Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Mtoa hoja kasema kuwa tunachunguzwa sana katika mapenzi, kwa nini?, Hapa tunataka jibu lake, sasa haya mambo ya kujiona, kutofanya usafi bafuni, kutahiliwa nk yanatoka wapi?

Kwa sasa wahaya wote wametahiliwa, labda babu wa umri wa miaka 80, Wakulya, wajaluo na baadhi ya waganda ndio hawatahiliwi
Wewe sasa unasema uongo, au anarusha dongo la utani kwa watani wako Wakurya, kwa taarifa yako wale wanatahiri kavukavu!. Na hawajaanza miaka ya 70, ni jadi yao!.
 
Kwa sababu:

1: ndiyo wa kwanza kuanza biashara hiyo chafu Tanzania, kila kona ya mji hapa Tanzania unakuta vibatari ndani ya nyumba unakuta kanga ndiyo mapazia.
2: ndiyo wa kwanza kuleta ukimwi Tanzania

Kokolo umenikumbusha usemi huu "dada wa Kihaya na wa Kinyakyusa hawakai kambi moja" maana biashara inakuwa imeingia mchanga. Mhaya atapunguza bei ikibidi hata bure atagawa. Tofauti na Mnyakyusa pesa mbele, huna basi hakuna mkopo wala nini "NI NO DEAL".
 
NAULIZA,jamani,kwanini mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya tunatatizo?akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya,is it that our malehood una walakin? i understand kuna certain stigma's attached to wahaya,lakini hello,for god's sake,hii ni karne mpya,and on top sisi ni generation mpya. sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort.naombeni majibu ndugu zangu


msinimeze jamani mie nasikia mnapenda wazungu ndo maana wengine wanaogopa
 
Ndugu yetu toka kwa Sara Palin-son of alaska, nini maoni yako juu ya ushuhuda huu wa Nyamayao?




Quote:


alienitoa usichana wangu alikuwa ni muhaya, akataka kununua jumla, wazazi waliniuliza kama kweli ndio nimechagua mchumba mpaka nimefikia hapo niliwajibu" ndio chaguo la moyo wangu", nikapewa go ahead! nili sarenda mwenyewe, wahaya hawaja2lia 100%, dunia ya leo hakuna u2livu but wahaya too much, alimpata mdada mwingine wakafunga ndoa haikupita miezi 3 ndoa ilivunjika, last year sept alimpata mdada mwingine mambo yakawa hivyo hivyo,yani kuishi na muhaya ina hitaji moyo haswa, kwa wadada nao ndio kama kaka zao! wanamajidai/wanajisikia/dharau/wanajiona juu wakati wote....
 
Hivi kutulia ni tabia ya mtu au kabila ?
na kama ni kabila ina maana kuna ka source kanakosababisha mambo haya yawepo
????
 
wahaya wenyewe ndiyo wanapenda ukabila na huwa ngumu sana kwa mhaya kuona kutoka kabila jingine, lakini pia majigambo na dharau huwafanya watu wa makabila mengine kuhofu kuwaozesha watoto wao kwa wahaya.
 
Katika kuchangi mada ya msingi, sina uhakika nayo sana. Ila katika hili suala la circumcision kwangu mimi is too personal to be addressed here.

Kwani uchi ni faragha kati ya mke na mume sasa iwe ume tahiri au hujatahiri sidhani kama jamii inayokuzunguka ina access na hili, labda kama unamatatizo ya akili (kichaa) na unavua nguo hadharani ndipo wanajamii wengine watapata kufahamu kwamba hauja tahiriwa.

Wengine wana imani kwamba is unfair kumtahiri mtoto mdogo kwa maelezo kwamba ni kumpa maumivu ya bure. Kama tungekuwa na demokrasia ya kweli katika level ya familia suala hili angeachiwa mtoto mwenyewe mpaka hapo atakapo kuwa na akili ya kufanya maamuzi ili aamue kwamba ana tahiri au hapana. kwa kujua hasara na faida ya uamuzi wake.
 
