medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,324
- 1,286
Tatizo watu mnapenda kukariri mno...sawa sawa na kusema kila mzungu,muhindi au muarabu ni mbaguzi wa rangi...mm mwanamke ukiniletea unajifanya kujua...akili itakukaa sawa...asilimia kubwa ya wanaume wa kihaya hawapendi kuendeshwa na wanawake ila wanajua kujali familia hasa kama umezaa nae...