Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

i agree with you Son of Alaska!hapa ni vizuri kudiscuss mambo kama haya.Mimi natoka kwenye mikoa AMBAPO albino wanauliwa.Kwa hiyo tusipozungumza kasoro ya makabila,basi tutabaki hivi hivi
 
Mpenzi wangu wa kwanza ni mhaya nimemdanganya nina mimba akaniambia nitoe then tujipange upya,,, sababu hayuko tayari kulea,,, je ana mapnz ya kweli au ndio mambo ya kihaya
 
sasa huyo mmoja akikwambia utoe ndo wahaya wote wanawaambia wapenzi wao waotoe?

Ingekuwa hivyo basi kusingekuwa na watoto wa kihaya maana wangekuwa hawazai tena na wangeshapotea.

Kajipange upya!
 
Vumilia tu maana ukiondoka utaikosa katerero halafu hapo uhaya naona kama hausiki vile au unaonaje?
 
Mpenzi wangu wa kwanza ni mhaya nimemdanganya nina mimba akaniambia nitoe then tujipange upya,,, sababu hayuko tayari kulea,,, je ana mapnz ya kweli au ndio mambo ya kihaya
Unless utwambie una chuki binafsi na wahaya, sioni ni kwa nini unafanya generalization kwa wahaya wote wakati huyo the so called mpenzi wako ana nafsi yake na sio sahihi tabia yake yeye ikawa ndio tabia ya wahaya wote. Tiba
 
Sasa mhaya mmoja ndo unageneralize wahaya wote?huyo ni tabia yake 2 wala uhaya hauna nafasi hapo!
Pole!
 
ndo yule anaye umwa kolodani? kama ulimdanganya na yeye kakudanganya. Halafu hii inaonyesha kwenye mapenzi hujatulia. kweli unaweza mdanganya mpenzi wako unayetegemea kujenga naye maisha? wewe ni wanyanda za juu?. kama ni mimi nmegundua umenidanganya nakupiga nyamunda hadi ukome.
 
tafuta mhaya mwingine akupige nyingine kama akikuambia uitoe ndpo utawajua vinginevyo na wewe sio.
 
huna hata aibu kusema umemdanganya una mimba, unadhani wanaume wa Kihaya ni wajinga hivyo? inaonekana weye hufai hata kuwa mke wake. acha aku enjoy ndio uzidi kulalamika juu ya wahaya na akuache kabisa sababu una tamaa na ni muongo.

unataka nini kwakwe mali au?
 
... mimi napita tu hapa!
napita.gif
 
Unatafuta attention kwa kuwataja wahaya, anzisha nyingine uwataje wachaga ili tuchangie.
 
Unatafuta attention kwa kuwataja wahaya, anzisha nyingine uwataje wachaga ili tuchangie.
 
Dah! Yani umesema mhaya nikamkumbuka ex wangu wa kihaya ghafla. They are gud boys anyway, they knw how to handle girls...ngoja nimpigie thimu nimthalimie!
 
Umemuuzia dhahabu feki naye kakulipa kwa fedha feki. Je wewe ni kabila gani ili wenye kuhukumu kama wewe walihukumu kabila lako?
 
narudia swali wewe kabila gani? Kabila lako wanaruhusu mapenzi nje ya ndoa? Kabila lako wanaruhusu peku peku? Mlipokuwa mnafanya tendo la ndoa mlijua mnapanda mchicha pale ili mvune mahindi? Binti mkubwa kwa nini usitumie kinga unapokutana kimwili?hususan na mwanaume ambaye si mumeo?
 
Unatafuta attention kwa kuwataja wahaya, anzisha nyingine uwataje wachaga ili tuchangie.

wabona. nanye ndashane nomwisiki nkogu, inye akangambili atwo ilimanzi rwona kwakweli nkeulila kubi sababu nkamanya nambaye. so uyo binti ni tabeli tu, afaiyo na anabidi awaomba wahaya radhi

 
Back
Top Bottom