ALIKUTOA USHICHANA WAKO? UNA MAANA ALIKUBIKIRI?NA WEWE ULIMTOA UVALANA WAKE AU ALIKUFUNDISHA WW. UNAELEKEA UNA HASIRA SANA.Mbona Nyamayao wangu made in IRINGA ana raha kama yuko wapi sijui na hasikii wala kuota kuachwa kwa lolote lile!
Jifunze mapigo kama bado hujajifunzwa utaona wenzako wanaolewa na wahaya na wanaridhika 100%

Quote:




alienitoa usichana wangu alikuwa ni muhaya, akataka kununua jumla, wazazi waliniuliza kama kweli ndio nimechagua mchumba mpaka nimefikia hapo niliwajibu" ndio chaguo la moyo wangu", nikapewa go ahead! nili sarenda mwenyewe, wahaya hawaja2lia 100%, dunia ya leo hakuna u2livu but wahaya too much, alimpata mdada mwingine wakafunga ndoa haikupita miezi 3 ndoa ilivunjika, last year sept alimpata mdada mwingine mambo yakawa hivyo hivyo,yani kuishi na muhaya ina hitaji moyo haswa, kwa wadada nao ndio kama kaka zao! wanamajidai/wanajisikia/dharau/wanajiona juu wakati wote....[/QUOTE]
 
wahaya tabia kubwa sana wilo nayo ni kujisikia kiasi kwamba kwa wasichana wasopenda makuu hawapendi kabisa kuwa na uhusiano nao.Kuna mdada mmoja alitaka kumuacha mchumba wake wa kihaya ambaye alishatambulishwa kwa wazazi baada ya mie kuanzisha uhusiano nae akaniomba amuache muhaya na mi nimuoe ila haikuwezekana kwani na mie nilikuwa na mtu.Ila nilikuwa namlamba kama kawa hadi kipindi cha harusi
 
"Hivi kutulia ni tabia ya mtu au kabila ?
na kama ni kabila ina maana kuna ka source kanakosababisha mambo haya yawepo
???"
Naungana nawe FirstLady1 kwa maswali yako, binafsi naamini kwamba kutulia ni tabia ya mtu na si kabila. Kabila linaweza kuchangia pale ambapo utamaduni ni pamoja na mazingira na tabia za wakazi.

Kwa mfano kama sehemu tunayotoka unakuta baba mzazi alikuwa na mke zaidi ya mmoja mtoto akirithi hili huwezi kumwambia kwamba ana tabia mbaya kwa sababu tabia hii ameirithi kutoka kwa baba yake. Na kwa nadharia ya mtoto baba huwa hakosei, hivyo tabia hii ikijengeka inaweza kumfanya mtoto hata kama hawezi kuoa mke wa pili pengine kutokana na hali ya uchumi wa kisasa ni lazima atakuwa na kicheche nje.
 
Kuhusu wahaya...mimi ndio najua kila kitu...ninamwanamke wa kihaya nimezaanae mtoto mmoja...mwanamke nilimpenda sana lakini nikiburi,matusi na hajui kuheshimu ndugu wala jamaa..chake ni chake sijui kama ndio tabia zao au ndio nini! Kwa ujumla wahaya ni watu wakujiweka juu hawezi kuishi maisha ya kawaida...nimestop kupenda wahaya
 
Mi naipenda sana ile katerero jamani hapo ndo wanapo nikuna.
 
Kujiskia ni hulka mi mhaya lakini mpaka niwaeleze watu hivyo na wengne hubishi hata my luv wangu hakujua mpaka after a while.
Tunatahiri bana kama ulimkuta mtu hajasafishwa hiyo ni exception ambayo waweza kuta kabila lolote
Tupendeni jamani tumebadilika...ila kwenye ishu ya Uongozi mkubwa msitupe maana bado tuna machungu ya kubaniwa!!!!Tutawarekebisha vibaya mno
 
Hii issue ya wahaya inanishangaz nilikuwa lunch sehemu mida mida kidogo nikasikia story zimeanza mala oooh wahaya wamezidi kwanza wanaume ni wazinzi sana mwingine akadai hapana wanyakyusa ndo kiboko na watu wa Iringa mwingine akadai wahaya wanafunga kazi bwana tusidanganyane
haya madai yanatokana na nn ndugu zangu wa kule kanyigo ?
 
duh...jamani kusema ukweli wahaya wana mapozi......utakuta mtu wa kawaida tu anakwambia yule kamala namjua sana ni ndugu
 
wahaya kwa kweli mmezidi kwa kujigamba na vilevile ni malaya sana ndo mana tunawaogopa, inapendeza muoane wenyewe mtawezana.
 
Back
Top Bottom