Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Ebojo, mgambile ebiswankala, Mama Koku nimepata ka-degree!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Watani wangu, it is true, mnajisikia hata kama ni kahaya kafagiaji barabarani, mimi nimekaa karibu na wahaya, their women are so beautiful interms of figures, I like them but not men. Men are too arrogant, they don't recognize other men who're not part of them, this is a great problem of wahaya. Kuhusu ka-ufundi, you know only one style 'katelelo', that is insufficient to make a woman enjoy sex, you need to go beyond of that. We don't have a dose which can make you behave like men from other tribes. Nyie endeleeni tu, lakini msilogwe mkagombea uraisi mtapata kura za nshomile tuuuuuupu hahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mimi ni mhaya fika. Ni kweli kizazi cha kuanzia baba yako kwenda juu kilikuwa na tatizo moja kubwa: Superiority Complex. Wanyankole huko Uganda bado mpaka sasa wana tatizo la kujiona wako juu ya jamii nyingine hivyo jamii nyigi haziwapendi. na sisi wahaya tuliwahi kuwa kama hawa wenzetu wa Uganda. Kumbuka hapo zamani kidogo kijana wa kihaya ilikuwa sio rahisi kuoa makabila mengine kwa kisingizio kwamba ni "wanyamahanga"! Binafsi mimi harusi yangu ilisusiwa na ndugu zangu wengi eti nimeoa Songea! Hivyo basi wasichana wa makabila mengi wanalijua hili na ndio maana wengi wao wanakuwa na mashaka kutoka na kijana wa kihaya. Hata kama wewe binafsi unampenda but she is not certain about your family and relatives and that counts alot in a relationship. I dot not regret marrying outside my tribe and my wife is one of the most respected in laws in my family. Anyway kidogo kidogo the attitude is now changing for the better. Hang in there do not despair.
 
ule mtindo wa katelelo wanaujua wahaya tu,ni kama unyago wa kihaya, kwaio unakuta kijana wa kihaya akiomba katelelo kwa dada wa kabila lingine inakuwa patashika nguo kuchanika,ndio maana ni bora kijana wa kihaya amuoe msichana wa kihaya wataona katelelo ni kitu ya kawaida,maana huko kagera wanaifagilia kweli kweli katelelo.sababu nyingine vijana hata wasichana wa kihaya wanatabia ya kuringa sana!!na hiyo huwa inasababisha wasifuatwe kwa mahusiano.bila kusahau kuwa wahaya ni waongo na matapeli sana!!na uongo ni kitu cha kukasirisha sana,unakuta anakuambia ana nyumba kubwa na magari ili umuone amekupita kwa uwezo wa kumiliki mali kumbe hana hata kakibanda ka kujipumzikia.halafu wanaongoza kwa kupendeleana kiukabila katika mashule,vyuo na maofisini.mwalimu wa kjihaya atahakikisha mwanafunzi wa kihaya amemfaulisha kwa garama yoyote hata kumuonyesha mitihani,mfano pale niliposoma pugu mwaka fulani sitaki kuutaja, mwalimu wa kihaya aliwaonyesha wanafunzi fulani wa kihaya mtihani wakafaulu ikaoneka wako fiti kumbe ni ukabila ndio uliwasaidia,huo ni mfano hai!!
 
pole ndugu yangu, lakini jibu lako hapo chini linaonyesha yale yale yanayosemwa na wachangiaji. Kama umeuliza halafu unapewa jibu unakataa bila shaka unalojibu lako unalolitaka, sasa kwa nini uliuliza. Kumbuka mtu anajibu vile anavyoelewa yeye. sasa kama wengi wanasema hivi na vile ina maana kuna kaukweli mahali fulani usikasirike watu wakisema ukweli "wao" utumie kuangalia ufanye nini

HOYA,i have said and i am saying it again,sisi ni GENERATION MPYA,tunakwenda sambamba na curcumcision na whatever,nipeni sababu zingine,cause as far as i understand hili sio root cause,kuhusu kujifanya nshomile etc etc,now how does this come into play,one thing i understand,katika game la between the sheets,we have no peer,many a woman can testify on this
 
naweza ku bet on my life,kwamba almost 90% ya wanawake TANZANIA,at some stage of the sexual life,have gone out with an uncurcumcised man,and loved every moment.naomba akina dada with hands on your heart mkimuogopa mungu,mdeny hii habari- in conclusion either u r curcumcised or no,does not determine how a relationship goes

...kufuatia sensa ya mwaka 2002, idadi ya watu na jinsia Tanzania ilikuwa;

Tanzania
Male 16,829,861
Female 17,613,742

sasa unaposema almost 90% ya wanawake wa Tanzania, maana yake ni (almost) 16m ya wanawake wote Tanzania. Hapo Unawahukumu waliokuwemo na wasiokuwamo ndugu yangu, 90%? ni kubwa mno.

