Wadada wa barber shop...mh...

Wadada wa barber shop...mh...

Kwa wale ambao sio ma-raster (dread locks), nadhani mtakubaliana na mimi juu ya huduma tunayoifaidi ndani ya saloon za kiume hasa pale unapofika wakati wa ku-scrub, kuosha au hata wakati wa massage kwani hapa mshughulikaji huwa mdada mwenye mikono laiiiini. Kiukweli hua naenjoy sana na nimekua addicted yani kila week lazima nkashughulikie kichwa changu kwenye barber shop ambayo inawadada wanaoijua kazi yao haswaa. Kma hauna mkono wa birika basi utapewa Extreme service kwa mda mreefu na kuulizwa kama UNA-ENJOY?

Nashukuru sana kwa huduma zao, But tatizo lao ni moja tu...KUOMBA TIP, tip hua hutolewa kama aksante kama nikiridhika na huduma yako, but wao huwa ni kawaida kuomba na kukupa minjonjo wakati wa huduma mpaka unajiskia raaaaha, na kusahau matatizo kwa muda. HUU NI ULAGHAI...
Wenye hizi barber shop huwa wanafanya kusudi kwa kuwaweka warembo haswaa kwenye saloon zao.
Bila kusahau wanatoa ile huduma nyingine kama hawana akili vileee...( hapa nazungumzia % kubwa)

Ni huduma gani iyo nyingine wanayotoa? Maana wengine saloon zetu ni chini ya miti tena kwa kitana kioo unashika nwenyewe! Na usisahau ukimaliza kunyolewa lazima upate na panadol kwaajili ya kupoza maumivu ya kichwa! Mkuu funguka izo huduma zingine..

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
We inabidi nkupitie twende wote, hayo maswali yatajibiwa hukohuko na wahusika
 
sisi huku uswazi hakunaga cha wadada sijui wa skrabu wala nini...ukienda saloon unanyoa ...unachapa lapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom