Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Hi,
jaman naombeni mnieleze sifa za wanaume wa kihaya.nasikia sikia tu sasa nimeona nije hapa nizipate kutoka kwa wadau mbalimbali.
Asante.

WAkina mushmbusi mpo wapi? njooni mumsaidie mwenzenu
 
Katika hali ya kawaida siku hizi sifa za kabila fulani wala hazina nguvu sana kwa sababu ya maingiliano na mfumo wa maisha ulivyo..

Zamani enzi za mwalimu tulisikia eti wanawake wa kihaya si wachoyo kihivyooo....nilipobahatika kwenda kusoma sekondari Bukoba nikadhani kila utakayemwomba atakupa, kumbe unahitaji msuli ule ule..

Hata hiyo siku ya gulio Katerero si kila mwanaume wa kihaya hasa wa sasa anaijua....sifa utazopewa hapa ni za jumla jumla pengine zikireflect wahaya wa zamani..

Subiri Rutashubanyuma aje
 
Last edited by a moderator:
Huyu anayetaka sifa za mwanaume wa Kihaya, si aende akamdadisi huyo Mhaya then aje atwambie hapa jamvini.
 
Ni kazi kuelezea kila kitu ila kwa kurahisisha....
Pitia profile na thread za Bishanga u!!!!!!!
Nina uhakika itakusaidia sana......
 
Sifa za mtu au kabila ni watu wa nje ndio wanaona so tumsaidie dada yetu.Ukweli kwasas huwezi tofautisha tabia za makabila,waulizie watu walio karibu nae upate sifa zake.ukitaka hizi za makabila utalia na kukata tamma.NGALIBA.
 
Wahaya wana matabaka,wapo wa Bukoba,Muleba wewe unataka mhaya yupi
 
Ukitaka kuujua uhondo wa ngoma ni uingie ucheze,so kaa na muhaya then utajua hata yale tusoyajua halafu we kaburu nini mbona ka vile unamchunguza hadi kabila.............

 
wana magovi, huwa hawatahiri. wana masifaaa hata kama hawana hela. anaweza kununua gari ya milioni mia moja wakati bado anapanga nyumba, anakopa hela ili apande ndege kwenda bukoba na kutanua ajulikane ana hela akirudi anaanza kusota kurudisha mkopo. weusi kupita kiasi, kimombo chao ni cha lafudhi ya kihaya.

ila kwa weusi umesema kweli.aisee the guy is black but nimezoea sasa.
 
si wavivu na wana malezi sana kwa watoto wao.. ila sidhan kama kuna kabila bora sana over jingne,ila wanaume 2ko unique
 
wana magovi, huwa hawatahiri. Wana masifaaa hata kama hawana hela. Anaweza kununua gari ya milioni mia moja wakati bado anapanga nyumba, anakopa hela ili apande ndege kwenda bukoba na kutanua ajulikane ana hela akirudi anaanza kusota kurudisha mkopo. Weusi kupita kiasi, kimombo chao ni cha lafudhi ya kihaya.

ulaaniwe na uzao wako milele
 
ha ha ha hii thred imenifurahisha sanaaaaaa.kumbe mtu fulan ndo sifa zao hizi wacha wee
 
1. Wapenda kiraji 2. Ni wazuri kutunza family zao. 3. Lazma ukubali kuishi na ndugu zake 4. Matoke lazma ujue kumenya na kuyapika. 5. Ni wapenda sifa hata kama hana kitu 6. Usipomjali ndan ya mji ni rahisi kutjafta nyumba ndogo. 7. Wanapenda style ya KAGITEC<Kagera technology-katerero>,lazma umwage maji. 8.ukikaribia kujifungua anakutuma kwa mamake ukanywe dawa za mshana ujifungue vizuri. 9.usalimie wazazi wake na wazee wengne umepga magoti. 10.kila decemba mnaenda kwao vijijini ili watoto waliwe funza kidogo,wale kahawa na senene.
 
Daaaa .. Huyo dada aliyeuliza asipomkimbia mchumba cjui.

but..to me generelazation ya haya mambo huwa haini convince kabisaaaaa.



t from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom