Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

kabila lako plz, Fanya faster basi....................., cha malindo au Kokueeeeeeeeeeeeeeeee..........bona
 
Yatumikile mbyenu akagonza kashwelwe bwangu bwangu...,

yakasikilile nkenda kugitula bwangubwangu
 
... mimi napita tu hapa!
napita.gif

Na mimi napita tu
 
Keine emana mpango nikyo balikachugira!


nikwo kyoma nawe wakabono 'akabonomoo"

Shana kagitwale amjajalo au kagibunge balagula mpolampola..................., enye nimbona yashenzira shana agibanike kaeo....................

 
jibu sasa tuone kama wewe ni mkweli katika aya MAUNGWIDU.....
 
dah.....kaaaazi kwel kweli...mi ni muhaya nina sifa zoote mlizotaja ila huwa najicommarage mpaka nikiwa na bif na mtu ndo unaweza nigundua....,niliwai kuishi na mtu mwaka na nusu bila kujua mi ni kabila gani mpa alipoiniskia naongea na mtu mwingine kihaya....huwa najitahidi sana kutoonesha my true colour mpaka pale inapobidi.....wadada sie ambao hatujaoa msitukimbie banaaaa...kwanza ukiolewa na mhaya unakuwa na uhakika wa kipato na chakula.....
 
Hivi pamoja na kusema yote hayo na kusema kuwa wahaya wanaogopwa...je wahaya ndio kabila la wasichana au wanaume waliododa???Mbona mnaolewa na kuoa???? Nyie mnasema wa nini wenzenu wanasema watawapata lini. Nashangaa hao wanaolalamika kubaguliwa kwa sababu ya uhaya wao. Sijawahi hata kufikiria kuwa jamii inanionaje leave aside kuhisi kuwa natengwa. Nothing but confidence!
 
Ukimwi ulianza kagera watu ooh wahaya malaya that's why ...haya sasa ni mkoa gani unaongoza kwa ngoma??? Au wao wameupata kwenye ulanzi au maji?
 
Ndugu yetu toka kwa Sara Palin-son of alaska, nini maoni yako juu ya ushuhuda huu wa Nyamayao?




Quote:


alienitoa usichana wangu alikuwa ni muhaya, akataka kununua jumla, wazazi waliniuliza kama kweli ndio nimechagua mchumba mpaka nimefikia hapo niliwajibu" ndio chaguo la moyo wangu", nikapewa go ahead! nili sarenda mwenyewe, wahaya hawaja2lia 100%, dunia ya leo hakuna u2livu but wahaya too much, alimpata mdada mwingine wakafunga ndoa haikupita miezi 3 ndoa ilivunjika, last year sept alimpata mdada mwingine mambo yakawa hivyo hivyo,yani kuishi na muhaya ina hitaji moyo haswa, kwa wadada nao ndio kama kaka zao! wanamajidai/wanajisikia/dharau/wanajiona juu wakati wote....

Sweeping Generalization! Pole sana.
 
Mnaweza kuwa katika kundi la watu saba labda sita ni wahaya na wote mnakijua kiswahili vizuri kabisa au kiingereza, basi ghafla tu jamaa wanabadilisha channel na kuanza kutumia lugha yao (Mbwenu Waitu), hii tabia kwa kweli wengi wanaichukia sana. Inawezekana kabisa hawamsemi huyo asiyejua kihaya lakini kwa nini mbadilishe lugha wakati mnajua kuna mwenzenu hajui kihaya?

Kingine ni kwamba wanawake wanadai kwamba wanaume wa kihaya wanaweza kukuletea mhaya mwanamke nyumbani na kukwambia ni dada yake kumbe hawana undugu lakini pembeni jamaa anakula uroda. Haya ni kuyasikia sijayathibitisha lakini nimeshiriki sana katika majadiliano kama haya kuhusiana na wahaya makazini na vijiweni pia.

This is a purely sweeping argument, not evidence based, biased and distorted. As a matter of cat, every tribe has its original core values which may or may not be pleasant to other tribes. You buy it or leave it.
 
Hi,
jaman naombeni mnieleze sifa za wanaume wa kihaya.nasikia sikia tu sasa nimeona nije hapa nizipate kutoka kwa wadau mbalimbali.
Asante.
 
Acha waje wenyewe wakueleze, tukisema wengine hapo 'BANNED
 
Ni kaka zangu lakini nawakubali kwa amri moja ngumu sana iliyokatazwa na mwenyezi mungu!
 
Hi,
jaman naombeni mnieleze sifa za wanaume wa kihaya.nasikia sikia tu sasa nimeona nije hapa nizipate kutoka kwa wadau mbalimbali.
Asante.

Wa nini? kama unaolewa wewe olewa tu mradi shaft inafanya kazi basi
 
Back
Top Bottom