Lbda huyo sasa anataka kuwekeza saloon
Kifuniko cha soda kimoja.
Sauti iliyopigwa pasi ikosindikizwa na unstable eyes..Kweli wana password ya wallet zetu.
Mmi hii ni moja ya starehe yangu, naenjoy sana aisee
sasa pale wanapokiweka kichwa chao katikati ya mitindi yao ndio kasheshe.
unaweza zimia