Wahitimu wa Cuba naombeni msaada wenu tafadhali

Wahitimu wa Cuba naombeni msaada wenu tafadhali

Kiukweli kuna baadhi ya mambo hakuna haha ya kuomba ushauri ni ww tuu kufanya maamuzi.
Usimruhusu aende huko.
Muwekee mtego kimya kimyaa
Kiufupi kuna mtu ameshaanza kumgegeda lilikuwa ni suala la muda tuu la ww kushtukia.
Wakati wa shetani ushapita sasa ni Mungu anajidhihirisha.
Tia mtego,nasa mwizi kisha piga chini.
 
kama unataka kuhkikisha toa ruhusa then ikifika hyo siku akiondoka na ww anza safar kwenda kwa mkwe msipishane muda then ukimkuta sema umekuja na ww kumuona usipomkuta jua chama cha upinzan kinafanya mkutano wa hadhara
 
Kwenye attachment hii ni convo ya mimi na mkewangu ambayo ilifanyika jana kupitia simu zetu. Story ni hivi, juzikati 'Jmosi' tuliandaa sherehe ya birthday ya mwaka mmoja ya mtoto wetu D, tulifanyia nyumbani huku tukialika majirani kadhaa. Maandalizi ya tukio zima roughly ilinicost kama laki2 na nusu hivi, nashukuru Mungu ilipendeza sana kama matarajio yetu yalivyokuwa (tulienjoy).

Kesho yake Jpili siku ya pasaka baada ya kutoka church nikaunganisha kwenye shughuli zangu za ujasiriamali, maana kama ni kusherehekea jana yake nilisherehekea vya kutosha kwa maana hadi saa7 usiku tulikuwa tunacheza mziki na kupigwa vyombo, hivyo sikuona sababu ya kuwa na mtoko tena siku inayofata badala yake niitumie hiyo siku kupiga kazi na kuupa unafuu mfuko baada ya kuvunja kibubu, Mama D aliniomba tutoke nikamwambia nimechoka na shughuli ya jana, acha leo nipige kazi, siku ikawa imepita.

Siku ya jana j3 nilikuwa kazini kwangu, nikawa na convo fupi ya sms na Mama D, baada ya kama nusu saa akatuma ujumbe kimakosa ambao ulikuwa unapaswa kwenda kwa mtu mwingine

'Mtandao mbaya sehem gani kutakua na usalama? Uko sipajui [emoji3059]Nijibu kwa sms plz'.

Sikumjibu chochote baada ya kusema amekosea huo ujumbe ulikuwa unaenda kwa 'Mama Catherine ', baada ya kama lisaa limoja nikarudi home kupata lunch, sikuhoji chochote kuhusu hiyo msg yake, akasema by saa 10 jioni ataondoka kuelekea Beach. Mimi nikamwambia usiende, akahoji kwanini wakati uliniruhusu? Nikamwambia nikweli nilikuruhusu ila nimeahirisha, maongezi yakaishia hapo japo alionekana kukasirika, leo asubuhi kipindi tunapata breakfast kaniomba ruhusa kesho 'Jtano' aende kumuona Mama yake, mimi nikamjibu sawa (Mama yake anaishi pembeni mwa mji, ni kama kilometa 15 kutoka tunapoishi).

Kifupi hiyo sms ya jana aliyoituma kwangu kimakosa imenifikirisha sana, na hii safari ya katikati ya wiki kwenda kumuona Mama imenifikirisha zaidi, nahisi kuna mnyamwezi anataka kunisaidia majukumu, naombeni ushauri wasomi wenzangu, huu mtego nautegua vipi ama ni hisia zangu tu ndio zimekuwa negative? Nimruhusu hiyo kesho aende, ama nimkatalie ili niharibu formation?

NB; kwa miaka miwili tuliyoishi pamoja sijawahi mfumania Mama D, wala sijawahi hisi kama ananisaliti, ila kwa hiyo meseji nimeanza kuhisi kituView attachment 2584561
Sisi wahitimu wa Cuba kwa hii case ulitakiwa ukodi boda boda siku nzima wafanye ufuatiliaji na uwe unapata taarifa live ya mapito yote👌
 
tangu lini mzabzab akawa mama katarina??! Kule kwa DeepPond napo alijipa jina. Aisee.,. MHITIMU WA CUBA WA ENZI ZA FIDEL CASTRO NAKUAMBIA DHIBITI MKEO.
 
Hapo unapigiwa ni hivi mruhusu kiroho safi na usioneshe wasi wasi wowote. Then akitoka unga tela kimya kimya bila yeye kujua mpaka anapoenda utapata uhalisia wa mkeo. Siku zote ukiwa unapigiwa ni km akili haifanyi kazi vizuri ndio maana bado km huamni kuna mtu anakula wife yako.
 
Kwenye majibizano amemwambia amekosea kutuma na alikuwa anatuma kwa mama Kathetine na ameoona imekuwa delivered na read! screpa wewe kweli ni screpa. Mbona hili rahisi sana? Ungemruhusu aende huko beach au kwa mama yake halafu uweke mtu wa kumfuatilia! Ukiamua kumkatalia tu basi umeahirisha tu tatizo kwani kuna siku atapata chance. Au njia rahisi ni kuangalia simu yake alikuwa ana chat na nani japo anaweza kuwa alishafuta ushahidi.
Inaonekana ana michezo yake muda, maana kuna wakati nikiwa na wasiwasi nikichukua kupekua simu yake nakuta inbox empty [emoji56]
 
0DBD79F8-25BF-4F70-B9A1-5838EC7C5176.jpeg

Inauma inauma lakini utazooeaa

Inauma inauma lakini utazoeeaa

Hali ya Mwanamume duniani ni kuzoeeaa
 
Kama una ujasiri wa kuishi bila yeye, fanya maamuzi magumu; ila kama huwezi jaribu kumzuia asiondoke
 
Mtafute mama cathe upate udhibitisho,
Lakini sidhani kama kuna ishu iliyo kuwa imepangwa, maana alikuomba mtoko , kama ungekubali angefanyaje hicho unachodhania.

Jitahidi sana usijue negative za mwenzako zitakuumiza sana na kuifikisha safari yenu mwisho bila kufika mwisho wenyewe.
Nadhani kwakuwa aliona sina mpango wa kutoka, maana nikihitaji kutoka huwa nampanga mapema
 
Back
Top Bottom