Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,888
Siku 1 nilikua nasimamia harusi ya mshikaji wangu 1 na tukaenda saloon kufanywa hayo makitu, mmh, mtu wa video nae akawa mchokozi, akachukua kila kitu then ukumbuni muda wa misosi akaweka hiyo clip ya saloon, kidogo nivunje ndoa yangu, wife ali- mind kweli kweli, so naomba muwe waangalifu!