Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

toli mulungi? hoina magulu gabi? toina emilimo? .
 
.
Haya Mkuu, mimi nilikuwa napita taratiiiiiibu huku nikisikiliza umbea wa huku ...

Ila baada ya kuona hata lugha imebadilika humu ndani ... washanza kuongea sijui kihaya!

... naona ngoja niongeze speed ya kupita....


napita-3.gif


.

mbona kama umechoka utafika kweli?



quote_icon.png
By Dotworld
... mimi napita tu hapa!
napita.gif








.
 
Ndugu,

Pole, lakini mbona hiyo tabia ya kukataa kisichokuwepo ni ya kawaida! Wewe ulidhani aseme usitoe mimba (ambayo hauna)halafu baada ya siku useme imetoka? Naona mutafute umuombe radhi kwa niaba ya wahaya wengine wanaopita hapa
 
Do some editing andika "MPENZI WANGU ANATAKA NITOE MIMBA"
 
Mpenzi wangu wa kwanza ni mhaya nimemdanganya nina mimba akaniambia nitoe then tujipange upya,,, sababu hayuko tayari kulea,,, je ana mapnz ya kweli au ndio mambo ya kihaya

Hivi unafikiri kila mwanamume anaweza kupimika kwa kudanganywa? Hakika wewe ulikuwa unatafuta njia ya kuendeleza tamaa zako mbele kwa mtu mwingine ndo maana ukautumia uongo kama sababu.Endelea huko uendako uone kama Sanda itakukataa.
 
Mpenzi wangu wa kwanza ni mhaya nimemdanganya nina mimba akaniambia nitoe then tujipange upya,,, sababu hayuko tayari kulea,,, je ana mapnz ya kweli au ndio mambo ya kihaya

What about the second, third, fourth,....nth 'mpenzi' are they 'wahaya' too?
Okay... Normally in validating research findings we start with the sample space. I'm assuming the other guys are not wahaya. Do this please, if you can manage leave all those guys except hayas...Choose for yourself at least Wahaya 100 (This panel only discuss findings obtained from a sample space of at least 100)....Let them do you and every time they do tell them that you are pregnant and record the findings/reaction. Perform all necessary statistical analysis using SPSS. then present your findings again and we will listen...
Don't worry about any disease encountered during the research...they're just occupation hazards afte all your helping us to analyze these "wanaume wahaya" so you should be proud of yourself..
.
Pet Feza,
Associate Professor,
College of Research and Statistics,
JF University.
 
Kumbe ulimdanaganya sasa umepata jipu
hizo ni sanaa kwenye kaole sanaa group
 
Do some editing andika "MPENZI WANGU ANATAKA NITOE MIMBA"

Naunga mkono,,kichwa na yaliyomo ndani ayana mahusiano ya moja kwa moja..
Utoaji wa Mimba sio wa kabila..
Ila kiswahili kasoma mpaka darasa la ngapi..?
 
kachwekemu nebijwajwa..
Tabasa kwenda muhaya iwe mwana..ekyambele oina amagulu gabi,gake nka akanyaimunywa..


ah aha aaaaaa LR, wanshenkya mno bro,, wagabona nkaasi ago amagulu??? aige omushaija ondijo abeie omhaya tamubasee.
 
ah aha aaaaaa LR, wanshenkya mno bro,, wagabona nkaasi ago amagulu??? aige omushaija ondijo abeie omhaya tamubasee.

Nakubona maanto. kumbe nawe mbikutama..............., mgambile amanye atakushubila lundi

 
mbona ujibu tatizo nini wewe kumbikumbi au oli kashegogoto???
 
Back
Top Bottom