...Jinsi ninavyowaheshimu mama zangu, dada, shangazi na bibi zangu, ina maana kila mwanamke ametembea na mwanaume mmoja, hivyo (almost 90%) Wanaume wa Kitanzania 16m hawajatahiriwa???

No way bro, si kwa makabila ya kikwetu, (ashakum si matusi) ni 90% ya huko huko kwenu.
 
Niliwahi kuwa na rafiki yangu chuoni ambaye wazungu walikuwa wanamgombania kwa kile qwalichokuwa wakikiita flash type ... na baadaye soka la vijana watz wa kiume likawa kubwa mbele ya wazungu.

Lakini hapa Bongo inaonekana kuwa madem wanawakacha wahaya .. labda wanaogopa hiyo flash type. Any way sijui....
 
Mhn tunaanza kuongelea ukabila na kweli tunaanza kutofautiana. kabla ya hapo hakuna aliyejua Congo ni mhaya. Dhambi ya ukabila ni mbaya... tunapoanza kuongea tabia za watu wa makabila fulani tutajikuta kumbe sisi wana JF si wamoja. hakuna kubagua mtu kwasababu ya kabila lake. Ni dhambi na tunafaa kuogopa hii tabia kama ukoma. kwani zile mada zinazotuunganisha zimeisha?

Mwalimu Nyerere alisema suala la kuongela ukabila linafaa watani tu tena wakikumbushana shughuli zao za kale kama kutambika, vita n.k. sasa hapa kwa mjadala huu nadhani mabinti wasio kabila hili watanyuti kidogo kuwa na mahusiano na wahaya! Tunarudi kulekule enzi zileeee ...... za kipindi kileeeeee
 
Kwani wahaya kwa asili hawatahiri kuondoa govi? Naomba jibu pls japo nje ya mada kuu

Hawatahiriwi wale ambao hawajapata exposure ya western that means their culture dictionary does not have the word "circumcision" Hukumbuki wakati wa Juliana iliwala sana kwa sababu ya natural "gloves" kunani? Anyway ni watani wangua hawa niachieni.
 
Please fafanua hili neno "Katalelo"

that Kiswahili is a bit deep for me
 
MCHONGOMA,nimekupata,hata mimi naheshimu dada zetu, mama zetu nk,in black and white,an undeniable fact of life ni kwamba,a woman has to kiss many frogs before she meets the prince in shining armour,the majority kabla hawajakutana na huyu prince,will have gone through 5 or 6 relationships.na katika hizi relationship akina dada hukutana na kila type waliotahiriwa na wasio.based on this assumption ndio maana nikaweka hiyo 90%.jamani akina dada nimekosea?
 
Mnaweza kuwa katika kundi la watu saba labda sita ni wahaya na wote mnakijua kiswahili vizuri kabisa au kiingereza, basi ghafla tu jamaa wanabadilisha channel na kuanza kutumia lugha yao (Mbwenu Waitu), hii tabia kwa kweli wengi wanaichukia sana. Inawezekana kabisa hawamsemi huyo asiyejua kihaya lakini kwa nini mbadilishe lugha wakati mnajua kuna mwenzenu hajui kihaya?

Kingine ni kwamba wanawake wanadai kwamba wanaume wa kihaya wanaweza kukuletea mhaya mwanamke nyumbani na kukwambia ni dada yake kumbe hawana undugu lakini pembeni jamaa anakula uroda. Haya ni kuyasikia sijayathibitisha lakini nimeshiriki sana katika majadiliano kama haya kuhusiana na wahaya makazini na vijiweni pia.
 
bubu,imebidi nicheke,hiyo kubadili channel na kuingia 'mbwenu waitu' really made my day.hayo uliyoyasema ni kweli lakini ni mambo ya yesteryears.mimi hata kihaya chenyewe nakitafuta kwa taabu,anyway nimekubali,if you cannot win them,join them,hao akina dada wanaotukataa,tutaburuzana hivyo,hivyo mpaka kieleweke
 
