Wahitimu wa Cuba naombeni msaada wenu tafadhali

Kwenye attachment hii ni convo ya mimi na mkewangu ambayo ilifanyika jana kupitia simu zetu. Story ni hivi, juzikati 'Jmosi' tuliandaa sherehe ya birthday ya mwaka mmoja ya mtoto wetu D, tulifanyia nyumbani huku tukialika majirani kadhaa. Maandalizi ya tukio zima roughly ilinicost kama laki2 na nusu hivi, nashukuru Mungu ilipendeza sana kama matarajio yetu yalivyokuwa (tulienjoy).

Kesho yake Jpili siku ya pasaka baada ya kutoka church nikaunganisha kwenye shughuli zangu za ujasiriamali, maana kama ni kusherehekea jana yake nilisherehekea vya kutosha kwa maana hadi saa7 usiku tulikuwa tunacheza mziki na kupigwa vyombo, hivyo sikuona sababu ya kuwa na mtoko tena siku inayofata badala yake niitumie hiyo siku kupiga kazi na kuupa unafuu mfuko baada ya kuvunja kibubu, Mama D aliniomba tutoke nikamwambia nimechoka na shughuli ya jana, acha leo nipige kazi, siku ikawa imepita.

Siku ya jana j3 nilikuwa kazini kwangu, nikawa na convo fupi ya sms na Mama D, baada ya kama nusu saa akatuma ujumbe kimakosa ambao ulikuwa unapaswa kwenda kwa mtu mwingine

'Mtandao mbaya sehem gani kutakua na usalama? Uko sipajui [emoji3059]Nijibu kwa sms plz'.

Sikumjibu chochote baada ya kusema amekosea huo ujumbe ulikuwa unaenda kwa 'Mama Catherine ', baada ya kama lisaa limoja nikarudi home kupata lunch, sikuhoji chochote kuhusu hiyo msg yake, akasema by saa 10 jioni ataondoka kuelekea Beach. Mimi nikamwambia usiende, akahoji kwanini wakati uliniruhusu? Nikamwambia nikweli nilikuruhusu ila nimeahirisha, maongezi yakaishia hapo japo alionekana kukasirika, leo asubuhi kipindi tunapata breakfast kaniomba ruhusa kesho 'Jtano' aende kumuona Mama yake, mimi nikamjibu sawa (Mama yake anaishi pembeni mwa mji, ni kama kilometa 15 kutoka tunapoishi).

Kifupi hiyo sms ya jana aliyoituma kwangu kimakosa imenifikirisha sana, na hii safari ya katikati ya wiki kwenda kumuona Mama imenifikirisha zaidi, nahisi kuna mnyamwezi anataka kunisaidia majukumu, naombeni ushauri wasomi wenzangu, huu mtego nautegua vipi ama ni hisia zangu tu ndio zimekuwa negative? Nimruhusu hiyo kesho aende, ama nimkatalie ili niharibu formation?

NB; kwa miaka miwili tuliyoishi pamoja sijawahi mfumania Mama D, wala sijawahi hisi kama ananisaliti, ila kwa hiyo meseji nimeanza kuhisi kituView attachment 2584561
Sema hako ka emoji 🥰 kakiwaki kinoma mzee
 
[emoji23] Mtamuua mwenzenu ujue
Sasa kama ndio tuliyosoma cuba tufanyaje? 😂😂

Apangue hiyo safari kijanja, ndio kuishi nanyi kwa akili hivyo. Kama ana biashara amwambie anafuatilia pesa kwa mtu(iwe nono ili ashawishike) alafu amuombe amkaimu kwa muda kwa kisingizio cha kuwa kuna mtu atafuata bidhaa bila kukosa na amesisitiza sana apate hiyo huduma.

Akishalitimiza hilo mpango utavurugika, zipo mbinu nyingi za ki cuba kuliepuka hilo japo haitokuwa suluhisho la jumla kama kweli mama D anachepuka.
 
Angalia emoji ya kwenye text yake kwenda kwa mama Katherine, kuna vikopa kopa kwa mama Katherine vya nn?
Pili mruhusu then mfuatilie kama una roho ngumu ila hapo kuna mashaka zaidi mzee! Kuliko usalama, kuwa makini mzee na pole
 
Jifanye hujaiona hiyo message... ila hapo ni wazi mkeo anaenda kusasambuliwa... inauma roho ila vumilia tu
Kwenye majibizano amemwambia amekosea kutuma na alikuwa anatuma kwa mama Kathetine na ameoona imekuwa delivered na read! screpa wewe kweli ni screpa. Mbona hili rahisi sana?

Ungemruhusu aende huko beach au kwa mama yake halafu uweke mtu wa kumfuatilia! Ukiamua kumkatalia tu basi umeahirisha tu tatizo kwani kuna siku atapata chance. Au njia rahisi ni kuangalia simu yake alikuwa ana chat na nani japo anaweza kuwa alishafuta ushahidi.
 
Angalia emoji ya kwenye text yake kwenda kwa mama Katherine, kuna vikopa kopa kwa mama Katherine vya nn?
Pili mruhusu then mfuatilie kama una roho ngumu ila hapo kuna mashaka zaidi mzee! Kuliko usalama, kuwa makini mzee na pole

Nakazia. Kama una roho ngumu mruhusu aende then mfatilie (mtume hata ndugu/jamaa unaemwamini amfatilie). Majibu utayapata kama ni kusuka au kunyoa
 
Bro kwa elimu yangu ya darasa la 4C shule ya msingi Mwanamboka... Mkeo anaenda kukojolewa... Halafu umesema for 2 years hujawah kumfumania au kumhisi..? 😅 She's very smart atakua alisomea Cuba namna ya kuishi kwa umakini...

Ila kuna kitu hakipo sawa, inaonekana mkeo hakueshimu hakuogopi anakudharau, inaonekana umempa nafasi ya kukuona wewe fala sana... Yaani hiyo msg ilitosha kabisa aogope awe na wasiwasi asitoke nje ya nyumba mwaka mzima...

Ila cha ajabu bado anakuomba ruhusa anaenda sehem unamkatalia anakupa sababu nyingine eti anaenda kwao kusalimia 😅😂... Mimi nitombewe tu dharau za wazi hivi ninamtoa mtu roho kimya kimya...

Anyways ndoa njema bro
 
Sasa kama ndio tuliyosoma cuba tufanyaje? [emoji23][emoji23]
Apangue hiyo safari kijanja, ndio kuishi nanyi kwa akili hivyo. Kama ana biashara amwambie anafuatilia pesa kwa mtu(iwe nono ili ashawishike) alafu amuombe amkaimu kwa muda kwa kisingizio cha kuwa kuna mtu atafuata bidhaa bila kukosa na amesisitiza sana apate hiyo huduma.
Akishalitimiza hilo mpango utavurugika, zipo mbinu nyingi za ki cuba kuliepuka hilo japo haitokuwa suluhisho la jumla kama kweli mama D anachepuka.
Hawezi mwenzenu kufanya hivi amesharuhusu tayari mkewe atoke
 
Back
Top Bottom