James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,233
Back up enroute rogerDelta 1 this is alpha 1 reporting,female terrorist in sight requests for immediately back up
Stay frost
Delta 1 out
Back up enroute rogerDelta 1 this is alpha 1 reporting,female terrorist in sight requests for immediately back up
Alpha 1 this is Delta... you are allowed yo take a shot if you have a clear target. I repaet you rae clear to go; take a shot.Delta 1 this is alpha 1 reporting,female terrorist in sight requests for immediately back up
Over..do you copy?Delta 1 this is alpha 1 reporting,female terrorist in sight requests for immediately back up
Mama Catherine ana balaa😂😂Mpaka sasa ni half time anaongoza 1 bila, sawazisha. Abort misheni mkuu mama katherine anaupiga mwingi.
🤣🤣🤣 Umetisha buddah. Wacheck muvi tunajuanaBack up enroute roger
Stay frost
Delta 1 out
Mama catherine anatafutiwa eneo lenye usalama😂Mama Catherine ana balaa😂😂
Eneo la maangamizi, ila tuache utani usaliti unauma balaa😪💔Mama catherine anatafutiwa eneo lenye usalama😂
Yeye amruhusu lakini atafute kijana amfatilie,nakwambia kwa mafunzo yangu ya Cuba,atafumania tuu.Sasa unamruhusuje kwenda kwa mama yake tena???
Ataharibu,yeye afatilie mwenyewe au atume kijana!!!Ongozana nae
ROHO inauma Sana,Hivi vile tu ukiona mumeo Ana kimchepuko nje ROHO inataka kutoka,akili zinakuruka.sembuse hiii ya live!!!!WANAWAKE TULIE NA MWANAUME MMOJA,hao wengine piga stoop.Jifanye hujaiona hiyo message... ila hapo ni wazi mkeo anaenda kusasambuliwa... inauma roho ila vumilia tu
Saaana kwa kweli.Uchi wa mkeo kila mtu aujue,hapana.Kwa kweli heri upate mwanamke mwenye mapungufu mengine utayarekebisha kuliko MALAYAIla kuoa Mwanamke Malaya ni shida sana.Aibu naona mimi
Tayari nini?Tayariii
NA HAKUNA DHARAU KUBWA KAMA YA MKE KWENDA KUTOMBWA NA WANAUME WENGINE.Bro kwa elimu yangu ya darasa la 4C shule ya msingi Mwanamboka... Mkeo anaenda kukojolewa... Halafu umesema for 2 years hujawah kumfumania au kumhisi..? 😅 She's very smart atakua alisomea Cuba namna ya kuishi kwa umakini...
Ila kuna kitu hakipo sawa, inaonekana mkeo hakueshimu hakuogopi anakudharau, inaonekana umempa nafasi ya kukuona wewe fala sana... Yaani hiyo msg ilitosha kabisa aogope awe na wasiwasi asitoke nje ya nyumba mwaka mzima...
Ila cha ajabu bado anakuomba ruhusa anaenda sehem unamkatalia anakupa sababu nyingine eti anaenda kwao kusalimia 😅😂... Mimi nitombewe tu dharau za wazi hivi ninamtoa mtu roho kimya kimya...
Anyways ndoa njema bro
Atatibua hadi lini?Tibua formation tena.. usipofanya ivyo timu pinzani itashinda kwa kishindo
Saaana,tu ila mpaka athibitishe.Vunja ndoa hiyo mapema mkuu ushahdi unajitosheleza huo.
Inauma sanaNA HAKUNA DHARAU KUBWA KAMA YA MKE KWENDA KUTOMBWA NA WANAUME WENGINE.
Kaenda kukojoa,mkojo ukiisha atarudi.Eti nijibu kwa sms pls. Na huto tuchikopa? Wifi etu kaenda kukipeleka mahali penye usalama.