Rapunzel
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,079
- 600
Wenye hizi barber shop huwa wanafanya kusudi kwa kuwaweka warembo haswaa kwenye saloon zao.
Bila kusahau wanatoa ile huduma nyingine kama hawana akili vileee...( hapa nazungumzia % kubwa)[/QUOTE]
Dah ! we ni bonge a danger ,kwa hiyo wewe unaenda kunyoa na kufuata huduma za wakubwa? teh!