Tuweni makini na hawa wapenzi wa mtandaoni

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,787
Reaction score
4,262
Mwaka 2023 kama sio 2024 niliweka uzi hapa unaohusu upweke na kujitenga sana kwa upande wange,basi kuna dada mmoja akanifuata pm,tukawa tunachati baadae tukawa tunawasilia kwa whatssap,yeye ni mwalimu ndio alikuwa ameripoti huko RUVUMA,ni mchaga na ana dada yake hapa dar,anawatoto 2 wote wa baba mmoja ila waliachana.

Basi likizo ya likizo ya mwezi wa 6 alikuja kuwaangalia watotot wake hapa Dar alifikia mbande ndiko aliko dada yake,mimi nashinda Chanika kijiweni kwangu,mbande na chanika ni rahisi kufika,akanitaka nimfuate,sasa mimi mtu kumfuata kwa mara ya kwanza ni mwiko nikamwambia aje mpaka chanika kweli akaja.

Alipofika tu nakumuona code ziligoma kabisa kuhusu afya yake haendani kabisa na ni mtu wa kukasirika haraka sana hata kwa mambo yasiyoeleweka,na mimi nilikuwa na upwiru kwelikweli almost a year,kadhalika na yeye(kwa madai yake).

Baada ya maongezi ya muda nikamwambia tupime HIV,akawa mzito,nikamuuliza baba wa wanao mliachana muda gani na umewahi kuwa na mahusiano baada ya hapo? akasema miaka 2(na ndio umri wa mtoto mdogo) na hakuwahi kuwa na mahusiano.

Akasema nimpime lakini nisimpe majibu nikamwambia kwa vyovyote iwavyo mimi nitajua namna yakukuhandle kwakuwa ni mtu wa afya, na hapa natoa huduma za afya.

Nikachukua kitendanishi nikamuandaa nakuchukua damu,nilipoweka buffer nikaficha asione,ilipo dissolve tu kikasoma positive,sikushituka sababu code zilinigoma tangia namuona nikamkabili kisaikolojia,nikamwambia hapa ni ofisini tuonane jmosi,basi akaondoka.

Alipofika kwake nikaanza kumuhoji ,katika kumuhoji akaonekana kama ni mtu anayejijua kwa muda mrefu ila alifikiri mimi nimwepesi angeweza niingiza mkenge,nilichojiuliza kama ni miaka 2 na hakuwa na mahusiano maana yake alipata huo ukimwi kwa mumewe au wakati wa kujifungua,maana nilimuhoji kuhusu kunyonya mtoto akasema aliacha akiwa na miezi 6 sababu yeye alipata kazi mbali na alimuachia mtoto mama yake,je kama alipata wakati wa kujifungua ama kwa mumewe aliwezaje kukaa miaka 2 bila kujigundua kama ameathirika? nikajua kalikuwa kananichota.

Sikutaka kumnyanyapaa,mwenyewe naona akanilima block fasta 😀

kuweni makini.
 
Mkuu yan hawa wanagawa ioo kitu hovyo sana sikuhizi
Ndio yupo mwingine mtaani ni mteja wangu ananitaka sana sema sina shobo(shida hii nyota),anaumeme najua ila anaficha,kuna kipindi alikuja anaumwa baada yakufanya vipimo kuna kipimo kiliyumba sana,kikiyumba hicho lazima tupime HIV,Hepatitis,sasa siwezi kumpima bila ridhaa,nikamwambia ,akagoma kupima ,mimi nikapima sababu nilikuwa na damu,kikasoma positive,kila akija anaumwa nikimwambia pima hataki,namzoom tu wakati anabugia dawa,anazungusha mayai ya kuchemsha,anagawa kwa kila rika popote pale maninner.
 
Mwaka 2023 kama sio 2024 niliweka uzi hapa unaohusu upweke na kujitenga sana kwa upande wange,basi kuna dada mmoja akanifuata pm,tukawa tunachati baadae tukawa tunawasilia kwa whatssap,yeye ni mwalimu ndio alikuwa ameripoti huko RUVUMA,ni mchaga na ana dada yake hapa dar,anawatoto 2 wote wa baba mmoja ila waliachana.

Basi likizo ya likizo ya mwezi wa 6 alikuja kuwaangalia watotot wake hapa Dar alifikia mbande ndiko aliko dada yake,mimi nashinda Chanika kijiweni kwangu,mbande na chanika ni rahisi kufika,akanitaka nimfuate,sasa mimi mtu kumfuata kwa mara ya kwanza ni mwiko nikamwambia aje mpaka chanika kweli akaja.

Alipofika tu nakumuona code ziligoma kabisa kuhusu afya yake haendani kabisa na ni mtu wa kukasirika haraka sana hata kwa mambo yasiyoeleweka,na mimi nilikuwa na upwiru kwelikweli almost a year,kadhalika na yeye(kwa madai yake).

Baada ya maongezi ya muda nikamwambia tupime HIV,akawa mzito,nikamuuliza baba wa wanao mliachana muda gani na umewahi kuwa na mahusiano baada ya hapo? akasema miaka 2(na ndio umri wa mtoto mdogo) na hakuwahi kuwa na mahusiano.

