa mdada anaejua michezo hio
Eti nijibu kwa sms pls. Na huto tuchikopa? Wifi etu kaenda kukipeleka mahali penye usalama.
Unasikia hio sentence sasa
 
Kwenye attachment hii ni convo ya mimi na mkewangu ambayo ilifanyika jana kupitia simu zetu. Story ni hivi, juzikati 'Jmosi' tuliandaa sherehe ya birthday ya mwaka mmoja ya mtoto wetu D, tulifanyia nyumbani huku tukialika majirani kadhaa. Maandalizi ya tukio zima roughly ilinicost kama laki2 na nusu hivi, nashukuru Mungu ilipendeza sana kama matarajio yetu yalivyokuwa (tulienjoy).

Kesho yake Jpili siku ya pasaka baada ya kutoka church nikaunganisha kwenye shughuli zangu za ujasiriamali, maana kama ni kusherehekea jana yake nilisherehekea vya kutosha kwa maana hadi saa7 usiku tulikuwa tunacheza mziki na kupigwa vyombo, hivyo sikuona sababu ya kuwa na mtoko tena siku inayofata badala yake niitumie hiyo siku kupiga kazi na kuupa unafuu mfuko baada ya kuvunja kibubu, Mama D aliniomba tutoke nikamwambia nimechoka na shughuli ya jana, acha leo nipige kazi, siku ikawa imepita.

Siku ya jana j3 nilikuwa kazini kwangu, nikawa na convo fupi ya sms na Mama D, baada ya kama nusu saa akatuma ujumbe kimakosa ambao ulikuwa unapaswa kwenda kwa mtu mwingine

'Mtandao mbaya sehem gani kutakua na usalama? Uko sipajui [emoji3059]Nijibu kwa sms plz'.

Sikumjibu chochote baada ya kusema amekosea huo ujumbe ulikuwa unaenda kwa 'Mama Catherine ', baada ya kama lisaa limoja nikarudi home kupata lunch, sikuhoji chochote kuhusu hiyo msg yake, akasema by saa 10 jioni ataondoka kuelekea Beach. Mimi nikamwambia usiende, akahoji kwanini wakati uliniruhusu? Nikamwambia nikweli nilikuruhusu ila nimeahirisha, maongezi yakaishia hapo japo alionekana kukasirika, leo asubuhi kipindi tunapata breakfast kaniomba ruhusa kesho 'Jtano' aende kumuona Mama yake, mimi nikamjibu sawa (Mama yake anaishi pembeni mwa mji, ni kama kilometa 15 kutoka tunapoishi).

Kifupi hiyo sms ya jana aliyoituma kwangu kimakosa imenifikirisha sana, na hii safari ya katikati ya wiki kwenda kumuona Mama imenifikirisha zaidi, nahisi kuna mnyamwezi anataka kunisaidia majukumu, naombeni ushauri wasomi wenzangu, huu mtego nautegua vipi ama ni hisia zangu tu ndio zimekuwa negative? Nimruhusu hiyo kesho aende, ama nimkatalie ili niharibu formation?

NB; kwa miaka miwili tuliyoishi pamoja sijawahi mfumania Mama D, wala sijawahi hisi kama ananisaliti, ila kwa hiyo meseji nimeanza kuhisi kituView attachment 2584561

MREJESHO;
Soma comment no 242
Mkuu mrejesho vipi
 
Mrejesho zaidi
 
Back
Top Bottom