Wadada wa barber shop...mh...

Wadada wa barber shop...mh...

nikimaliza kunyoa na kuoshwa huwa nakunja sura kama nimekoswa bomu.natoka fasta bila tip

haha. hata mimi kalikuwa katabia kangu afu ukiingia hamna story maana wanaanza kuuliza kama unapaka dawa ya mba au wakufanyie scrubing. maeneo yangu yalikuwa pale pemben ya m city njia ya chuo kikuu japo wamepabomoa
 
Ni full mizoga wale madada na wanaboa mwanzo mwisho ndo maana mimi huwa sioshi au kuscrub nk. Nikishanyoa tu nalipa fasta natoka nduki huku nikisindikizwa na misonyo sauti ya kwanza yenye stereo kaliii....!
Kuna saloon nanyoaa knyamaa..wananichukiaaaaaaa.....full misonyooooo
 
bi mkubwa amenipiga stop hayo mambo,nanyoa tuu hayo m mengine ananifanyia mwenyewe home,tabia ya mimi kuguswa kichwa na chuchu kashindwa vumilia
 
kuna dada tabata huwa ukimaliza ,sasa pind anakufuta maj,daaaah,ya anakugeuzia uso kwake af anakuvuta kichwa chin utizame maziwa yake,zero distance,na jins yalivotuna lazma urud tena
 
iyo imenifanya kila wkt nahama berbashop maana duuuh wakikuzoea ndo mpanga wanakugombania,,,
nakumbuka nlienda kweny 1 last wik nkapata huduma muruaaa ad na tip nkatoa,,,nxt time meenda naona mdd ananchangamkia mwngne,,akanipa huduma baada ya apo ata mia cjatoa,,tehe
 
Hii huduma aiseee naikubali, wacha wanile tu bt kichwa kinang'aa na mawazo yanatulia, TIP ni hiar kutoa
 
Mwanzoni nilikuwa namaliza kabisa maujambo! wale wadada kwa kutekenya !!!!
 
Jamani mimi kuna saluni moja naenda basi wakati wa scrub dada anakufungua vifungo vya shati ana kuscrub karibu na chuchu za kiume sehemu ambayo ni very sensitive so nilizima Chini kujibu.

Yaani kwa huduma ya huyu dada unaona aibu hata kutoka bila kumtoa coz ukitoka hapo ni sawa na umetoka gsti hausi.

Problem inakuja kwa hawa wengine huduma zao ni za kawaida sana ambazo hazi ku motivate kumpa tip. so akikumaliza tu anaanza kukukodolea Macho yanayoashiria nipe changu.

Last time nakumbuka mdada alinitolea macho nikajifanya kama sijaona ikabidi aombe.

Akina dada jifunzeni kuwa scrub waume zenu aiseee, kule mnaibiwa big time!!! hivi hamuoni wivu waume zenu kupapaswa?

Mimi Paloma nilimpeleka saluni moja ambayo ni first class kwa scrub. wakampiga scrub ya mfano. From there on its only my Paloma who scrubs me.

love you Paloma
 
Last edited by a moderator:
kuna saloon moja pale sinza kila mwenzi naendaga kuosha raster zangu basi doh!!wanadada wakiniona kila mmoja anataka kuniudumia mimi ila mwisho wasiku tip 20 au 30 lazima initoke.siku moja nilienda na wife loh wife kuona yale manjonjo na kuona natoa 30 akauliza ya nini nikamwambia tip nika skia mshonyo na hela akachukua..tokea siku hiyo kanunua sampuu na anazi twisti mwenyewe nyumbani
 
Kwa wale ambao sio ma-raster (dread locks), nadhani mtakubaliana na mimi juu ya huduma tunayoifaidi ndani ya saloon za kiume hasa pale unapofika wakati wa ku-scrub, kuosha au hata wakati wa massage kwani hapa mshughulikaji huwa mdada mwenye mikono laiini.

Kiukweli hua naenjoy sana na nimekua addicted yani kila week lazima nkashughulikie kichwa changu kwenye barber shop ambayo inawadada wanaoijua kazi yao haswaa.

Kama hauna mkono wa birika basi utapewa Extreme service kwa muda mrefu na kuulizwa kama UNA-ENJOY?

Nashukuru sana kwa huduma zao, But tatizo lao ni moja tu...KUOMBA TIP, tip hua hutolewa kama aksante kama nikiridhika na huduma yako, but wao huwa ni kawaida kuomba na kukupa minjonjo wakati wa huduma mpaka unajiskia raaaaha, na kusahau matatizo kwa muda. HUU NI ULAGHAI...

Wenye hizi barber shop huwa wanafanya kusudi kwa kuwaweka warembo haswaa kwenye saloon zao.

Bila kusahau wanatoa ile huduma nyingine kama hawana akili vileee...( hapa nazungumzia % kubwa)

images
Hapa Nairobi kuna wanaouliza "je mkaka unahitaji Extras" ukisema ndiyo uningizwa kwa room unapewa vitu bila hata CD!! beware!!
 
Kuna wadada wapo saluni flani hivi siitaji ipo mkoa flani hivi. Yaaniwanatupangisha foleni utadhani wana juju. Ila ni huduma yao tu. Yaani unafanyiwa scrub mpaka Ch**pi inabana. wanasauti za kuibia haooo! mara ooh niongeze presha? tatizo wamejaaliwa sasa afu wanavyovaa hakyanan we acha tu.
 
Hapa Nairobi kuna wanaouliza "je mkaka unahitaji Extras" ukisema ndiyo uningizwa kwa room unapewa vitu bila hata CD!! beware!!
Itabidi niwashaur hawa wetu watupatie hicho ki-service
 
Kuna wadada wapo saluni flani hivi siitaji ipo mkoa flani hivi. Yaaniwanatupangisha foleni utadhani wana juju. Ila ni huduma yao tu. Yaani unafanyiwa scrub mpaka Ch**pi inabana. wanasauti za kuibia haooo! mara ooh niongeze presha? tatizo wamejaaliwa sasa afu wanavyovaa hakyanan we acha tu.
Mzee nielekeze tupate wote hii faraja..
 
ngoja na mie nianze kunyoa kwenye hizo barber shop.. niacheni na mambo ya kunyoana vijiweni na topaz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom