Wadada wa barber shop...mh...

Wadada wa barber shop...mh...

Sitakudanganya ila sitakuambia ukweli pia...hahahahah


Hahhahhahahaa[/QUOTE]

Nakshi nimeipenda avatar yako, huyo ni wew au ndio mtegooo....unanifanya niende saloon sasa hiv
 
Hivi kwa nini mwanaume ufanyiwe scrubbing?

What the hell is it anyway?
 
Kama hauna mkono wa birika basi utapewa Extreme service kwa muda mrefu na kuulizwa kama UNA-ENJOY?

hii ni sevisi gani mkuu!!? embu tueleweshe na sisi tukaifwate!!
 
We inabidi nkupitie twende wote, hayo maswali yatajibiwa hukohuko na wahusika

kuna siku nlikua na hasira sana baada ya mambo flani kutokwenda sawa nkaamua niende saloon kama kupoteza muda ninyoe!!! mweeeeee yaliyonikuta huko!! mbona stress zilikata!!!
 
Mi najifunza niwe namfanyia kiburudisho wangu maana staki ashikwe ashikwe na hao wadadaa!!!!!!!!!!!!
 
hii ni sevisi gani mkuu!!? embu tueleweshe na sisi tukaifwate!!
Kama unataka kuijua, nenda Barber shop wakati wanakaribia kufunga, then akuscrub uzuuuur, halaafu mpatie lift kama una kausafiri...mzee ila iwe mara moja moja alafu usiende nae kwako..
 


Wenye hizi barber shop huwa wanafanya kusudi kwa kuwaweka warembo haswaa kwenye saloon zao.
Bila kusahau wanatoa ile huduma nyingine kama hawana akili vileee...( hapa nazungumzia % kubwa)

Dah ! we ni bonge a danger ,kwa hiyo wewe unaenda kunyoa na kufuata huduma za wakubwa? teh![/QUOTE]

ukute wameweka mtu kama huyo wa kwenye avatar yako!!! mbona ukiambiwa kunyoa ni buku kumi utasema poa tu!!!
 
Kama unataka kuijua, nenda Barber shop wakati wanakaribia kufunga, then akuscrub uzuuuur, halaafu mpatie lift kama una kausafiri...mzee ila iwe mara moja moja alafu usiende nae kwako..

na kama sina gari inakuaje? duuhh itabidi nivizie asee....tena ngoja wekend ijayo niende saloni!!
 
Ni full mizoga wale madada na wanaboa mwanzo mwisho ndo maana mimi huwa sioshi au kuscrub nk. Nikishanyoa tu nalipa fasta natoka nduki huku nikisindikizwa na misonyo sauti ya kwanza yenye stereo kaliii....!

Mkuu hata mimi nikishashave fasta nduki. Mshikaji ambae huwa ndo ananinyoa nywele zangu kanambia kuwa nikiondoka tu huwa wana mind ile mbayaaaa .
 
kuna mzee baada ya kutoka kale kachumba,athumani alikuwa katuna kwenye suruali. sasa si bora angeomba huduma kubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom