Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Du! Wewe ni kilaza balaa. Kwahiyo wanaotoa mimba ni wahaya tu? Ila huyo anakuenjoy tu wala wewe huli kwake.
 
kachwekemu nebijwajwa..
Tabasa kwenda muhaya iwe mwana..ekyambele oina amagulu gabi,gake nka akanyaimunywa..

hahahahaaa....!!!!mkuu umeua. "akanyaimunywa". kubaki nojumangana iwe nanka? hahahaaaa...!!!
 
wewe ni chocolate flava. acha utumike coz wewe mwenyewe si mkweli ata kidogo
 
tunaomba kabila lako plz,

umri wapo pia?

ulikutanae kivipi?.............................mwaga ma wedi tupe mawazo ,,,,,,,,,,msanii wa kujitegea....bongo kati
 
wewe mbona ujibu, inaonesha kwamba ulivyo cha-chandu ya kina-ooogo ya mwangana looooooo.
 
Katerero ya siku moja na Mimba?
Sio wahaya tu mwanamme yoyote ana mipango yake kwanza mkubaliane ndipo mimba
Siku hizi Nyota ya kijani msichana hapati mimba
 
tafuta wakabila lako alafu mwambie una mimba ili uzide upendo....au ufulai TATIZO akili yako niya ki-CHINA Umecopy
 
usiludie tena KAJIPANGE UPYA INVALID TOPIC, UMEKOSA BARA NA PWANI
 
kachwekemu nebijwajwa..
Tabasa kwenda muhaya iwe mwana..ekyambele oina amagulu gabi,gake nka akanyaimunywa..
Lusinde wamukira ujumangana kyooma, btw aka akana kaisiki kaina engesho zibi, kaina orubadali no'kweemankuura manya mwakabona
 
... mimi napita tu hapa!
napita.gif
mbona kama umechoka utafika kweli?
 
Mpenzi wangu wa kwanza ni mhaya nimemdanganya nina mimba akaniambia nitoe then tujipange upya,,, sababu hayuko tayari kulea,,, je ana mapnz ya kweli au ndio mambo ya kihaya

Muuhaji mkubwa huyo mimba haItolewi ni kosa kubwa sana ni vizuri pia umempima umemjua hana mpnz ya kweli cose ukitoa mimba lazima ujute baadae
 
Katamila akantu! kalebe obunwa nka akakaikulu. Chonka watamasi iwe mwisiki,otalishubira na lundi
 
Back
Top Bottom