Usilogwe ukamsindikiza, utakufa kwa pressure.
Jamani mimi kuna saluni moja naenda basi wakati wa scrub dada anakufungua vifungo vya shati ana kuscrub karibu na chuchu za kiume sehemu ambayo ni very sensitive so nilizima Chini kujibu.
Yaani kwa huduma ya huyu dada unaona aibu hata kutoka bila kumtoa coz ukitoka hapo ni sawa na umetoka gsti hausi.
Problem inakuja kwa hawa wengine huduma zao ni za kawaida sana ambazo hazi ku motivate kumpa tip. so akikumaliza tu anaanza kukukodolea Macho yanayoashiria nipe changu.
Last time nakumbuka mdada alinitolea macho nikajifanya kama sijaona ikabidi aombe.
Akina dada jifunzeni kuwa scrub waume zenu aiseee, kule mnaibiwa big time!!! hivi hamuoni wivu waume zenu kupapaswa?
Mimi Paloma nilimpeleka saluni moja ambayo ni first class kwa scrub. wakampiga scrub ya mfano. From there on its only my Paloma who scrubs me.
love you Paloma
Hawawez kufanya kama kuna bodyguard upo...wanaogopa kichapo pia
Mwache mzee akawezeshe biasha za watu, unadhani hao kina dada watakula wapi? then watakua hawamuhudumii vizuri.
Muachie uhuru bhana..
ntamsafisha mie watakapobakizahawamchukui kabisa, but pia yeye anapata massage ya nguvu na scrub za uhakika, we hupendi mzee atoke safi?
hakuna sehemu ntaenda na mme wangu wasichana wasigeuke kumtizama hilo nshalizoea sio geniHhahaa...usiwe hivyo bhana, we hutaki challenge? ukitaka kujua thamani ya mumeo/mke uone watu wanampapatikia. Mie huwa naenjoy sana nkiona gf wangu anafuatwa..najua yeeees hapa nlipata lulu...
ngoja nianze kumnyoa mpenzi wangu mwenyewe naomba list ya vitu vinavohitajika
TUMEPATANA, siunajua ndege wanao fanana huruka pamojaAmepata au umepata? lol
Hahaha..wew ukiangaliwa ye anafanyaje? au akija nyumbani hakuulizi kama unataarifa za kuangaliwa kwako? then CHEATING IS PROHIBITED?[/QU
Tumeshazoea, hata yeye anajua kwamba nasumbuliwa, na kukupa tu mfano kuna siku alinipeleka ofisi za TRA nilikuw na shida akawa ananisubiri kwenye viti me nikaenda kuongea na muhusika ambae alikuwa ni mkaka asianze kunitongoza bila kujua kwamba anaenisubiri ni mume wangu alizani ni mteja tu pia, ila mume wangu hakusema kitu akawa anatuangalia tu, ila tulipotoka pale tulibaki tunacheka tu akasema asingekuwa mwanaume mwingine angerusha ngumi