Akasema nimpime lakini nisimpe majibu nikamwambia kwa vyovyote iwavyo mimi nitajua namna yakukuhandle kwakuwa ni mtu wa afya, na hapa natoa huduma za afya.

Nikachukua kitendanishi nikamuandaa nakuchukua damu,nilipoweka buffer nikaficha asione,ilipo dissolve tu kikasoma positive,sikushituka sababu code zilinigoma tangia namuona nikamkabili kisaikolojia,nikamwambia hapa ni ofisini tuonane jmosi,basi akaondoka.

Alipofika kwake nikaanza kumuhoji ,katika kumuhoji akaonekana kama ni mtu anayejijua kwa muda mrefu ila alifikiri mimi nimwepesi angeweza niingiza mkenge,nilichojiuliza kama ni miaka 2 na hakuwa na mahusiano maana yake alipata huo ukimwi kwa mumewe au wakati wa kujifungua,maana nilimuhoji kuhusu kunyonya mtoto akasema aliacha akiwa na miezi 6 sababu yeye alipata kazi mbali na alimuachia mtoto mama yake,je kama alipata wakati wa kujifungua ama kwa mumewe aliwezaje kukaa miaka 2 bila kujigundua kama ameathirika? nikajua kalikuwa kananichota.

Sikutaka kumnyanyapaa,mwenyewe naona akanilima block fasta 😀

kuweni makini.
Kwa faida ya wengi.

Hebu jazia hapo kwenye kuupata wakati wa kujifungua.
 
Mtandaoni kila mwanamke ni angel mpaka mkutane ana kwa ana!
Bora awe angel
Kuna notion ya kuhisi kila mwanamke ni mrembo. Kuna
wakati fulani enzi za ujana nikiwa bado mseja, mtu x wa mtandao x alinifanya nikose pozi za kutamani wadada wa huo mtandao kisa comments zao.
Unakuta mtu ni bonge la kibungo ila ana comments zenye mvuto balaaa.
 
Mwaka 2023 kama sio 2024 niliweka uzi hapa unaohusu upweke na kujitenga sana kwa upande wange,basi kuna dada mmoja akanifuata pm,tukawa tunachati baadae tukawa tunawasilia kwa whatssap,yeye ni mwalimu ndio alikuwa ameripoti huko RUVUMA,ni mchaga na ana dada yake hapa dar,anawatoto 2 wote wa baba mmoja ila waliachana.

Basi likizo ya likizo ya mwezi wa 6 alikuja kuwaangalia watotot wake hapa Dar alifikia mbande ndiko aliko dada yake,mimi nashinda Chanika kijiweni kwangu,mbande na chanika ni rahisi kufika,akanitaka nimfuate,sasa mimi mtu kumfuata kwa mara ya kwanza ni mwiko nikamwambia aje mpaka chanika kweli akaja.

Alipofika tu nakumuona code ziligoma kabisa kuhusu afya yake haendani kabisa na ni mtu wa kukasirika haraka sana hata kwa mambo yasiyoeleweka,na mimi nilikuwa na upwiru kwelikweli almost a year,kadhalika na yeye(kwa madai yake).

Baada ya maongezi ya muda nikamwambia tupime HIV,akawa mzito,nikamuuliza baba wa wanao mliachana muda gani na umewahi kuwa na mahusiano baada ya hapo? akasema miaka 2(na ndio umri wa mtoto mdogo) na hakuwahi kuwa na mahusiano.

Akasema nimpime lakini nisimpe majibu nikamwambia kwa vyovyote iwavyo mimi nitajua namna yakukuhandle kwakuwa ni mtu wa afya, na hapa natoa huduma za afya.

Nikachukua kitendanishi nikamuandaa nakuchukua damu,nilipoweka buffer nikaficha asione,ilipo dissolve tu kikasoma positive,sikushituka sababu code zilinigoma tangia namuona nikamkabili kisaikolojia,nikamwambia hapa ni ofisini tuonane jmosi,basi akaondoka.

Alipofika kwake nikaanza kumuhoji ,katika kumuhoji akaonekana kama ni mtu anayejijua kwa muda mrefu ila alifikiri mimi nimwepesi angeweza niingiza mkenge,nilichojiuliza kama ni miaka 2 na hakuwa na mahusiano maana yake alipata huo ukimwi kwa mumewe au wakati wa kujifungua,maana nilimuhoji kuhusu kunyonya mtoto akasema aliacha akiwa na miezi 6 sababu yeye alipata kazi mbali na alimuachia mtoto mama yake,je kama alipata wakati wa kujifungua ama kwa mumewe aliwezaje kukaa miaka 2 bila kujigundua kama ameathirika? nikajua kalikuwa kananichota.

Sikutaka kumnyanyapaa,mwenyewe naona akanilima block fasta 😀

kuweni makini.
Where there is Pleasure there is always a danger

Sins of the Flesh by Luckydube 1991
 
Back
Top Bottom