Wapi Rutashubanyuma, @Rutashobolwa, Bishanga na ...........
Aisee wewe Mr. Rwechungura unayeishi karibu na Prof. Muganyizi unanifurahisha sana. In fact heri yako wewe unayemiliki Hammer. Actually mimi juzijuzi nilikataa kupokea zawadi ya yule first born wangu aliyekuwa anasoma uingereza. Eti ananiletea zawadi ya BMW wakati anajua ninayo nyingine aliyoleta mdogo wake mwaka juzi!! Hence, nimekataa hiyo zawadi nikaamua nibaki na magari yangu matano hayo hayo hata kama ni machache.Actully next year ni visit pale bukoba town,then I will suggest something in this tittle,but now lets me attend meeting kwa mweshimiwa rais then I will come back,although my benz horn aifanyi kazi,itabidi nichukue hummer ya first born wangu yule niliyemzaa nilipokuwa masomoni russia:target:
Kaunga kwanini unandikie mate na wino upo?...........Kwanini uangalie na luninga yenye chenga wakati wahaya wamejaa kibao.........wajajribu na utapata laivu............lol
Ndio maana nimewa tuhumu kuwa mko somewhat arrogant kwa jinsi mkionekana kwa nje nje.
Hizi ni tabia ambazo pia sizipendi kwa wahaya yaan kubagua watu kwenye mawasiliano,unless other wise wapo poa...nikwo kyoma nawe wakabono 'akabonomoo"
Shana kagitwale amjajalo au kagibunge balagula mpolampola..................., enye nimbona yashenzira shana agibanike kaeo....................
Wapi Rutashubanyuma, @Rutashobolwa, Bishanga na ...........
Hahahahahahaha
Kaunga naona umehamua kuwaita watuhumiwa wajitetee baada ya hukumu
Mabwenga wengi mmekuwa wajivuni sana, Tungeshukuru kama Idd Amin angiteka Kagera na mngekuwa waganda. Mna tabia zenu chafu na arrogance za ajabuNAULIZA,jamani,kwanini mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya tunatatizo?akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya,is it that our malehood una walakin? i understand kuna certain stigma's attached to wahaya,lakini hello,for god's sake,hii ni karne mpya,and on top sisi ni generation mpya. sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort.naombeni majibu ndugu zangu
wana magovi, huwa hawatahiri. wana masifaaa hata kama hawana hela. anaweza kununua gari ya milioni mia moja wakati bado anapanga nyumba, anakopa hela ili apande ndege kwenda bukoba na kutanua ajulikane ana hela akirudi anaanza kusota kurudisha mkopo. weusi kupita kiasi, kimombo chao ni cha lafudhi ya kihaya.
Mabwenga wengi mmekuwa wajivuni sana, Tungeshukuru kama Idd Amin angiteka Kagera na mngekuwa waganda. Mna tabia zenu chafu na arrogance za ajabu
Kuna ukweli kuhusu kujisikia kwa Wahaya. Kuna Mhaya mmoja aliniomba nimsimamie ndoa yake na nikakubali; baada ya miaka kama 2 hivi nilikuja kukutana na shemeji yangu yuko hovyo hovyo; nilipojaribu kumuuliza kulikoni alinambia mumewe kasema alikosea sana kumuoa mwanamke ambaye hajaenda shule.
Kilichoiumiza;
Wakati wanaoana wote walikuwa level moja kielimu - Diploma; Jamaa akajiendeleza hadi akapata Masters wakati mke aliendelea kuwa na hiyo Diploma; hadi ninapoongea hawaelewani; hawaongei pamoja; wanaishi maisha ya kufokeana yaani inanikera sana. Jamaa nikimwita aje tulijadili ananikwepa ..... Kweli wahaya (wanaume) nouma!