SOA, lakini hata wanaume wa makabila mengine Tanzania wanaogopa sana kuoa au kuwa hata na GF wa kihaya. Nakumbuka kulizuka ubishi mkubwa kijiweni jamaa mmoja alidai anaweza kuoa Mtanzania yeyote lakini si mhaya. Hata kama amempenda binti namna gani lakini akijua tu kama anatokea kule kulikovunjika mpini likabaki jembe basi anaingia mitini kwa speed kubwa sana. Wengi tulimpinga na kummwambia ukipenda, chongo utaita kengeza, si ajabu na yeye angetokea kufall in love na toto la kihaya basi angesema si mhaya bali ni mhangaza 🙂
 
Excuse me moderator,inakuwaje unaruhusu hii topic ya ukabila.kama utakumbuka jukwaa la dini lilileta mgawanyiko mkubwa kiasi cha kuifanya JF ipoteze ramani ,sasa ikiibuka ili jukwaa la UKABILA patakuwa padogo,na kila siku zitakuwa zinaibuka mada kuhusu makabila mpaka tutapoteza mwelekeo wa kupambana ili kujenga taifa. HII MADA HAIJENGI ILA INABOMOA.Ningeomba moderator ufanye utaratibu wa kutoruhusu discussion kama hizi,la sivyo itakuwa kama jukwaa la dini na migawanyiko itaanza
 
baba lao,katika hii topic hakuna ukabila,tunajadili hali halisi,what exactly is happenig on the ground,tanzania will only be able to exorcise her demons,if we face headon matatizo yanayo tu face.sweeping matatizo under the carpet,and pretending haya exist will only alienate society.mimi kama mhaya nitakuwa namuongopea mungu wangu nikisema hii topic haijanisaidia-many many thanks
 
MCHONGOMA,nimekupata,hata mimi naheshimu dada zetu, mama zetu nk,in black and white,an undeniable fact of life ni kwamba,a woman has to kiss many frogs before she meets the prince in shining armour,the majority kabla hawajakutana na huyu prince,will have gone through 5 or 6 relationships.na katika hizi relationship akina dada hukutana na kila type waliotahiriwa na wasio.based on this assumption ndio maana nikaweka hiyo 90%.jamani akina dada nimekosea?

What is the source ? any research done to establish this??
Dont generalise pls as it is not true that a woman has to sample several men before settling for one!
 
Sababu ya watu wa makabila mengine kukwepa kuoa a nikina dada wa bukoba hasa wahaya ni kwa kuwa inadhaniwa au ni kweli I can't say ni kuwa biashara ya kuuza uroda ilianza kwa wahaya. ndiyo maana kuna msemo ukiwambia mtu nina kazi nyingi au niko busy jibu ujtaambiwa umekuwa mhaya?
hayo yanathibitishwa na ukweli kuwa hata Ukimwi ulifuta kwanza kagera katika Tanzania kabla haujaenea nchi nzima. hiyo ya kula na kupangusa na kila mtu kuwa ni binamu au dada. has killed millions.
 
Ebojo, mgambile ebiswankala, Mama Koku nimepata ka-degree!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Watani wangu, it is true, mnajisikia hata kama ni kahaya kafagiaji barabarani, mimi nimekaa karibu na wahaya, their women are so beautiful interms of figures, I like them but not men. Men are too arrogant, they don't recognize other men who're not part of them, this is a great problem of wahaya. Kuhusu ka-ufundi, you know only one style 'katelelo', that is insufficient to make a woman enjoy sex, you need to go beyond of that. We don't have a dose which can make you behave like men from other tribes. Nyie endeleeni tu, lakini msilogwe mkagombea uraisi mtapata kura za nshomile tuuuuuupu hahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

LOL! when it comes to making love hawajui style nyingine yoyote zaidi ya Katerero na Katerero is no sufficient enough to satisfy a woman! 🙂 Thank you!, lakini wenyewe wanadai ukiijua basi wewe ni kiboko. Nasikia pia imechangia sana katika maambukizo ya ukimwi, ingawa sina uthibitisho wowote.
 
baba lao,katika hii topic hakuna ukabila,tunajadili hali halisi,what exactly is happenig on the ground,tanzania will only be able to exorcise her demons,if we face headon matatizo yanayo tu face.sweeping matatizo under the carpet,and pretending haya exist will only alienate society.mimi kama mhaya nitakuwa namuongopea mungu wangu nikisema hii topic haijanisaidia-many many thanks

Kingine SOA, wewe ukiwa ni mhaya umeuliza swali ili ujibiwe na ukiangalia majibu uliyoyapata hadi hivi sasa yamekuwa ya kiungwana. Hakuna matusi wala kudhalilisha, kama kule kwenye dini, halafu baadhi ya yaliyoandikwa yamethibitishwa na wewe pamoja na mchangiaji mwingine ambaye amesema naye ni muhaya.
 
Back
Top Bottom